×

Burudani

Harmonize Aingilia Sakata Mtoto wa Ibraah, Ampa Ushauri Mzito

HARMONIZE au Konde Boy Mjeshi; ni staa wa muziki nchini Tanzania ambaye ameingilia kati sakata la msanii wake, Ibraah kudaiwa...

READ MORE

Nai: Mastaa Acheni Pombe Kali na Bata Zisizokuwa na Maana Kwenu

NAIRATH Ramadhan au Nai; ni video vixen na msanii wa Bongo Fleva ambaye kwa mara ya kwanza amefunguka sababu iliyomfanya...

READ MORE

Amber Lulu: Najilaumu Kuunadi Mwili Wangu Kwenye Mitandao

  Lulu Euggen almaarufu Amber Lulu; ni muuza nyago (video vixen) na ni msanii wa Bongo Fleva anayefanya vizuri ambaye...

READ MORE

Mocco Genius Maana Halisi Ya ‘From Zero To Hero’ na Ndoto za kutoboa Kimataifa

KAMA wewe ni kijana mtafutaji basi lazima utakuwa unaufahamu vizuri ule msemo wa ‘FROM ZERO TO HERO’ wenye maana ya...

READ MORE

Mbosso Khan Asema Anatamani Kuwa na Wapenzi Wanne

MBOSSO Khan; ni mwimbaji mkali wa Tanzania ambaye amefunguka kuhusu jinsi angefurahi kuwa na wapenzi wanne. Mbosso amesema; “Ukiwa na...

READ MORE

Wema: Baba Yangu Yupo Mwilini Wangu, Hawezi Kuchora Tattoo ya Mwanaume

  Wema Isaac Abraham Sepetu siku hizi wanamuita Last Born wa Taifa; ni staa mwenye jina kubwa kunako Bongo Movies...

READ MORE

Miaka Mitano ya SportPesa Tanzania, Waongeza Idadi Ya Watalii Ujio Sevilla, Everton

  “HAYA mafanikio tuliyoyapata SportPesa kwa kipindi cha miaka mitano tuliyoyaanza Mei 9, 2017, tumepanga kuyaendeleza zaidi ya hapa.  ...

READ MORE

Mastaa wa Muziki Afrika Waachia African Lullabies Part 2 Kwa Kishindo

KIKOSI kazi cha kusherekea mwezi wa Afrika kwenye mkusanyiko wa nyimbo zenye mahadhi ya Kiafrika zilizopewa jina la African Lullabies...

READ MORE

Ngoma Hizi Zimebeba Maisha Halisi ya Harmonize au Konde Boy Mjeshi

  RAJAB Abdul Kahali almaarufu Harmonize au Konde Boy Mjeshi; ni msani wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania ambaye...

READ MORE

Masoko Mapya Meridianbet, Uhakika Nafasi Kubwa Zaidi ya Ushindi Kutoka Meridianbet

Wikiendi yako inaenda kuwa namna gani? Naamini umeshandaa majamvi yako ya faida, na ninakukumbusha mitanange muhimu inayoweza kukupa pesa wiki...

READ MORE

Kiba: Bila Uongo Mapenzi Hayaendi, Sijawahi Kuimba Wimbo Wenye Uongo

KING Kiba; ni mfalme wa muziki nchini Tanzania ambaye amezua mjadala kama wote, baada ya kutoa kauli tata kuwa, bila...

READ MORE

Paula Arudi Kivingine Yupo sawa Baada Ya Rayvanny Kurudi Kwa Fahyma

Paula Kajala au Pau; ni mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania ambaye umaarufu wake ulipanda zaidi baada ya...

READ MORE

Supastaa wa Muziki Kutoka Nchini Guinea Grand P Ajimaliza kwa Mpenzi Wake

MOUSSA Sandiana Kaba almaarufu Grand P; ni staa wa muziki na mitandaoni kutoka nchini Guinea ambaye amedhihirisha mahaba yake yote...

