×

Burudani

Nandy Apiga Shoo ya Kibabe Fainali ya BSS (Picha +Video)

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Faustina Charles Mfinanga, maarufu kwa jina la Nandy usiku wa kuamkia leo Januari 30,...

READ MORE

Nandy Apewa Vyombo Baada ya Vichambo – Video

MSANII wa Bongo Fleva, Fausta Charles ‘Nandy’ amepewa zawadi ya vyombo na mtangazaji Dina Marius baada ya kupokea vichambo kutoka...

READ MORE

T.I, Mkewe Watuhumiwa Kuwafanyia Ukatili Wanawake 25

WANAWAKE zaidi ya 25 wamejitokeza na kudai kuwahi kufanyiwa vitendo vya kikatili na rapa Mmarekani, T.I. pamoja na mkewe Tiny...

READ MORE

Sukari ya Zuchu Yamfunika Nandy

  SECOND lady kutoka lebo kubwa ya muziki Bongo, Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Zuhura Othman ‘Zuchu’ anazidi kutisha kisanaa.Taarifa ikufikie...

READ MORE

Diamond Amtaja Baba Yake Mzazi, Fungua Hapa Kumjua

MSANII nyota wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul almaarufu Diamond Platnumz, leo Januari 28, 2021 kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu...

READ MORE

Agness Amkana Uchebe Kweupe!

MSANII wa Bongo Muvi, Agness Suleiman kwa mara ya kwanza amefunguka madai ya kuhusishwa kimapenzi na aliyewahi kuwa mume wa...

READ MORE

Lady Jay Dee: Sikumbuki Idadi Za Kolabo Nilizofanya

MSANII mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’ amesema kuwa mpaka sasa hakumbuki idadi kamili za...

READ MORE

Maua Sama ft Aslay – Wivu (Official Music Video)

 MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Maua Sama ametoa video ya ngoma yake mpya ya Wivu akimshirikisha msanii Aslay....

READ MORE

Mazito Yaibuka Watoto Wa Diamond Platnumz

MJI mzito! Mambo kila siku yanaibuka mapya, lile suala la mama yake Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’ kutamka...

READ MORE

Penzi la Harmo na Kajala Mapya Yaibuka

LICHA ya muigizaji Kajala Masanja kunanusha vikali kuwa na uhusiano wa kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’,...

READ MORE

Davina Anika Maumivu Ya Kukosa Ubunge

  MIONGONI mwa waigizaji wa kitambo ambao bado wanafanya vizuri kwenye tasnia ya Bongo Movies ni Halima Yahya. Mashabiki wake...

READ MORE

BABA UNANIPENDA – SARAH ADAM & MARTHA MWAIPAJA (Official Audio)

Yamkini kuna mpendwa anapita katika nyakati ngumu,wimbo huu utakupa  nguvu na  moyo usikate tamaa mwamini Mungu atakuvusha..   

READ MORE

Alikiba Afunguka Baba Diamond ni ‘Baba Yangu’

MAMBO ni mengi muda mchache! Wakati sakata la baba halisi wa msanii Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ likiendelea kujadiliwa mitandaoni, mapya...

READ MORE

Mtv Mama…Modi, Harmo, Zuchu, Rostam Kimewaka Huko

KIMEWAKA huko! Ndivyo unavyoweza kusema kuelekea mwezi mmoja wa lala salama huko kwenye kinyang’anyiro cha tuzo kubwa za muziki wa...

READ MORE

Uwoya Atamba Bado Ana Muda Kula Ujana

LICHA ya kwamba ni mama mwenye mtoto mkubwa tu, Krish Ndikumana, staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya, eti ametamba kwamba,...

READ MORE

Tanasha Atua Nchini, Gari La Diamond Lampokea – Video

MZAZI mwenza wa supastaa wa Bongo Fleva barani Afrika, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch, usiku wa jana Januari...

READ MORE

Dortmund Kuwalaza Njaa Wenyeji Wake? Chagua wa Kushinda Naye!

