×

April 2017

Stresi Zamkimbiza Wastara Bongo!

Na HAMIDA HASSAN| IJUMAA WIKIENDA| TOWN STORY DAR ES SALAAM: kufuatia stress (msongo?) za maisha Bongo, Super woman wa sineza...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Harmo Rappa Apigwa Chupa Maisha Basement Kisa ‘Kiboko Ya Mabisho’ – (Pichaz& Video)

  Good morning mdau, leo kwenye Celebrity Updates ninazo zile zilizobamba over the weekend ikiwemo hii ya msanii anaechipukia kwa...

READ MORE

Snura Adaiwa Kupangiwa Nyumba na Mwarabu

Na HAMIDA HASSAN| GLADNESS MALLYA| IJUMAA WIKIENDA| UBUYU ULIONYOOKA DAR ES SALAAM: Ubuyu wa mjini! Staa wa muziki na sinema...

READ MORE

Tambwe: Naijua Simba, Lazima Ianguke

Said Ally | CHAMPIONI| Dar es Salaam STRAIKA wa Yanga, Amissi Tambwe, raia wa Burundi, ameweka bayana kwamba utitiri wa michezo...

READ MORE

Fella, Thabit Nusura Wazichape Msalani

Na ISSA MNALLY| IJUMAA WIKIENDA|OVER ZE WEEKEND WAMILIKI wa Makundi ya Taarab, Thabit Abdul wa Wakali Wao na Said Fella...

READ MORE

Nay wa Mitego Aanika Walichokizungumza na Waziri Mwakyembe

  Musa Mateja | IJUMAA WIKIENDA | Over Ze Weekend STAA aliyeamua kujitoa mhanga kwa kuwagonga wakuu wa nchi hivi karibu,...

READ MORE

BABU TALE; Maoni ya Shigongo Hayahusiani na Shoo

Na ABDALLAH MRISHO|MENEJA MKUU GLOBAL PUBLISHERS. MWISHONI mwa wiki iliyopita ulizuka mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya Mkurugenzi...

READ MORE

Unachotarajia kwa Mpenzi Wako, Ukikikosa Moyo Huumia Sana!

Na GABRIEL NG`OSHA| IJUMAA WIKIENDA| XXLOVE PENZI msomaji ni matumaini yangu kuwa umzima wa afya njema na karibu tena kwenye...

READ MORE

Zantel Yadhamini Hafla ya “Mwanamke na Uongozi” UDSM

Mkufunzi Mkuu na Msambazaji wa huduma za Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel, Kulwa Mbena akizungumza wakati wa hafla ya “Mwanamke...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti Yote Tanzania Aprili 3, 2017 ya Udaku, Hardnews na Michezo

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, April 03, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Mwenyekiti wa Chadema Muheza Atimkia CCM

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoani Tanga kimepata pigo baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya Muheza,...

READ MORE

UWOYA: Mh! kwa Nape Hapana!

Na IMELDA MTEMA/GPL IRENE Uwoya amekataa katakata kuzungumzia chochote kuhusiana na kutumbuliwa kwa aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na...

READ MORE

LIVE: Somo Kutoka kwa Muhamasishaji Mahiri Nchini Eric James Shigongo…

Jiunge na Muhamasishaji wa Kimataifa hapa… Part 2 Watu Wangu.

READ MORE

Shika Ndinga ya Efm Yatua Mwembeyanga, Temeke

Baadhi ya wananchi waliofika viwanjani hapo wakishuhudia mashindano hayo. Baadhi ya washiriki wa shindano la Shika Ndinga wakichuana katika mashindano...

READ MORE

Watu 250 Waangamia Kwenye Maporomoko ya Ardhi Colombia

JESHI la Colombia limesema idadi ya waliofariki katika maporomoko ya ardhi nchini humo imefikia watu 250 huku waliojeruhiwa wakiwa 400....

READ MORE

Kim Kardashian Afanya Upasuaji wa Makalio Tena!

MWANAMITINDO na Mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians (KUWTK), Kim Kardashian amefanya upasuaji wa kuyarudisha makalio yake...

READ MORE

OFM Wamvaa Masogange ‘Kininja’, Siri Nzito Yafichuka Kuhusu Maisha Yake

Na Mwandishi Wetu|Gazeti la IJUMAA DAR ES SALAAM: KUFUATIA madai kuwa, mrembo mwenye figa matata Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ anaishi...

READ MORE

LIVE: Uzinduzi wa Mbio za Mwenge 2017 Mkoani Katavi

LIVE: UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE 2017 MKOANI KATAVI.

READ MORE

Shilole Ajivisha Pete ya Uchumba

Na Mwandishi Wetu/GPL STAA wa Filamu za Kibongo, Zuwena Mohammed ameamua kujivisha pete ya uchumba mwenyewe, kitendo ambacho kimezua minong’ono...