READ MORE

Anayedai Kuzaa na Ibraah Aibuka na Mazito, Adai Amemwachia Majukumu

Ibrahim Nampunga almaarufu Ibraah; ni staa mpya wa muziki nchini Tanzania ambaye kuna mwanadada anayejiita Kim Mishepu kwenye mitandao ya...

READ MORE

Nandy: Vikao vya Harusi Vimeanza, Maandalizi Yapo Vizuri Namshukuru Mungu

KWA kuweka kumbukumbu sawa ni kwamba Faustina Charles Mfinanga almaarufu Nandy; au Nandera amezaliwa Novemba 9, 1992 mjini Moshi, Kilimanjaro nchini...

READ MORE

Lulu Afunguka Mapya Hakuna Starehe Ambazo Hajapitia, “Maisha ya Ujana Yaacheni”

Elizabeth Michael almaarufu Lulu au Mama G; ni staa wa Bongo Movies tangu kitambo hicho akiwa na umri wa miaka...

READ MORE

EPL, Laliga na Ligi Zingine Ulaya Kuendelea Wikiendi Hii, Zifuate Odds Bora za Meridianbet!

Baadhi ya timu zimeshamaliza misimu kwa kuzijua nafasi zao, zingine bado zinajitafuta huku wengine wakitafuta nafasi ya kuweka heshima kwa...

READ MORE

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA), Yaifungia ‘Mtasubiri’ ya Diamond na Zuchu

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA), imepiga marufuku vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kutoonyesha wimbo wa ‘Mtasubiri’ ulioimbwa na msanii...

READ MORE

Drake Alamba Bingo, Asaini Mkataba Wenye Thamani ya Bilioni 928

DRAKE ni rapa wa kiwango cha Dunia wa Marekani ambaye anazidi kujipigia mkwanja tu kila kukicha. Kwa mujibu wa akaunti...

READ MORE

Mwanamama Mkongwe wa Muziki Stara Thomas Afunguka “Nipo Kimya Ila Ninaishi”

“WENGI nimewaona ila moyo… Watakapo tuuu kutulia… Kwa dhati ninanena  Ukweli ninasema…aahh kutoka moyoni…  Nipo kwa ajili yako wewee…  Hata...

READ MORE

Fahyma Atamba Baada ya Kufanikiwa Kumrejesha Rayvanny “Nimerudi Mama Mjengo”

FAIMA Msangi almaarufu Fahyma au Fahyvanny; ni baby mama wa staa mkubwa wa muziki wa kimataifa wa Tanzania, Rayvanny ambaye...

READ MORE

Vita Ya Msanii wa Bongo Fleva Gigy Money, Moj Damu Itamwagika, Kesi Kutua Polisi

MOURAD Alpha almaarufu Mo J; ni mtangazaji wa Radio Clouds FM ambaye dunia inajua ni baba mzazi na halisi wa...

READ MORE

Paula Afunguka Mapya Atoa Kijembe “Labda Nife Ndo Mama Amrudie Harmonize”

Paula Kajala; ni mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii (sosholaiti) na ni binti wa mwigizaji wa Bongo Movies, Kajala Masanja...

READ MORE

Odemba Adaiwa Kumbemenda Msanii wa Konde Music, Afunguka Mapya

Miriam Odemba; ni mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania mwenye umri wa miaka 40 ambaye amegonga vichwa vya habari akidaiwa kumbemenda...

READ MORE

Wanazengo Wamshangaa Hamonize Kuhangaika na Kajala, Diamond Akipenya Ulaya

KAMA ilivyo kawaida, kwenye maisha, kila mtu ana nafasi au zamu yake ya kung’ara na kutaradadi. Ndivyo ilivyo katika maisha...

READ MORE

Baba Levo: Harmonize Hawezi Kumzima Diamond “Ni Mtoto tu Anayejaribu Kuiga”

BABA levo au Mtaalam Fundi Manyumba; ni msanii wa Bongo Fleva, komediani na mtangazaji wa Wasafi ambaye amemchamba msanii Harmonize...

