×

Amani

MABESTE AWAPONDA WANAODHALILISHA WANAWAKE

MKALI wa Muz-iki wa Hip Hop Bongo aliyekuwa anafanya vizuri kwenye gemu ya Bongo Fleva, Venance William ‘Mabeste’ amechukizwa na...

READ MORE

WALTER, KADJA NITO; BONGO FLEVA BAHATI MBAYA?

KABLA ya kuanza kuimba, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alianza kwa kurap.   Kipaji hicho cha kurap...

READ MORE

KIBOKO YA SANCHI AIBUKA, AONYWA

DAR: Kama ulikuwa bado unaamini kuwa mrembo mwenye figa matata pekee Bongo ni Sanchi, basi fahamu kuwa unakosea kuna mwingine...

READ MORE

AMANI, SPOTI XTRA YAZIDI KUKIMBIZA KITAANI

Kikosi cha mauzo cha Kampuni ya Magazeti nya Global Publishers Ltd (GPL) watoaji wa magazeti ya Amani, Uwazi, Risasi, Ijumaa,...

READ MORE

DIAMOND AMBADILI DINI KIM NANA

DAR ES SALAAM: Mzazi mwenzake mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Mondi’, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ndio basi tena! Ndivyo unavyoweza...

READ MORE

MAMA AMKAANGA WEMA KWA MAKONDA

DAR ES SALAAM: Kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kutangaza oparesheni maalum ya kudili na...

READ MORE

KWA HAYA MONDI , KIBA MUAMKE TU

UNAKUM-BUKA vile vibweka vya mwenye kiti chake amerudi? Ally Salehe Kiba aliyekuwa amepotea kwenye gemu takriban kama miaka mitatu hivi,...

READ MORE

MAUA SAMA AKANA KUTUMIA NDUMBA

STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Maua Sama amekanusha madai ya kutumia uchawi ‘ndumba’ kwenye wimbo wake wa Iokote na...

READ MORE

MIMI MARS AMFUNGUKIA RAMMY

BAADA ya mkali wa filamu Bongo, Rammy Gallis kuibuka na kusema kuwa anatamani kuonana naye ikiwezekana kuanzisha naye uhusiano, msanii...

READ MORE

KUNA BINADAMU NA BINADAMU WANYAMA KWENYE MAHUSIANO, JIFUNZE

MUNGU ni mwema kila wakati! Alhamisi nyingine tunakutana kwenye kilinge cha mahaba. Tunakutana kupeana elimu, kufunguana mawazo juu ya masuala...

READ MORE

NATASHA AFICHUA KAULI YA KANUMBA INAYOMTESA!

UNAPOZUNGUMZIA tasnia ya filamu Bongo, kamwe huwezi kuacha kumzungumzia mwanamama ambaye amefanya vizuri sana katika kuhakikisha anaitendea haki tasnia hiyo...

READ MORE

BIFU LA MAMA MONDI, ZARI SIRI YAFICHUKA!

SIRI ya bifu la mama wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Mondi’, Sanura Kassim ‘Sandra’ na ‘mkwewe’ Zarinah Hassan...

READ MORE

WATOTO FAMILIA MOJA WATEKWA

DAR ES SALAAM: Wakati wimbi la watoto kutekwa likiendelea kutikisa nchini huku Jeshi la Polisi likiendelea kuwatafuta, watoto Kulthum Ally...

READ MORE

BASATA WATOA TAMKO PICHA TATA ZA SANCHI

BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) limetoa tamko kuwa litamshug-hulikia mwanamitindo ambaye ni gumzo mtandaoni kwa kuposti picha za nusu...

READ MORE

MAMA KAWELE ASIMULIA ALIVYOZIMIA LOCATION

GRACE Mapunda siyo jina geni masikioni mwa mashabiki wa filamu za Kibongo. Mama huyu amejizolea umaarufu kutokana na uhalisia anaouonesha...

READ MORE

FEROOZ AANIKA KILICHOMFELISHA KWENYE GAME

KWA wapenda muziki mzuri wenye ujumbe bila shaka watakuwa na kumbukumbu nzuri za ‘nyimbo za taifa’ kama Bosi au Starehe?...

READ MORE

ADAKWA AKITOA MAHARI NG’OMBE WA WIZI

BUNDA: Dunia ina mambo! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia tukio la bwana harusi mtarajiwa, James Marwa, mkazi wa Wilaya ya...

READ MORE

AMCHOMA VISU MKEWE, AJIUWA

DAR ES SALAAM: Steven Mwashilindi, Mkazi wa Tabata -Kimanga jijini Dar, amedaiwa kujiua baada ya kumchoma visu tumboni mkewe, Maida...

READ MORE

WCB WAMEITEKA BONGO FLEVA 90%

WAHENGA wenzangu Bongo Flevani wanakumbuka Sterehe ya Ferooz, Nikusaidiaje ya Profesa Jay, Alikufa kwa Ngoma ya MwanaFA, Salome ya Dully...

READ MORE

AIKA AFUNGUKA UNDANI WAO NA SALLAM

BAADA ya kusemwa kila kona kuwa wamehamia Wasafi Classic Baby (WCB), msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Aika Marealle ‘Aika’...

READ MORE

MAMA AFUNGUKA UKARIBU WA WEMA , DIAMOND !

DAR ES SALAAM: Mama wa msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu, Miriam, amefungukia ukaribu walionao bintiye na msanii Nasibu Abdul...

