×

Afya

Unajua Faida na Hasara za Nanasi Kwa Afya Yako, Zipo Hapa!

Nanasi ni tunda lenye ladha tamu na maji mengi ambalo linapendwa na wengi duniani. Zaidi ya kuwa tamu, nanasi lina...

READ MORE

Sababu Za Mbegu Za Maboga Kuipiku Supu Ya Pweza

MBEGU za maboga zimekuwa kimbilio namba moja kwa baadhi ya watu, wakiwamo kina baba wanaozichangamkia kwa nia ya kujiongezea nguvu...

READ MORE

 Jinsi ya Kukabiliana na Tatizo la Kuvurugika Mzunguko wa Hedhi

TATIZO la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huwakumba wanawake wengi waliopo kwenye umri wa kuzaa au wale wanaokaribia kufikia ukomo...

READ MORE

Mzee Bayo Amwaga Machozi Mtoto Hatembei, Degedege Inamtesa – “Rais Samia Na Watanzania Nisaidieni”- Video

Ukiona mtu mzima analia mbele za watu, ujue kuna jambo! Charles Bayo analia. Kinachomliza ni mwanaye Emmanuel Bayo (15) ambaye...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Ataka Mikoa Ianze Urutubishaji Wa Chakula Kuanzia Ngazi Za Vijiji

Dar es Salaam 15 Juni 2024: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Mikoa yenye viwango vikubwa vya upungufu wa damu na...

READ MORE

Tatizo la Fangasi Kwa Mjamzito, Nini Kinasababisha Kuugua? Soma Hapa

Wakati wa ujauzito wanawake wengi hupata hofu juu ya kushika maambukizi yoyote kwani yanaweza kuathiri ukuaji wa mtoto tumboni.  ...

READ MORE

Fahamu Vyakula vya Kuondoa Gesi Tumboni

WATU wengi wamekuwa wakihangaika sana na matumbo yao kujaa gesi na pengine kuvimba. Leo nakuletea baadhi ya vyakula vya kula...

READ MORE

Madiwani Manispaa Ya Kinondoni, UWT Na Viongozi Wa CCM Walivyowatendea Wadi Za Wazazi

Dar es Salaam 4 Machi 2024: Katika kuelekea Siku ya Wanawake Duniani madiwani wa viti maalum wanawake kutoka Manispaa ya...

READ MORE

Rais Samia Apeleka Ambulance, CT SCAN na Digital X-Ray Hospitali ya Mount Meru, Gambo Atia Neno

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonyesha kujali afya za wananchi wake na...

READ MORE

Queen Masanja Na Kampuni Ya Fixchap Watoa Msaada Wa Vitakasa Maji Kwa Watoto Wanaouguzwa Saratani

Dar es Salaam 11 Novemba 2023: Mrembo Queen Masanja ambaye ni balozi wa Kampuni ya kutakasa maji ya Fixchap, leo...

READ MORE

Nyama Nyekundu Inavyosababisha Kisukari, Moyo, Kansa

NILIWAHI kuandika kuhusu madhara ya nyama nyekundu ingawa watu wengi hawajui kwamba ina hatari zake. Kutokana na wengi kupenda nirudie...

READ MORE

Faida 20 Mwilini za Kula Bamia

JAPOKUWA bamia huchukuliwa na wengi kuwa ni chakula rahisi kinachotumiwa zaidi na kundi la watu wenye uchumi wa chini na...

READ MORE

Wegovy: Kampuni Ya Dawa Za Kupunguza Uzito Ndio Yenye Thamani Kubwa Zaidi Barani Ulaya

Kampuni ya kuunda dawa za kupunguza uzito, Wegovy, imekuwa kampuni yenye thamani zaidi barani Ulayana kuondoa ufalme wa kampuni ya...

READ MORE

Fahamu Kinachosababisha Wajawazito Kuvimba Miguu

TATIZO hili la kuvimba miguu huwapata karibu wajawazito wote na huwa haliashirii tatizo lolote kubwa la kiafya kwani hutokana na...

READ MORE

Madhara ya Kufanya Tendo la Ndoa Kupita Kiasi Yapo Hapa

WATAFITI wa masuala ya afya na saikolojia wanasema tendo la ndoa ndicho tendo ambalo humpa furaha kubwa zaidi binadamu na...

READ MORE

Vyakula Vya Kuepuka Unapopunguza Unene

HIVI karibuni Shirika la Afya Duniani (WHO), limeonya kuhusu ongezeko la watu wenye unene wa kupitiliza huku wakitaja hiyo kuwa...

READ MORE

Kongamano La Kupima Na Kutibu Afya Ya Akili Kufanyika Uwanja Wa Uhuru Kesho

Dar es Salaam, 10 Julai 2023: Asasi ya Vibes Foundatin kwa kushirikiana na wabobezi wa matibabu ya afya ya akili...

READ MORE

Matatizo Yanayomfanya Mwanamke Asipate Ujauzito Haraka

KWA kawaida mwanamke anatakiwa apate ujauzito ndani ya mwaka mmoja baada tu ya kuolewa au kuanza uhusiano. Tunategemea baada ya...

READ MORE

Fahamu Athari za Vyakula Vyenye Wanga Mwilini

LEO nataka nikueleze kidogo kuhusu sayansi ya chakula aina ya wanga. Mwili wako hutumia vyakula vikuu aina tatu ambavyo ni...

READ MORE

Maajabu ya Dunia: Hii Ndo Mimea 7 Inayokula Nyama na Wadudu

Mimea mingine hukua mahali ambapo haiwezi kupata virutubisho vyote vinavyohitaji kutoka kwenye mchanga. Ili kuhakikishi mimea hii inapata madini hayo...