READ MORE

Harmorapa Auza Sura na Mzungu wa Kampuni ya Swala Escape One

Salum Milongo/GPL MSANII wa Bongo Fleva anayetrendi katika mitandao ya kijamii Bongo, Athuman Omary ‘Hamorapa’, jana jumamosi katika viwanja vya...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti Yote Tanzania April 2, 2017 ya Udaku, Hardnews na michezo

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, April 01, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Mr Shinda Nyumba apagawisha Temeke leo

Mr Shinda Nyumba akigawa kuponi katika maeneo ya Temeke Stereo. Shinda Nyumba akiwagawaia vipeperushi wakazi wa maeneo ya Temeke Stereo....

READ MORE

Flora Lauwo: Dada wa Kazi Hagusi Nguo za Mume Wangu

STORI: IMELDA MTEMA | RISASI JUMAMOSI| MPAKA HOME ANAITWA Flora Godwin Lauwo. Kwa wale wanaomsoma leo kwa mara ya kwanza,...

READ MORE

Mpira Umekwisha Uwanja wa Taifa: Yanga SC 1-0 Azam FC

MPIRA UMEKWISHAAAAAA…. KADI Dida analambwa kadi ya njano kwa kupoteza muda -SUB Juma Mahadhi anaingia kuchukua nafasi ya MsuvaDAKIKA 5...

READ MORE

Isikupite Hii… Utajifunza Mbinu za Kukuza Uchumi Wako Katika Kipindi Hiki Kigumu

Isikupite #ProfessionalGathering Jumapili hii… Jinsi ya kukuza uchumi wako kwenye kipindi hiki cha uongozi wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli....

READ MORE

#GlobalCelebrities: Tazama Jinsi IlivyokuwaKwenye Uzinduzi Wa Album Mpya Ya Lady Jay Dee ‘WOMAN’ – (Photos & Video)

Siku ya Ijumaa tarehe 31 Machi ilikuwa siku muhimu sana kwa Malkia wa Bongo Fleva Lady Jay Dee ambaye alikuwa...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Afrika Kusini Auawa kwa Kuchomwa Visu Bungeni!

  MWANDISHI: WALUSANGA NDAKI| RISASI JUMAMOSI| NAKUJUZA ZAIDI KWA wanaokumbuka, siku hiyo shule zilifungwa, wafanyakazi serikalini waliowahi kazini asubuhi walirudi...

READ MORE

Mtoto wa Kajala Awa Kivutio!

STORI: IMELDA MTEMA |RISASI JUMAMOSI| RISASI VIBES wa Bongo Muvi, Kajala Masanja, Paula Paul hivi karibuni aligeuka kivutio kikubwa shuleni...

READ MORE

Paraguay: Waandamanaji Wamelichoma Moto Jengo la Bunge Lao

PARAGUAY: Waandamanaji nchini Paraguay, wamevamia jengo ya bunge la nchi hiyo na kulichoma moto wakipinga hatua ya bunge la senate la...

READ MORE

Tazama LIVE Event ya Tuzo za Malkia wa Nguvu – Mwalimu Nyerere Conversion Center

Tazama LIVE Event ya Tuzo za Malkia wa Nguvu -PART 1 Tazama LIVE Event ya Tuzo za Malkia wa Nguvu...

READ MORE

Wolper Amchana Harmorapa!

Stori: Imelda Mtema |RISASI JUMAMOSI| RISASI VIBES JACQUELINE Wolper amefunguka kuwa mwanamuziki chipukizi ambaye hivi sasa amekuwa gumzo mjini, Athuman Omary...

READ MORE

Aliyezaa na Young D Amfungukia Amber Lulu

  STORI: GLADNESS MALLYA|RISASI JUMAMOSI| RISASI VIBES BAADA ya picha za msanii wa Bongo Fleva, David Genz ‘Young D’ na Amber Lulu...

READ MORE

Mahakama Nchini Kenya Yazuia Uamuzi wa Rais Magufuli Kuepeka Madaktari 500

KENYA: Mahakama ya Kazi nchini Kenya imeweka zuio la muda dhidi ya serikali ya nchi hiyo kuajiri madaktari kutoka nje...

READ MORE

Omog Amtia Jeuri Mavugo, Aiue Kagera Sugar

STORI: Sweetbert Lukonge | CHAMPIONI JUMAMOSI| Dar es Salaam KIKOSI cha Simba kesho Jumapili kinashuka uwanjani kupambana na Kagera Sugar katika mchezo...

READ MORE

Kaseja Atibua Mipango ya Simba Kagera Sugar

STORI: Musa Mateja | CHAMPIONI| Dar es Salaam KIPA mkongwe, Juma Kaseja, amewatahadharisha Simba kwa kuwaambia kwamba wajipange kisaikolojia kabla ya...

READ MORE

Ulimmisi Solo Thang? Huyu Hapa!

MAKALA: ERICK EVARIST |RISASI JUMAMOSI| RISASI VIBES KWA kizazi kile kilichokuwa na ufahamu wa muziki miaka ya 2000, jina la...

READ MORE