The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

VPL

Simba Mzigoni Leo VPL

LEO Jumatano, Desemba 9, Namungo FC ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Biashara United, Uwanja wa Majaliwa saa 10:00. Simba pia itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Polisi Tanzania, saa 1:00 usiku Uwanja wa Mkapa.…

SIMBA: YANGA NDIYO WATATUPA UBINGWA

SARE ya Simba dhidi ya Stand United ni kama imewaamsha Yanga kutetea ubingwa wao lakini uongozi wa timu hiyo, umeweka wazi kuwa Yanga hawapaswi kuchekelea matokeo hayo kwani ubingwa wa msimu huu wataupata kutokea kwao. Simba…

RATIBA LIGI KUU BARA 2017/18

RATIBA ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2017-2018 imetoka na itatanguliwa na mchezo wa Ngao ya Jamii, baina ya mabingwa watetezi, Yanga SC dhidi ya washindi wa Kombe la Shirikisho la Soka nchini (TFF), michuano ijulikanayo kama…

Mrisho Ngassa Ajifua Na Pamba

ALIYEKUWA kiungo mshambuliaji wa timu ya Yanga ambaye kwa sasa anakipiga Mbeya City, Mrisho Ngassa, ameonekana akifanya mazoezi ya kujiweka fiti kuelekea ligi kuu msimu ujao akiwa na Pamba FC. Ngassa ambaye ni kati ya…

Bongo Bahati Mbaya Kwenye Soka

LIGI za soka za Tanzania kwa sasa zimesimama, timu zinakaribia kuanza maandalizi ya msimu wa 2017/2018, wachezaji wengi wapo kwenye mapumziko pia, huku wengine wakiwa bado wapo kwenye michuano mbalimbali mifupi. Wakati msimu wa…

Kubaki Ligi Kuu Bara Hesabu Kali

Omary Mdose TAYARI timu ya JKT Ruvu yenye maskani yake Mlalakuwa jijini Dar es Salaam, imeaga Ligi Kuu Bara msimu huu baada ya kupoteza mchezo wake wa wikiendi iliyopita dhidi ya Toto Africans ya Mwanza kwa mabao 2-1. Baada ya…

Hans Poppe Atema Cheche Simba

Said Ally, Dar es Salaam, Championi Jumatano MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe, ameibuka na kudai kwamba wapinzani wao wanaowatuhumu kwamba wanatoa rushwa wanakosea kutokana na wao kutumia fedha kwa…

Omog: Dakika 270 Zina Ubingwa Wetu

  Said Ally, Dar es Salaam, Championi Jumatano KOCHA wa Simba, Joseph Omog raia wa Cameroon ameweka bayana kwamba mipango yake haijaharibika kabisa baada ya kuambulia pointi saba badala ya tisa ambazo walikuwa wanazitegemea kuzivuna…

Fakhi Atua Dar Kuichinja Simba

Said Ally, Dar es Salaam, Championi Jumatatu MAMBO yanazidi kuwa mazito katika sakata la Simba kupewa pointi tatu za bwerere, kwani timu ya watu watatu kutoka Kagera, akiwemo beki Mohammed Fakhi, inatua Dar ikiwa na ushahidi kamili kwa…