×

Burudani

Jina alilopewa Kichanga wa Kim na Kanye hili hapa

Kim Kardashian na mumewe Kanye West.Kanye West na Mwanaye, North WestNorth West MWANAMITINDO na mtangazaji wa Marekani, Kim Kardashian na...

READ MORE

Kendrick Lamar ang’ara Nomination za Grammy Awards 2016

Majina ya wasanii mbalimbali watakaochuana kuwania Tuzo za Grammy zitakazotolewa Februari 15, 2016 tayari yametangazwa huku mkali kutoka Compton, Rapa...

READ MORE

Ben Pol ampaisha director toka Sauzi

Mkali wa muziki wa RnB nchini, Benard Paul ‘Ben Pol’. Mkali wa muziki wa RnB nchini, Benard Paul ‘Ben Pol’ameonesha...

READ MORE

Usiku wa Yamoto Band: Kayumba, baby j kufanya yao dar Live

Kundi laYamoto Band. Hapatoshi! Desemba 19, mwaka huu ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem...

READ MORE

Linah: Sitoi albam hadi wizi ukomeshwe

Esterlinah Sanga ‘Linah’. Mrembo wa Wimbo wa No Stress Esterlinah Sanga ‘Linah’ amesema hategemei kutoa albam kwa sasa mpaka pale...

READ MORE

Koffi wa Selfie atua Dar

Koffi Olomide akiongea na wanahabari baada ya kutua jioni ya jana Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini...

READ MORE

Kalla Jeremiah kuzindua Audio na Video yake mpya Ijumaa hii

Sehemu ya picha katika video mpya ya Kalla Jeremiah iitwayo Malkia. Kipande cha video hiyo. Mwanamuziki wa Hip hop nchini,...

READ MORE

Nicki Minaj ni majanga juu ya majanga

Rapa, Nicki Minaj New York, Marekani WAKATI rapa wa kike, Nicki Minaj akikumbana na balaa la kufunguliwa kesi na mpenzi...

READ MORE

Khloe amtolea nje Lamar Odom

Khloe Kardashian. LOS ANGELES, Marekani MUME wa Khloe Karda-shian, Lamar Odom, ameruhusiwa kutoka hospitalini kwa ajili ya kupata uangalizi mzuri...

READ MORE

Khloe anaswa akienda kumuona mtoto wa Kim na Kanye

Khloe Kardashian akiwasili katika Hospitali ya  Cedars-Sinai kumuona mtoto wa pili wa Kim na Kanye. Mwanadada Khloe Kardashian amenaswa akiwasili...

READ MORE

John Woka ‘chapombe’ aliyetingisha Bongo Fleva

Michael Muhina ‘John Woka’. Ni vigumu kuamini kama kuna wakati msanii huyu aliyewafanya mashabiki kuvunjika mbavu wakisikiliza kazi zake UNAWEZA...

READ MORE

Selena Gomez apata bwana mpya!

Mwanamuziki wa Pop, Selena Gomez akiwa na anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake Niall Horan. Los Angeles, Marekani MWANAMUZIKI wa Pop, Selena...

READ MORE

Mashabiki wataka jina la mtoto wa pili wa Kim Kardashian liwe Easton West

Kim Kardashian. New York, Marekani BAADA ya kujifungua mtoto wa kiume jana (Jumamosi), mashabiki wa mwanamitindo na mtangazaji maarufu wa...

READ MORE

Davido, Wizkid: Hatuna bifu tena, hapa kazi tu!

Lagos, Nigeria MASTAA wa muziki wa Nigeria, ambao pia wamekuwa mahasimu kutokana na kazi zao wanazofanya kufanana na kujitwalia mashabiki...

READ MORE

Patcho: FM Academia haina mpinzani

Patcho Mwamba. MUSA MATEJA MWANAMUZIKI wa Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ ambaye pia hufanya vizuri kwenye tasnia ya...

READ MORE

Video Mpya: Teknomiles -Wash

READ MORE

Chris Brown amtumia mwanaye kibiashara

Chris Brown akiwa na mwanaye Royalty. NEW YORK, Marekani MWANAMUZIKI Chris Brown ameamua kumtumia mwanaye Royalty kwenye albamu yake ya Royalty...

READ MORE

Unatafutaje umaarufu ili ufanye utapeli, umalaya?

Za Chembe Lazima Ukae Ojuku Abraham, +255 719 786 355 MIAKA kadhaa ya kufanya kazi na watu wenye majina makubwa,...

READ MORE

Giggy Money: Muziki na figa bwana

Giggy Money. Hamida Hassan Binti anayekuja kwa kasi kwenye ulimwengu wa muziki, Giggy Money anasema ukiwa na kipaji cha kuimba...

