Wanaodaiwa Kumuua Mama Yao Mzazi Wanaswa
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linawashikilia watu watatu wa familia moja kwa tuhuma za kuhusika kwenye mauaji ya mama yao mzazi, Frazia Rukera mwenye umri wa miaka 99, mkazi wa Kijiji cha Mkombozi kata ya Rukuraijo wilayani Kyerwa.…
