×

Burudani

Kingwendu Awapa Neno Wanaomzushia Kifo

MUIGIZAJI maarufu wa vichekesho Bongo, Rashidi Mwinshehe ‘Kingwendu’ ameyatolea ufafanuzi madai ya kuwa ni mgonjwa wa kufa wakati wowote huku...

READ MORE

Roma: Yaliyonitokea 2018 Yatabaki Kuwa Fundisho

MSANII wa Muziki wa Hip Hop, Ibrahim Musa ‘Roma’ amedai kuwa mwaka 2018 amepitia mambo makubwa na magumu lakini anamshukuru...

READ MORE

FUNGA MWAKA NA KING KIBA ILIKUWA HAPATOSHI NEXT DOOR (PICHA +VIDEO)

USIKU wa kuamkia leo mashabiki wa burudani walifurika ndani ya Club Next Door Arena iliyopo Masaki jijini Dar ambapo kulikuwa...

READ MORE

TAMASHA MKESHA MWAKA MPYA KUFANYIKA U/TAIFA, KIINGILIO BURE

  TAMASHA kubwa la mkesha wa kufunga mwaka 2018 na kuukaribisha 2019 linatarajiwa kufanyika Desemba 31 Uwanja wa Taifa jijini...

READ MORE

MAKAMUZI YA MR BLUE, MWANA FA, USIPIME NEXT DOOR (PICHA +VIDEO)

 MAKAMUZI ya wanamuziki Mr blue, Mwana Fa, Billnass na Dogo Aslay, yalikuwa ya aina yake  usiku wa kuamkia leo AMBAPO...

READ MORE

WEMA APEWA MASHARTI 5 MAZITO, BAADA YA KUANZA BIASHARA

  WEMA si yule! Baada ya kuanzisha biashara yake ya duka la nguo za watoto liitwalo Little Sweetheart, staa mkubwa...

READ MORE

Amber Rutty: Jela Siyo Pa Mchezomchezo, Pasikie tu

KWA mara ya kwanza tangu atoke gerezani kwa dhamana, Video Queen, Mascat Abubakary ‘Amber Rutty’ ameibuka na kueleza kuwa jela...

READ MORE

VIDEO YA DIAMOND NA TANASHA KWENYE MAHABA KAMA YOTE

Msanii Diamond Platnumz na mke wake mtarajiwa Tanasha wameonekana siku ya jana Disemba 28 wakiwa wanakula bata huku wakipigana mabusu...

READ MORE

Alichokiandika Diamond Baada Ya Kukutana Na Balozi wa Tanzania Comoro

  Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz na mpenzi wake Tanasha  wamekutana na Balozi...

READ MORE

OBAMA ATAJA ORODHA YAKE YA MUZIKI, FILAMU, VITABU KWA MWAKA 2018

  Kwa mara nyingine tena Rais Mstaafu wa Marekani, Barack Obama ametaja orodha maalumu ya vitabu, filamu na nyimbo ambazo...

READ MORE

BILLION 32.2 ALIZOTUMIA KANYE WEST KUMNUNULIA MKE WAKE ZAWADI YA KRISMAS

  Rapa Kanye West amemnunulia mke wake Kim Kardashian ghorofa kubwa la kifahari lililopo Miami Beach kwa dola za kimarekani...

READ MORE

Vee Money Ataja Sababu ya Kuogopa Ndoa

LICHA ya kwamba yupo kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu na mwanamuziki mwenzake, Juma Jux, mwanadada Vanessa Mdee ‘Vee...

READ MORE

MPENZI WA NAI AKERWA NA UGOMVI

MUUZA sura kwenye video za wanamuziki Bongo, Nai Kisa amefunguka kuwa mpenzi wake ambaye ni mwanamuziki wa Hip Hop, Moni...

READ MORE

NGOMA 10 Zilizotazamwa Zaidi Hadi 2018, Video Zipo Hapa

YOUTUBE ni mtandao wa kijamii wa kuweka na kutazama video za vitu mbalimbali zikiwemo za matukio ya kila aina bila...

READ MORE

ZARI AMMALIZA TANASHA, KIFUA, MVUTO

  AMEMMALIZA! Ndivyo walivyoamua wafuasi wa aliyekuwa mpenzi wa Diamond (Nasibu Abdul), Mganda Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ alipowekwa...

READ MORE

Mimi Mars Afurahia Kuwa Single

FULL happy! Mwanadada anayekuja kwa kasi kwenye gemu la Bongo Fleva, Marliane Mdee ‘Mimi Mars’ amesema hakuna kitu kinachompa furaha...

READ MORE

KWA HILI LA DIAMOND, BASATA MNAJITUKANISHA WENYEWE!

BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) chini ya katibu mkuu wake, Godfrey Mngereza, ni kama limepoteza mwelekeo. Viongozi wake wamekuwa...

READ MORE

CHEMICAL ABEBA JINA LA KONKI

MWANADADA anayefanya Hip Hop Bongo, Claudia Lubao ‘Chemical’ amelikubali jina la Konki baada ya kuwa msanii wa kwanza kutoa shoo...