READ MORE

Majizzo wa EFM Ajilipua, Adai Anajitolea Kajala Amsamehe Harmonize

MAJIZZO ni CEO wa E-FM na TVE ambaye amekaa kwenye gemu la muziki kwa muda mrefu akiwa kama DJ ambaye...

READ MORE

Harmonize Akiri Kajala Masanja Kumfanya Ashinde na Kukesha GYM Akifanya Mazoezi

Harmonize au Konde Boy Mjeshi; ni supastaa wa Bongo Fleva ambaye anakiri kwamba inapotokea mhuni akampenda mwanamke mrembo, basi ni...

READ MORE

Usiku wa Leo Kugeuka Kuwa Usiku wa Historia, ni Fury vs Whyte Kuzichapa

USIKU wa leo, April 23, 2022 zitapigwa ngumi kali za uzito wa juu (heavy weight) kati ya miamba miwili, Tyson...

READ MORE

Msimu Ndio Unaelekea Mwishoni, Nani Atatusua, Nani Atavurunda? Soma Hapa

Burudani ya soka inanoga zaidi wakati huu ambao msimu unaelekea ukingoni. Timu zinapambana kumaliza msimu kwenye nafasi za juu, nani...

READ MORE

Neymar Afunguka Anavyofurahia Penzi la Mpenzi Wake Mpya Bruna Biancardi

SUPASTAA wa soka, Mbrazili, Neymar Jr, amefunguka jinsi anavyompenda mpenzi wake mpya, Bruna Biancardi, walipokuwa wakisherehekea bethdei ya mrembo huyo...

READ MORE

Mastaa Hawa Wamepita Na Upepo Wa Diamond Na King Kiba Yumo Mr Blue, Chid Benz

DIAMOND Platnumz na King Kiba; ni vinara wa muziki nchini Tanzania ambao wameweka utimu wenye lengo la ushindani kwenye muziki...

READ MORE

Wema Aibua Sababu za Mastaa wa Bongo Kutoolewa, Mastaa Waponzwa na Tabia

Kuwa na mwenza maishani ni jambo zuri kwa kila mwanamke au mwanaume. Kupata mtu wa kukuoa au kuoa ni baraka....

READ MORE

Kajala Kamjibu Harmonize? Atoa Ujumbe Mzito “Heri Kuwa Peke Yako Kuliko Kuwa na Asiyekufaa”

Harmonize au Konde Boy Mjeshi ni msanii mkubwa nchini Tanzania ambaye umepinduka mwezi mmoja sasa tangu alipoanza harakati za kumuomba...

READ MORE

Video: Waziri Nape Nnauye Azindua Studio Mpya Za Kisasa Za TBC 2, Mikocheni – Dar

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnaye amezindua jengo la kisasa la studio za TBC2 mkoani Dar...

READ MORE

Rick Ross Akubali Michano ya Rosa Ree, Ampatia Bonge la Shavu Marekani

RICK ROSS au The Boss; ni rapa wa kiwango cha Dunia wa Marekani ambaye huenda amevutiwa na kipaji cha rapa...

READ MORE

Esma: Harmonize ni Mtu Wetu na familia ya Wasafi Inafurahia Mafanikio yake

ESMA Khan au Esma Platnumz; ni dada wa staa wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz ambaye anasema kuwa, hakuna uhasama...

READ MORE

Paula: Tunatumia Helikopta Kwenda Sokoni, Awaonya Wenye Makasiriko Kukaa Kimya

  KAMA wewe ni mfuatiliaji wa Bongo Movies utakuwa unamjua Kajala Masanja au Frida Kajala na kama ni mfuatiliaji wa...

READ MORE

Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara Anaoa Mke wa Pili Dar, Mastaa Wampongeza

Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara akiwa anaoa mke wa pili Aprili 14, 2022. Kupitia Ukurasa wake wa Instagram...

READ MORE

Maunda Zorro Afariki Dunia kwa Ajali ya Gari, Msiba Upo Maweni Kigamboni -Video

 #UPDATE Msanii wa Bongo Flava, Banana Zoro ametoa taarifa ya kinachondelea kuhusu msiba wa Maunda Zorro kwa kueleza kwamba...

READ MORE