
Ni siku nyingine tena ya kushuhudia miamba kibao ikishuka dimbani leo kusaka nafasi ya kushiriki michuano mikubwa ya Ulaya. Je nani na nani kuungana na mabingwa wengine? Jisajili na ubashiri hapa.
Tukianza na mechi ya Fenerbahçe Instanbul wao watakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Gornik Zabrze ambao hawapewi nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi kwenye mchezo huu wa leo.
Timu hiyo kutoka Uturuki wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na nafasi kubwa ya kushinda kutokana na ubora wa kikosi chao, uzoefu wa michuano ya kimataifa na matokeo mazuri ya maandalizi ya msimu. Timu hiyo imeonyesha makali ya kushambulia na imekuwa ikifunga mabao mengi katika mechi za hivi karibuni.
Huku Górnik Zabrze wao, licha ya kuwa na faida ya kucheza nyumbani, watakuwa na kibarua kizito dhidi ya timu yenye wachezaji wa kiwango cha juu. Ili kupata matokeo mazuri, watalazimika kuwa imara kwenye safu ya ulinzi na kutumia vizuri nafasi chache watakazopata kupitia mashambulizi ya kushtukiza.
Ukiachana namechi hiyo, Meridianbet inakwambia tengeneza mkwanja kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Lakini hii ni mechi ya mtoani hivyo lolote linaweza kutokea timu ambayo imejipanga vilivyo inaweza ikaondoka na ushindi tena mnono kabisa. Meridianbet inakwambia kuwa tengeneza pesa yako kupitia mechi hii. Beti sasa.
Mtanange mwingine ni huu wa Kairat Almaty dhidi ya Omonia Nicosia ambapo unatarajiwa kupigwa siku ya leo ambapo wenyeji wanahitajii wanaingia kwenye mchezo huu kwenda kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi ya kwanza walipokutana kwa bao 1-0 kule nchini Cyprus.
Timu hiyo ya Omonia Nicosia ni yenye uzoefu mkubwa katika mashindano ya Ulaya na hucheza kwa nidhamu ya hali ya juu, hasa katika safu ya ulinzi?. Kwa kuwa tayari wana faida ya bao moja, huenda wakacheza kwa tahadhari wakisubiri nafasi za kushambulia kwa kushtukiza. Jisajili na usuke jamvi hapa.
Wenyeji wa mechi hiyo Kairat watalazimika kushambulia tangu mwanzo ili kusawazisha matokeo ya jumla, jambo ambalo linaweza kuacha nafasi nyuma kwa Omonia kutumia mashambulizi ya haraka.
Kwenye mchezo wa leo kila timu inaitazama kwa jicho lingine kabisa kwani mpaka sasa bao moja sio kubwa hivyo meza inaweza ikapinduliwa na matokeo yakawa mengine kabisa. Odds kubwa zipo Meridianbet kwenye mechi hii. Ingia na ubeti hapa.
Kairat anaweza kushinda nyumbani au kulazimisha sare, lakini Omonia ana nafasi nzuri ya kusonga mbele kutokana na faida ya mchezo wa kwanza. Je wewe unaona nani anaondoka na ushindi wa moja kwa moja?