×

May 2017

Meya wa Dar Akabidhi Ndinga za EFM Kwa Washindi

Meya wa Jiji la Dar es Salaam,Isaya Mwita Charles jana amekabidhi rasmi magari mawili aina ya Suzuki Carry maarufu kama...

READ MORE

Video: NMB Yazindua ‘Fanikiwa Account’ Kuwasadia Wafanyabiashara

Benki ya NMB, imezindua rasmi huduma yake mpya ya Fanikiwa Accounts ambayo ni mahususi kwa ajili ya kuwasaidia wafanyabiashara wadogowadogo...

READ MORE

LIVE: Maajabu Ya Sokwe Ziwa Tanganyika Tanzania

Kutoka Mbuga za Wanyama: Kipindi hiki kitakuwa kikirushwa LIVE kupitia Global TV Online kila Jumatano, saa 11:00. Tazama hii  

READ MORE

Sportpesa Yaibuka na Michuano Yake, Simba, Yanga Ndani

Katika kile ambacho kinaonekana kufanya mapinduzi ya soka la Tanzania na Afrika Mashariki kwa jumla, Kampuni ya SportPesa, leo Jumatano...

READ MORE

Efm Yacheza Mechi na Madereva Daladala Kiwanja cha Tanganyika Packers

Kituo cha utangazaji cha EFM redio  kimecheza mechi ya kirafiki baina yao na madereva daladala siku ya leo ya tarehe...

READ MORE

BreakingNews: Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Prof. Muhongo… Barua Ipo Hapa

IKULU: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini,...

READ MORE

Breaking News: FIFA Yaipongeza Yanga Kwa Ubingwa Ligi Kuu Bara

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania la Kimataifa (Fifa), Gianni Infantino, ametuma salamu za pongezi kwa timu ya Yanga baada...

READ MORE

Kigoma All Stars Gari Limeishiwa Mafuta au Dereva Amesinzia?

BRIGHTON MASALU | RISASI MCHANGANYIKO | MAKALA ALHAMISI mchana. Wingi wa watu hususan vijana wakiwa kimya kabisa, unanipa hamasa ya...

READ MORE

Usikose Kipindi cha Wanyama LIVE Kupitia Global TV Online

Kutoka Mbuga za Wanyama: Kipindi hiki kitakuwa kikirushwa LIVE kupitia Global TV Online kila Jumatano, saa 11:00 (USIKOSE KESHO JIONI)

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-18

Alianza taratibu sana lakini mwisho wa siku David akaanza kuzoea, akawa mtumiaji mzuri wa madawa hayo, alifanya kwa siri, hakutaka...

READ MORE

Arusha: Watu Wawili Wanaodaiwa ni Wapenzi Wauawa kwa Kuchomwa Moto

Watu wawili wanaodhaniwa ni wapenzi,  wameuawa kwa kuchomwa moto baada ya kufungwa kamba wakiwa kitandani, katika  tukio lililotokea eneo la...

READ MORE

M-Bet Wamwaga Shilingi Milioni 826 Kwa Mshindi

Ofisa wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Kabora Mboya (kushoto) Msemaji wa M bet,Godluck Wambura wakimsikiliza kwa makini mshindi...

READ MORE

First Eleven Ya Wachezaji wa Kigeni Ligi Kuu Bara 2016/17

  NA WILBERT MOLANDI | CHAMPIONI JUMATANO| MAKALA MSIMU wa Ligi Kuu Bara 2016/17 umemalizika wikiendi iliyopita kwa Yanga kufanikiwa...

READ MORE

VIDEO: Rais Magufuli Amtaka Muhongo Aachie Ngazi, Aivunja Bodi ya TMAA na Kumfuta Kazi Mkurugenzi Wake

IKULU, DAR ES SALAAM: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatano, Mei 24, 2017...

READ MORE

Bond wa Wastara Atoweka Baada ya kuachiwa na polisi

GLADNESS MALLYA | RISASI JUMATANO | HABARI DAR ES SALAAM: Baada ya kuachiwa na polisi kufuatia kukaa mahabusu ya Kituo...

READ MORE

VIDEO: Rais Magufuli Akabidhiwa Ripoti ya Mchanga wa Madini

IKULU, DAR ES SALAAM: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatano, Mei 24, 2017...

READ MORE

Barua Nzito Kwa Bongo Fleva Wote baada ya kuondokewa na Dogo Mfaume

NA GABRIEL NG’OSHA | RISASI JUMATANO | BARUA NZITO Mungu wangu ninakushukuru kwa siku ya leo, asante pia kwa ajili...

