WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MWENYEKITI WA CWT SINGIDA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemtembelea na kumpa pole Mwenyekiti wa Chama Cha Walimu (CWT) mkoa wa Singida Mwalimu Aron Jumbe aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI).
Akiwa hospitalini hapo leo…
