Video: Sirro Amdaka Polisi Feki Uwanja wa Fisi Dar
JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam mnamo tarehe 8/04/2017 majira ya mbili usiku maeneo ya Tandale Uwanja wa Fisi lilifankiwa kumkamata mtu mmoja aliyefahamika kwa jina ka Paulo Baruti (38) mkazi wa Tandale kwa Mtogole…