READ MORE

Tuzo ni Mali ya Simba SC leo

 Sweetbert Lukonge | Championi Jumatano | Habari LEO jioni tuzo mbalimbali za Ligi Kuu Bara msimu wa 2016/17, zitatolewa baada...

READ MORE

Ligi Imeisha Haya Tutayakumbuka, Waamuzi kufungiwa na Sakata la kadi ya Fakhi

MSIMU wa 2016/17 wa Ligi Kuu Tanzania Bara umefika tamati wiki iliyopita huku timu ya Yanga inayonolewa na Mzambia, George...

READ MORE

Dude: Kifo cha Dogo Mfaume kitufunze

STORI: MWANDISHI WETU, RISASI JUMAMOSI, MOTOMOTO NEWS SIKU chache baada ya kufariki dunia kwa mkali wa Muziki wa Mchiriku na...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Uteuzi wa Naibu Katibu TAMISEMI- Elimu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 24 Mei, 2017 amemteua Bw. Tixon...

READ MORE

Tunda Fedha za Video Pekee Hazitoshi

STORI NA BONIPHACE  NGUMIJE, RISASI, RISASI VIBES MUUZA sura kwenye video mbalimbali za Kibongo, Tunda Sebastian ‘Tunda’ amefunguka kuwa fedha...

READ MORE

JPM Kupokea Ripoti ya Mchanga Leo

MWANDISHI WETU, RISASI MCHANGANYIKO DAR ES SALAAM: Rais Dk. John Pombe Magufuli, leo anatarajiwa kupokea ripoti ya kamati maalum aliyoundwa...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Mei 24, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 24, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Kuku Hanyonyolewi Kwa Maji ya Barafu

HAYA haya tena jamani nimekuja miye mwenye maneno ya shombo, eti sina tofauti na harufu ya kambare, sina siri kama...

READ MORE

Rais Magufuli, Wahurumie, Hawa Wote Wanaume Zao Wameuawa Kwa Kupigwa Risasi

STORI: WAANDISHI WETU| UWAZI| HABARI PWANI: Wanawake 22 ambao waume wao wameuawa na watu wasiojulikana katika Wilaya za Kibiti, Ikwiriri...

READ MORE

Rais Magufuli Kupokea Taarifa ya Kamati Maalum ya Mchanga wa Madini

IKULU: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kesho anatarajiwa kupokea taarifa ya kamati maalum iliyoundwa...

READ MORE

Mastaa wa Kike Washindana Kutupia Picha Kali Instagram

  Mwigizaji wa Bongo Movies, Wema Sepetu. Mwigizaji wa Bongo Movies, Kajala Masanja. Mwanamitindo Jokate Mwegelo. Staa wa Mduara Bongo,...

READ MORE

Mtoto Anayeishi kwa Kunywa Mafuta Apata Ahueni

DAR ES SALAAM: Mtoto ambaye amekuwa akiishi kwa kunywa mafuta ya kula na kula sukari, Shukrani Kipango, alilazwa Hospitali ya...

READ MORE

Nape Nnauye Amvaa Tena Mkuu wa Mkoa Sakata la Kuvamia Clouds Media

IKIWA ni miezi miwili imepita tangu kutokea tukio la uvamizi wa kituo cha Clouds Media Group na kuundwa kwa kamati...

READ MORE

Sasa ni Rasmi, Manji Amejiuzulu Yanga, Mwenyewe Amethibitisha, Kauli yake Hii Hapa…

Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji amethibitisha kuachia ngazi katika nafasi ya Uenyekiti wa klabu hiyo, uamuzi ambao aliuchukua...

READ MORE

KAHABA KUTOKA CHINA-01

“Nisikilize Rose. Unataka niseme nini ili ujue kwamba nakupenda? Unataka nifanye nini ili ujue kwamba nakuhitaji? Au unataka nijiue? Au...

READ MORE

Yamoto Bendi Yavunjika Rasmi, Kila Mmoja Sasa Kivyake

NA NA ANDREW CARLOS | UWAZI |MAKALA DAR ES SALAAM: Kwa mara ya kwanza, usiku wa Jumapili, Septemba 21, mwaka...

READ MORE

Taarifa ya Yusuf Manji Kutangaza Kujiuzulu Yanga, Tamko Rasmi la Klabu Hili Hapa

Baada ya taarifa kutoka ndani ya Klabu ya Yanga kueleza kuwa Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Yusuf Manji ameachia ngazi kuiongoza...

READ MORE

Video + Pichaz: SportPesa Waingia Mkataba wa Kuidhamini Singida United

Hatimaye Klabu ya Singida United ya mjini Singida, mapema leo imeingia mkataba wa udhamini wa zaidi ya shilingi Mil. 300,...

READ MORE