×

Wema Ampongeza Waziri Nape….

Waziri Nape (Kulia)

IKIWA bado sekeseke la Madawa ya kulevya linaendelea kuitetemesha nchi kwa sasa, msanii wa Bongo Muvi, Wema Abraham Sepetu, ‘Maddam’ amempa pongezi Waziri wa Michezo, Sanaa na Utamaduni, Nape Nnauye kutokana na kauli yake kuhusu madawa ya kulevya.

Wema Sepetu

Ikiwa bado sekeseke la madawa ya kulevya linaendelea kuitetemesha nchi kwa sasa, msanii wa Bongo Muvi, Wema Abraham Sepetu, ‘Maddam’ amempa pongezi Waziri wa Michezo, Sanaa na Utamaduni, Nape Nnauye kutokana na kauli yake kuhusu madawa ya kulevya.

Aidha leo Jumatatu, Feb 13,  mwaka huu, Watanzania wengi walitegemea kusikia majina ya wamu ya tatu ya watumiaji, wauzaji, wasafirishaji na wadhamini wa madawa ya kulevya. Kwa sababu ambazo bado hazijulikana orodha ya majina hayo haijatajwa badala yake Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alitoa amri kwa jeshi polisi kukamatwa kwa mfanyabiashara mmilikiwa wa maduka ya Mapenzi Classic maarufu kama Chiddy Mapenzi.

Chiddy Mapenzi na Mkewe Shamsa Ford

 

Ujumbe wa Wema Instagram

Salum Milongo/GPL