READ MORE

Upimaji Afya Bure Moshi, St Mary Goreti Waandaa Zoezi Maalum, Washiriki Kuchangia Damu

Kilimanjaro: Uongozi wa Shule ya Sekondari ya St Mary Goreti iliyoko Moshi, mkoani Kilimanjaro imeandaa zoezi la upimaji wa afya...

READ MORE

Diwani Mkuranga Awaliza Wananchi Wake Kwa Furaha

PWANI: 2 Machi 2023, Diwani wa Kata ya Mkuranga mkoani Pwani, kupitia Chama cha Mapinduzi, Shabani Manga, jana (Jumatano) alizindua...

READ MORE

Bima Ya Afya Kwa Wote, Waziri Ummy Afunguka Watanzania Watakavyonufaika-Video

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema lengo la Bima ya Afya kwa Wote ni kuchangiana kwa gharama za matibabu kwa...

READ MORE

Fahamu Sababu Za Maumivu Ya Korodani, Nini Ufanye Upatapo Tatizo Hili

Wiki iliyopita tulieleza kwa urefu tatizo la kuvimba korodani, leo tunaendelea kufafanua tatizo hili na tutaeleza nini ufanye upatapo tatizo...

READ MORE

Nafasi za Kazi StarTimes Tanzania Company Limited, Finance Assistant

Finance Assistant Finance Assistant at StarTimes November, 2022 Position: Finance Assistant Reporting To: Finance Manager Location: Dar Es Salaam KEY...

READ MORE

Matumaini kwa Kinamama na Watoto Mkoani Tanga Baada ya Kupokea Vifaa Tiba Kutoka Vodacom

Vodacom Tanzania Foundation imetoa msaada wa vifaa tiba vya kitengo cha wagonjwa mahututi na wajawazito, vyenye thamani ya zaidi ya...

READ MORE

Nafasi za Kazi Tanzania Health Promotion Support (THPS), Care and Treatment Technical Advisor

Tanzania Health Promotion Support (THPS) is an indigenous NGO established under nongovernmental organization act No 24 of 2002 in 2011....

READ MORE

Ziro Malaria Inaanza na Mimi, Nachukua Hatua Kuitokomeza

#ZIROMALARIA: Unaambiwa mbu anayeeneza Malaria hamuogopi baunsa wala mtu yeyote! Usipofuata maelekezo ya jinsi ya kujikinga na Malaria lazima utaambukizwa....

READ MORE

Nusu ya Wanaume Nchini Uingereza Hawafui na Kutandika Mashuka

UTAFITI uliofanywa na Shirika la Utafiti la Bedding Company la nchini uinereza umegundua kuwa zaidi ya nusu ya wanaume nchini...

READ MORE

Ripoti Inaonesha Wanawake Wanaongoza kwa Magonjwa ya Ngono Meatu

Kamati ya Ukimwi Halmashauri ya Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu, imesema kuwa katika Wilaya hiyo takwimu zinaonyesha uwepo wa idadi...

READ MORE

Sahau Kuhusu Mswaki, Tafiti Zinadai Kubusiana Mara 4 kwa Siku Kunadumisha Afya

DAKTARI bingwa wa meno kutoka nchini Uingereza anasema watu wanapaswa kubusiana dakika 4 kwa siku ili kudumisha afya ya meno,...

READ MORE

Muhimbili Kuanzisha Benki ya Maziwa

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili-Mloganzila, inatarajia kuanzisha benki ya maziwa ya binadamu. Akizungumza leo Ijumaa Machi 18, wakati wa ziara ya...

READ MORE

Watu Nane Wafa kwa Corona Tanzania

Wizara ya Afya imesema kuanzia Februari 5, 2022 hadi Machi 4, 2022 kumekuwa na visa vipya 290 vya COVID-19, huku...

READ MORE

Wachangia Damu Kutambulika Kwa Kadi Za Kieletroniki

SERIKALI kupitia wizara ya Afya imejipanga kutoa kadi za kieletroniki kwa wachangiaji damu wanaojitolea mara kwa mara angalau mara tatu...

READ MORE

Sakata la ‘Amka Umeze P2’, Waziri Ummy Atoa Tamko

Kufuatia kuwepo kwa maneno yanayosambaa ‘Amka umeze P2’, Waziri wa ya Afya, Ummy Mwalimu ameeleza kuwa wao kama Serikali wasingependa...

READ MORE

Matumizi ya P2 Yapaa, Wabunge Wachanganyikiwa

Kamati ya Bunge ya masuala ya UKIMWI imebaini ongezeko la matumizi ya vidonge vya kuzuia mimba kwa Wasichana hasa wenye...

READ MORE

Mke wa Prof Jay: Tumeruhusu Asaidiwe

IKIWA ni wiki tatu sasa tangu rapa maarufu na nguli wa Bongo, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ alazwe katika Hospitali ya...

READ MORE

Kirusi Kipya cha Ukimwi Chaibuka, ni Hatari Kuliko cha Awali

Kirusi kipya cha HIV kimegundulika Uholanzi ambapo Wataalamu wanasema ni hatari zaidi kuliko kirusi kilichozoeleka siku zote kwani kirusi hiki...

READ MORE

Tanzania Yapokea Dozi 800,000 za Chanjo

Waziri wa Afya, Ummy leo Januari 26, 2022 amepokea dozi 800,000 za chanjo ya UVIKO-19 aina ya Sinopharm kutoka Serikali...

READ MORE