×

Amani

KUTOKA ‘SEBULENI ‘ HADI VIWANJANI

MAISHA yanakwenda kasi kweli! Wasanii wengi kwa sasa wanakimbizana na dijitali! Leo hii huyu anakimbiza kupata views kwenye Mtandao wa...

READ MORE

KUKUAMBIA ANAKUPENDA TU HAITOSHI IKIWA… – 2

TUNAMALIZIA mada yetu iliyoanza wiki iliyopita. Muhimu tunaangalia kasoro unazotakiwa kuziangalia kwa mpenzi uliyenaye. Je, upo kwenye uhusiano na mpenzi...

READ MORE

FAIZA AFURAHIA SUGU KUPATA MTOTO

TOFAUTI na matarajio ya wambeya wa Instagram, kwamba mzazi mwenziye Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally atakuwa...

READ MORE

DK CHENI AKIRI KUIPA KISOGO SANAA

MKONGWE kwenye sanaa ya filamu Bongo, Mahsein Awadhi ‘Dk Cheni’ amefunguka kuwa, kwa sasa ameamua kuiweka pembeni sanaa na kujikita...

READ MORE

 ROMY ETI KAMWE ‘HAMCHITI’ MKEWE

KAKA wa mwanamuziki maarufu Nasibu Abdul ‘Diamond’, Romeo Jones ‘Romy Jons’ amefunguka kuwa katika kitu ambacho hawezi kukifanya ni kumsaliti...

READ MORE

NDANI YA MWEZI MTUKUFU… BINTI AKIONA CHA MOTO

MOROGORO: Wakati waislam wakiwa ndani ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, binti mmoja aliyefahamika kwa jina la Sharifa mkazi wa Mji...

READ MORE

INAUMA SANA MTOTO AVIMBA TUMBO, BABA AMTOBOA KUTOA MAJI

INAUMA sana! Mtoto Moshi Khamisi (4), mkazi wa Tabora yuko katika mateso na maumivu makali baada ya tumbo lake kuvimba...

READ MORE

ZARI AMPA ONYO ZITO TANASHA

DAR ES SALAAM: Mwanamama mjasiriamali, raia wa Uganda ambaye amezaa watoto wawili na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

 KUKUAMBIA ANAKUPENDA PEKEE HAITOSHI IKIWA…

MPENZI wako anapokuambia anakupenda, inatosha kweli kukudhibitishia kuwa anakupenda kwa dhati na uendelee kumwamini? Hapa kila mmoja anaweza kuwa na...

READ MORE

 CHUCHU AACHA FUMBO PENZI LAKE NA RAY

MZAZI mwenziye na muigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’, Chuchu Hans amesema kuwa mpaka sasa watu wengi wako kwenye sintofahamu juu ya...

READ MORE

MOBETO AFICHUA SIRI YA MAFANIKIO YAKE

MWANAMITINDO maarufu na pia mwanamuziki Bongo, Hamisa Mobeto amesema siri kubwa iliyomfanya aweze kupiga hatua maishani ni kuziba masikio na...

READ MORE

AUNT MINYOOSHO KAMA YOTE !

BAADA ya kumwagana na aliyekuwa mzazi mwenzake, dansa Moses Iyobo, muigizaji Aunt Ezekiel amedaiwa kuachia mapichapicha mengi akiwa na mpenzi...

READ MORE

MUNA ASHUSHA POVU SI LA NCHI HII

MSANII wa filamu ambaye kwa sasa amejikita kwenye muziki wa Injili, Rose Alphonce ‘Muna Love’ amemtolea povu si la nchi...

READ MORE

WAKATI AKIZIKWA LEO MENGI AACHA FUNZO KUBWA

DAR ES SALAAM: “Jef hivi umewahi kufika katika msiba? Je, umewahi kumuona tajiri akichimba kaburi?” Tafakari kauli hii na Amani...

READ MORE

ROSE NDAUKA AFUATA NYAYO ZA WEMA, UWOYA!

MWANAMAMA kutoka Bongo Movies, Rose Ndauka amefuata nyayo za warembo wenzake, Wema Sepetu na Irene Uwoya kwa kujikita kwenye ujasiriamali....

READ MORE

DAVINA AFUNGUKA KUPONDWA MUONEKANO MPYA

MREMBO kutoka Bongo Movies, Halima Yahaya ‘Davina’ amefungukia muonekano wake mpya na kusema anashukuru umekubalika na wengi japokuwa wachache wamemponda. ...

READ MORE

FURAHA KWA ZARI, HUZUNI KWA MONDI

NILISIKILIZA mahojiano ya Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ mara baada ya kutua Bongo juzikati katika ziara yake ya kibalozi. ...

READ MORE

SIRI KIBAO VIBENTENI KUMWAGWA NA MASTAA ZAFICHUKA

DAR ES SALAAM: Jipu limepasuka pwaaa, aisee! Siri za vibenteni (wanaume waliozidiwa umri na wanawake wao) kumwagwa na mastaa wa...

READ MORE

MAITI YA MAMA YAKUTWA UFUKWENI

DAR ES SALAAM: Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Moza Hussein Lukanga, mkazi wa Mianzini Mbagala jijini Dar hivi karibuni...

READ MORE

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUINGIA KWENYE UCHUMBA-2

KUWA na mume au mke bora ni matokeo ya kuwa katika uchumba ulio bora na sahihi. Hakuna kitu kinachokuja kwa...

