Bodaboda wajeruhiwa, waandamana Maswa
Mmoja wa madereva hao akiwa na majeraha mgongoni.
Na faraja mohamed
MADEREVA pikipiki wanaofanya biashara ya kusafirisha abiria maarufu kwa jina la Bodaboda wilayani Maswa mkoani Simiyu, wameandamana hadi kwenye Ofisi za Usalama wa Taifa…