READ MORE

Yamoto Band kuachia mpya Des. 19 Dar Live

Musa Mateja BAADA ya kubamba na Ngoma ya Cheza kwa Madoido, bendi inayotikisa kila kona, Yamoto inatarajia kushusha ngoma mpya...

READ MORE

Wanamuziki wa Dansi wafurika kumzika Kasongo Mpinda

Wanamuziki wa zamani wa Muziki wa Dansi waliofika kwenye msiba wa Kasongo Mpinda ‘Clayton’. Kutoka kushoto ni King Kiki, Shaban...

READ MORE

Pistorius akutwa na hatia ya kumuua mpenzi wake

Mwanariadha Oscar Pistorius ametiwa hatiani kwa kumuua mpenzi wake Reeva. Pistorius atarudi kortini Januari mosi mwakani kusikiliza hukumu yake. Mama...

READ MORE

Iyanya azungumzia uhusiano wake na Freda Francis

Mwanamuziki Iyanya akiwa Freda Francis. BAADA ya kuvuma kwamba anatoka na Yvonne Nelson ambaye ni mcheza sinema maarufu wa Ghana, mwanamuziki...

READ MORE

Giggy Money, Q Chillah wanaswa kimahaba!

Giggy Money akipozi kimahaba na Q Chillah. KABAAANG!! Video Queen anayesumbua Bongo, Giggy Money hivi karibuni alinaswa na staa wa Bongo...

READ MORE

Dully Sykes: Yamoto wameniandikia wimbo

Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Dully Sykes. MSANII mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Dully Sykes, amefichua siri...

READ MORE

Belle 9 kuja na mkwaju mpya

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Abednego Damian ‘Belle 9’ LICHA ya Ngoma yake ya Shauri Zao kutamba katika vyombo...

READ MORE

Diamond ashtuka, agoma kutoa wimbo mpya

Mwanamuziki wa Afro Pop, Diamond Platinum. MWANAMUZIKI wa Afro Pop, Diamond Platinum anatamani kuachia ngoma nyingine lakini amekiri kupata kikwazo...

READ MORE

Dayna: Nilipisha uchaguzi kwanza

Dayna Nyage. MSANII wa Kike anayefanya poa katika Bongo Fleva, Dayna Nyage amefunguka juu ya kucheleshwa kutoa video ya wimbo...

READ MORE

Flavour Mkali wa mauno, nyimbo za asili

Mwanamuziki Chinedu Okoli ‘Mr Flavour’. WAKATI wanamuziki Bongo wakiendelea kuiga wanamuziki kutoka nje na kusahau kabisa muziki wao wa asili,...

READ MORE

Wamepakimbia Bongo

Diamond Platinumz. LICHA ya muziki wa Bongo Fleva kupiga hatua kubwa hapa nchini, kumekuwa na athari kubwa kwa maprodyuza wa...

READ MORE

Serena: Sina mimba ya Drake

Mcheza tenisi namba moja duniani, Serena Williams. New York, Marekani TAARIFA zilizoenea kwa kasi kuwa mcheza tenisi namba moja duniani,...

READ MORE

Njemba lataka kubadili jina la Taylor Swift kisa la kike

Taylor Swift. JAMAA mmoja anayojulikana kama Taylor Swift ameamua kuchukua maamuzi magumu ya kutaka kubadili jina hilo kisa linatumiwa na...

READ MORE

Trey Songz aachia mixtape kusherehekea birthday yake

Staa wa R&B, Tremaine Aldon Neverson ‘Trey Songz’ STAA wa R&B, Tremaine Aldon Neverson ‘Trey Songz’ jana katika kusherehekea birthday...

READ MORE

Tamasha la Marahaba Swahili Music Festival lilivyofana

Kikundi cha bendi kiitwacho, Afrijam band’ kutoka Bagamoyo – Pwani kikitoa burudani kwenye hafla hiyo. Bendi ya ‘Muswanu Gogo Vibes’...

READ MORE

Yvonne Nelson ahamishia mapenzi kwa Bismark

Staa wa filamu Ghana na Nigeria, Yvonne Nelson akiwa na mpenzi wake mpya Bismark Nii Odoi ‘Bismark The Joke.’ STAA wa...

READ MORE

Championi yatunuku Tuzo kwa waandishi na wahariri wake

MC wa hafla ya ugawaji tuzo, ambaye pia ni Mhariri wa Gazeti la Championi Jumamosi, Elius Kambili akitoa neno la utangulizi...

READ MORE

Anna Banner ageukia ujasiriamali

Miss Nigeria, 2012, Anna Ebiere Banner. ALIYEWAHI kuwa Miss Nigeria, 2012, Anna Ebiere Banner ameamua kuachana na urembo na kugeukia...

READ MORE