Vyakula Vinavyoliwa na Mgonjwa wa Vidonda Vya Tumbo
LEO tutaangazia vyakula tiba kwa wagonjwa wa vidonda vya tumbo. Tutaangalia aina ya vyakula anavyopaswa kula au kuviepuka mgonjwa wa vidonda vya tumbo (Ulcers) ili kupata nafuu na kuishi bila kusumbuliwa nao. Ili kupunguza makali au…