READ MORE

Zari Afunguka Kuupokea Mwaka Mpya 2019

MFANYABIASHARA Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ambaye pia ni mzazi mwenziye na Diamond Platnumz amesema kuwa yuko tayari kuupokea...

READ MORE

‘TUNAFUNGA JUMLA-JUMLA 2018’: ROSTAM, MAUA SAMA WAAHIDI SAPRAIZ DAR LIVE

  WASANII  wanaounda kundi la Rostam, ambao ni  Roma Mkatoliki,  Stamina na Maua Sama, leo wamewathibitishia wapenzi wa burudani kufanya...

READ MORE

FAIZA ALLY: ALIPAMBANA USIKU NA MCHANA KUSAKA MAISHA BORA

    FAIZA Ally ni mmoja wa waigizaji wa sinema za Kibongo ambao kwa hivi sasa wameweza kujipatia umaarufu mkubwa...

READ MORE

Mpenzi Wa Poshy Anapata Tabu Sana!

Jacqueline obed ‘Poshy Queen’   ANAPATA tabu sana! Mrembo anayetingisha kwenye mitandao ya kijamii (socialite) kutokana na figa yake matata,...

READ MORE

BIASHARA TAMU KINOMA KWA WEMA!

  ASIKWAMBIE mtu! Staa mwenye nyota kama zote Bongo, Wema Isaac Sepetu amefunguka kuwa hakuna kitu anachokipenda kama biashara anayoifanya...

READ MORE

Kajala Ataka Kuanza Mwaka Akiwa Safi

AMANI tupu! Mkali wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ameapa kumaliza mwaka 2018, bila kugombana wala kuwa na bifu na...

READ MORE

Esma Abariki Diamond Kumuoa Tanasha

KAMA vipi poa tu! Dada wa staa mkubwa Afro-Pop nje na ndani ya Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Khan...

READ MORE

Mwanaheri na Kitchen Party Baada ya Ndoa!

MSANII wa filamu za Kibongo, Mwanaheri Hemed ameeleza sababu ya kufanya sherehe ya ‘kitchen party’ baada ya kuolewa, iliyofanyika wikiendi...

READ MORE

Dogo Janja Alivyozua Taharuki Fiesta!

HATA ungekuwa wewe, ukimuona mtu unayemfahamu, mara paaap kazungukwa na polisi wenye silaha lazima taharuki ikushike; ndivyo ilivyokuwa kwa msanii...

READ MORE

Esma: Hata Iweje, Sirudiani na Peti

DADA yake Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Khan, amefunguka kuwa, hata iweje, hawezi kurudiana na mzazi mwenziye, Petit Man.  ...

READ MORE

Uwoya Afungukia Jeuri ya Pesa

KUFUATIA kuonesha jeuri ya pesa kwa siku za hivi karibuni, Amani lilimbana staa wa Bongo Movie, Irene Uwoya na kumuuliza...

READ MORE

Penzi la Diamond Tanasha, Zengwe Jipya Laibuka!

Zengwe kama lote! Habari ikufikie kuwa, lile penzi matata la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwandani...

READ MORE

Zijue Sababu Za Bobi Wine Kuzuiliwa Kufanya Tamasha La Muziki Na Polisi

  Nyota wa muziki wa pop na mbunge wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine ambaye jina lake halisi ni Robert...

READ MORE

ZARI AFUNGUKA MAZITO KWA MWAKA 2018

  Zari  The Boss Lady mzazi mwenzake na msanii wa Bongo Fleva Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameandika mambo makubwa kwa...

READ MORE

KRISMASI ILIVYONOGA DAR LIVE; HAKUNA ALIYELALA (Picha + Video)

WAPENZI wa burudani usiku wa kuamkia leo walishuhudia shoo ya nguvu kutoka kwa makundi mbalimbali ya burudani ambapo kundi la...

READ MORE

TOP SKENDO SKENDO ZA MASTAA BONGO 2018

KWENYE dunia ya mastaa kuna mengi. Yapo ya kuburudisha, kuelimisha na mengine yatakuacha mdomo wazi. Kuna vitimbi na vituko! Kubwa...

READ MORE

BALAA LA CHRISTIAN BELLA STEJINI DAR LIVE – VIDEO

 Mkongwe wa Muziki wa Dansi, Christian Bella ‘Obama,’ usiku wa kuamkia leo amekinukishwa Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar...

READ MORE

Maisha Ya Ray C Na Kilichompata, Mdogo Wangu

MWAKA 2012, tarehe siikumbuki vizuri, nikiwa katika ofisi zetu za zamani maeneo ya Bamaga, Mwenge jijini Dar, nilipigiwa simu na...

READ MORE

Mhe. Temba Afungukia Kilichompoteza!

  Mwana mpotevu kwenye Bongo Fleva, Amani Temba ‘Mheshimiwa Temba’ amefunguka sababu zilizomfanya kupotea kwenye gemu kwa kipindi cha miaka...

READ MORE

Walete Dar Live, Christian Bella Kukinukisha Leo

LEO Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar es Salaam Mkongwe wa Muziki wa Dansi,...

READ MORE