Mambo matatu kwa wenye wapenzi wachunaji!
Huko mtaani ambapo imekuwa ni kitu cha kawaida kumsikia msichana akitamba mbele za wasichana wenzake kwa kusema; ‘Mimi nina pedeshee wangu bwana, kila ninachotaka ananipa, anajua asiponipa namtosa tu, yaani namchuna kama sina akili…
