Hatimaye Willian Atua Arsenal
KLABU ya Arsenal imemsajili kiungo wa kati wa Brazil, Willian kwa mkataba wa miaka mitatu baada ya mkataba wa mchezaji huyo, 32, kukamilika. The Blues ilitoa ofa yake mpya kwa mchezaji huyo lakini haikuwa tayari kufikia kile ambacho the…