READ MORE

JOHARI AFANYA MAOMBI MAALUM KUONDOA MIKOSI

MREMBO mkongwe kwenye gemu la filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema mwezi Septemba ulikuwa mbaya kwake kutokana na kuandamwa na matatizo...

READ MORE

ETO’O : KUMCHUKUA MTOTO WA DOKII!

MCHEZAJI wa Cameroon, Samuel Eto’o amekubali kumchukua mtoto wa muigizaji Ummy Wenceslaus ‘Dokii’, Wenceslaus Halfan kwenda kumtafutia soko la mpira...

READ MORE

CHUCHU: JIANDAENI KWA SHEREHE YANGU NA RAY !

  MUIGIZAJI wa kitambo kwenye sanaa ya uigizaji Chuchu Hansi, amefunguka kuwa yeye na mzazi mwenzake Vincent Kigosi ‘Ray’ bado...

READ MORE

MREMBO AALIVYONASWA AKIMROGA DIAMOND

DAR ES SALAAM: Mwanamuziki Mbaraka Mwishehe (marehemu) amewahi kuimba: “Kwanza jiulize kwa nini hupendeki siku hizi mamaaa, bembeleza bwanako muishi...

READ MORE

SERIKALI YADAKA MATAIRI VIMEO

DAR: Ama kweli Serikali hii haitaki mchezo, hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia wachapakazi wake kuingia mitaani na kufanya ukaguzi wa...

READ MORE

ZARI AMUIGA WEMA

WAKATI Wema Sepetu akishikilia jina la Tanzania Sweetheart, mrembo wa Kiganda, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ naye ameamua kumuiga...

READ MORE

GAZETI LA AMANI LIPO MTAANI MCHANA HUU

Gazeti la Amani lipo mtaani mchana huu na BREAKINGNEWS stori ya tukio zima la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji lililotokea leo alfajiri. Pata...

READ MORE

PETIT AFUNGUKIA MADAI YA KUTEMBEA NA MTOTO WA GARDNER

MENEJA wa wasanii mbalimbali Bongo, Hemed Manungwa ‘Petit Man’ amefungukia madai ya kutoka kimapenzi na mtoto wa mtangazaji wa Redio...

READ MORE

DIANA: SEMENI ILA KWA WEMA NIMEFIKA !

MUIGIZAJI Diana Kimari amesema kitendo cha yeye kuwa na urafiki wa karibu na Wema Sepetu kimeibua maneno mengi mitandaoni lakini...

READ MORE

WOLPER: WANAUME WAMETUFANYA MADARAJA

MREMBO kutoka Bongo Movies, Jacque­line Wolper amefunguka kuwa wasa­nii wengi wa kike mawazo ya kuolewa yameshafutika mioyoni mwao kwa sababu...

READ MORE

KUNA WANAOAMINI NDUMBA KWENYE MAPENZI, USIWAPUUZE!

MUNGU ni mwema, Alhamisi nyingine ametujaalia tunakutana katika jamvi letu la ulimwengu wa mahaba. Kama ilivyo ada, hapa tunapanuana mawazo...

READ MORE

SANCHI: SIJAONA MWANAUME BONGO

MWANAMITINDO Jane Rimoy ‘Sanchi’ ameibuka na kusema kuwa, hajaona mwanaume wa kuwa naye kimapenzi Bongo japo karibia mastaa wote wenye...

READ MORE

MLINZI WA MAKABURI: NILISHAWISHIWA NIUZE KIGANJA CHA MTOTO!

DAR ES SALAAM: Mzee mmoja, Charles Magilagila, wa Tabata Segerea ambaye ni mlinzi wa makaburi wa eneo hilo amefunguka jinsi...

READ MORE

200 YAZUA TIMBWILI SOKONI

TIMBWILI kama loteee! Ndivyo walivyosikika wakisema baadhi ya wafanyabiashara wa soko la Buguruni jijini Dar baada ya kushuhudia vijana wawili...

READ MORE

KAJALA ATEKETEZA MIL 16 MKONONI

STAA wa filamu Bongo, Kajala Masanja amenaswa akiwa ameteketeza fedha nyingi kwenye kununua saa yake ya mkononi ambayo inamchanganyiko wa...

READ MORE

WANAWAKE KAENI CHONJO… MKE AUAWA KWA SUMU

DAR ES SALAAM: Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Hajra Salehe, mkazi wa Magomeni Mwembechai jijini Dar amekutwa amefariki dunia...

READ MORE

BAADA YA KUMPA JEURI YA FEDHA KIGOGO AMMWAGA LULU DIVA

DAR ES SALAAM: MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ anadaiwa kuwa katika wakati mgumu baada ya kigogo (jina...

READ MORE

WALIOFARIKI AJALI YA MV NYERERE WASIMULIA AJALI ILIVYOTOKEA!

NI usiku mnene. Nipo juu ya kilele cha mlima. Nasikia kelele za wanyama, nasikia baridi kali sana. Nikaanza kushuka chini...

READ MORE

MBUNGE TARIME AANIKA MKWANJA ANAOTUMIA SALUNI

DAR ES SALAAM: Mbunge wa Tarime Mjini (Chadema), Esther Nicholuas Matiko ameanika maisha yake nje kazi ya ubunge, ikiwemo matumizi...

READ MORE