The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Vanessa Mdee

Ukweli Vanessa Kubeba Mimba

DAR: Sexy lady kunako Bongo Flevani, Mariane Mdee almaarufu Mimi Mars, kwa mara nyingine amejitokeza na kutupilia mbali tetesi na uvumi ambao umekuwa ukienea kuwa dada yake, Vanessa Mdee ‘V-Money’ kwa sasa ana mimba ya mchumba’ke,…

Vanessa Ale Bata, Asisahau Muziki!

PENZI jipya lina raha yake wewe! Unaweza ukasahau hata kula au kuwaona na kuwasalimia wazazi wako kwa sababu tu unafurahia uhusiano mpya ulioupata na ukakushika vilivyo.  Kila anayefuatilia burudani ndani na nje ya Bongo, anajua jinsi…

Vanessa Awabipu Basata!

LICHA ya kwamba anaonekana anajiheshimu, msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ amekwenda kinyume na alivyozoeleka na kuwabipu Basata baada ya kuachia video ya kimahaba akiwa na mpenzi wake ambaye ni staa wa Marekani, Rotimi…

Jux Agoma Kufuta Picha za Vanessa

BAADA ya penzi lao kuvunjika na kila mmoja kuwa na uhusiano na mtu mwingine, msanii wa muziki wa RnB, Juma Mussa ‘Jux’ amegoma kufuta picha za zilipendwa wake, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ kwenye akaunti yake ya Instagram akisema…

Rotimi Atamfikisha V-Money….

Ni takriban miezi miwili tangu mwanadada kutoka Bongo Flevani, Vanessa Hau Mdee ‘Vee Money’ alipoanza kushika vyombo vya habari akiripotiwa kuwa kwenye penzi matata na staa wa Marekani, mwenye asili ya nchini Nigeria, Olurotimi Akinosho…

Vanessa Mdee Atahadharishwa

Wadau mbalimbali waliopo kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram wamemtahadharisha staa wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee kuhusiana na mpenzi wake, Olurotimi Akinosho ‘Rotimi’ ambaye ni msanii wa filamu nchini Marekani. Katika picha…

VEE MONEY AMFUNGUKIA JUX

BAADA ya maneno mengi kuendelea kusambaa mitandaoni kuwa penzi la mwanandada anayefanya poa kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ na Juma Khalid ‘Jux’ limevunjika na kila mmoja anafanya maisha yake, hatimaye mrembo…

Mimi Mars Afurahia Kuwa Single

FULL happy! Mwanadada anayekuja kwa kasi kwenye gemu la Bongo Fleva, Marliane Mdee ‘Mimi Mars’ amesema hakuna kitu kinachompa furaha kama kuwa single kwa sababu yupo huru kufanya kazi zake vizuri. Apiga stori na Ijumaa…