READ MORE

SHAMSA ATOBOA SIRI YA UBONGE !

STAA wa Bongo Muvi, Shamsa Ford amefunguka kuwa siku zote mwili wake unafumuka pale tu anapokuwa na mawazo tele kichwani...

READ MORE

LULU: TUJIFUNZE KUJIKUBALI

  MWIGIZAJI mwenye nyota ya kipekee Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema kuwa hakuna kitu kizuri kama mwanamke kujiamini maana...

READ MORE

LINAH ADAIWA KUJALADIA MAKALIO

MREMBO kutoka Bongo Flevani, Esterlina Sanga ‘Linah’ amekwaa skendo ya ‘kujaladia’ makalio baada ya kuonekana katika picha mpya akiwa amejaa zaidi...

READ MORE

FAHAMU TATIZO LA MAPAFU KUJAA MAJI

 MAPAFU ndio kiungo kinacho-tegemewa sana katika mwili kama utafanya mazingatio maana ubongo ukikosa oksijeni ndani ya dakika 5 kwenda juu...

READ MORE

BAADA YA SHOO 2 TU, BABA D YALEYALE YA MONDI

DAR ES SALAAM: Maji hufuata mkondo, lakini safari hii mkondo ndiyo umefuata maji! Ndiyo hali halisi ya kinachojiri kwenye maisha...

READ MORE

ANASWA KWA WIZI FEDHA MTANDAONI

MOROGORO: Kijana mmoja ‘Sharobaro’ ambaye jina lake halikupatikana mara moja amepokea kochapo kutoka kwa wananchi waliomshutumu kuiba pesa kwa njia...

READ MORE

MIMBA YA TANASHA FAMILIA YACHEKELEA

DAR ES SALAAM: Mpenzi wa sasa wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch ameibua gumzo kufuatia muonekano wake...

READ MORE

MASTAA BONGO WAISHI KWA NAMBA 9

UKIONA mtu anatukanwa halafu anacheka ujue maisha yake yanaongozwa na namba 9. Uzuri wa namba hii ni kwamba hutoa majibu...

READ MORE

WEMA WA SASA ANAFELI WAPI?

KWA takriban miaka kumi tangu mrembo wa Taifa, Wema Sepetu atwae Taji la Miss Tanzania hakuwahi kuchuja. Kama ni moto...

READ MORE

MAUMIVU YA KORODANI CHANZO CHA KUTOPATA MTOTO -3

Tunaendelea na mfululizo wa mada yetu inayohusu maumivu ya korodani chanzo cha kutopata mtoto. Endelea… TATIZO linapotokea katika utu uzima...

READ MORE

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUINGIA KWENYE UCHUMBA

KUPATA mwenzi bora wa maisha siyo mchezo, lazima ubongo wako ufanye kazi sawasawa ili uweze kugundua kwamba mpenzi uliyenaye anafaa...

READ MORE

MAFUNZO YA NDOA PADRI AWATAJA WEMA, MONDI KANISANI

  MOROGORO: KATIKATI ya mafunzo ya ndoa, Padri wa Kanisa Katoliki Parokia ya Kigurunyembe Jimbo la Morogoro, FR Respicius Nyamwilu...

READ MORE

Mzee Abdul: Naumwa, DIAMOND Anipe KOLABO – Video

Baada ya baba mzazi wa Diamond Platnumz, Mzee Abdul Jumaa kuachia wimbo wake mpya ambao ameshirikishwa na Sungura amefunguka kuwa...

READ MORE

MWAKIFWAMBA MBARONI KWA GARI LA WIZI

RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba Ijumaa iliyopita amepatwa na msala baada ya kunaswa akiwa na gari...

READ MORE

MABINTI WANAHADAIKA NA PETE ZA UCHUMBA

WEWE msomaji wa Boyfriend and Girlfriend ni kiungo muhimu sana katika maisha yangu. Hebu fikiria, vipi kama nitaandika tu halafu...

READ MORE

KISA PIERRE SHILOLE YAMKUTA

YAMEMKUTA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kujikuta akishambuliwa kwa maneno makali na wananzengo...

READ MORE

FAHAMU CHANZO CHA MAUMIVU YA SHINGO-2

Wiki iliyopita tuliianza mada hii inayohusu maumivu ya shingo, kwa hakika uliweza kujifunza na kuweza kujua chanzo cha maumivu hayo...

READ MORE

USIKU MNENE WEMA, RUBANI WANASWA HOTELINI

MAPEMA mwaka huu kuliibuka taarifa za mwanaume mmoja ambaye ni rubani wa ndege aitwaye Hamdan Za­kwani ‘Danzak’ aliyetangaza kumuoa staa...

READ MORE

KIM NANA AMNASA MRITHI WA MONDI

MUUZA nyago maarufu Bongo, Lillian Kessy ‘Kim Nana’ ambaye kuna wakati aliwahi kudaiwa kutoka kimapenzi na msanii wa muziki wa...

READ MORE

MBINU ZA KUMVUTA MSICHANA MIKONONI MWAKO !-2

TUPO kwenye sehemu ya mwisho ya mada yetu, tukiangalia vitu ambavyo huwavutia zaidi wasichana. Lengo la mada hii ni kuwasaidia...

READ MORE