Mchaka mchaka wa soka unaendelea kuleta burudani kwa wapenzi wa soka, ligi zote zimepamba moto huku mashabiki wakiendelea kutambiana mtaani....

READ MORE

Lulu Diva:Sipendi Kumwaga Mchele Kwenye Kuku Wengi

SEXLADY kunako anga la muziki wa Bongo Fleva, Lulu Abasi ’Lulu Diva’ amesema hakuna kitu ambacho anakichukia kama kuweka mambo...

READ MORE

Zuchu – Sukari (Official Audio)

Msanii wa muziki Bongo, Zuchu ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Sukari. Isikilize hapa kwa mara ya kwanza.

READ MORE

Dudubaya Kizimbani kwa Kumchafua Kusaga

  MSANII  wa Bongo fleva, Godfrey Tumaini (41) maarufu kama ‘Dudu Baya’, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Jijini...

READ MORE

BASATA Yamwekea Mtego Diamond

BARAZA la Sanaa Taifa ( BASATA ) limewataka wasanii wote ambao watatumbuiza katika Tamasha la ‘Tumewasha’ linaloendeshwa na Wasafi Media...

READ MORE

Meridian Bet Yaendelea Kutoa Msaada Kwa Jamii Na Kupokea Changamoto

Kampuni inayojihusisha na Mchezo wa kubahatisha ya Meridian Bet imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa walemavu wanaosali katika kanisa la...

READ MORE

Esma Ampinga Mama Mondi

MAMBO ni mengi muda ni mchache! Sekeseke aliloliamsha Mama Dangote, Sanura Kassim ‘Sandra’ limechukua sura mpya baada ya dada wa...

READ MORE

Mwasiti Afunguka Kuacha Muziki

MWANAMUZIKIaliyekula chumvi nyingi kunako Bongo Flevani, Mwasiti Almasi ‘Mwasiti’, naye amefunguka juu ya wimbi la wasanii kuacha muziki akisema kwa...

READ MORE

Leicester City Kukiwasha na Chelsea Leo

Ligi Soka nchini Uingereza itaendelea tena leo usiku. Baada ya London Derby, tunakutana tena kwenye wiki ya 19 – Leicester...

READ MORE

Achana na Kelele, Huu Ndio Ukweli Kuhusu Baba Mondi – Part 2

BAADA ya kuwepo kwa maneno mengi juu ya ukweli wa Baba wa msanii Diamond Platnumz, Global TV Online imezungumza na wahariri wa Magazeti Pendwa (UDAKU) ya Global Publishers ambao...

READ MORE

DStv Yamwaga Ofa Kwa Wateja Wake ‘Panda Tukupandishe’

MultiChoice Tanzania Januari 16, 2021 imetangaza promosheni maalum kwa wateja wa DStv ambapo kwa kipindi cha miezi mitatu itakuwa ikiwapandisha...

READ MORE

Video: Mzee Abdul Alipuka – “Mama Dangote, Diamond Wanadharau Kisa Pesa”

 Mzee Abdul Juma ambaye wengi wanamjua kama baba mzazi wa Diamond, si baba Mzazi wa Diamond kwani wakati wanaingia...

READ MORE

Siri Ndoa Ya Lulu Kutofungwa Yafichuka

BADO kelele za ndoa ya staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mchumba wake wa siku nyingi, Francis...

READ MORE

Cheza Hold’em Poker Kwa Pesa Halisi Kupitia Meridianbet

Hold’Em Poker kupitia Meridianbet pekee. Unapenda kucheza poker na rafiki zako au unajiamini wewe ni mbobezi na kwamba ungependa kushindana...

READ MORE

Ukweli Lulu Kumburuza Wema Mahakamani

HALI ya hewa imechafu! Siku chache baada ya Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu kuibua mauaji ya aliyekuwa mwigizaji nguli...

READ MORE

Mrembo Shepu Biriani Atikisa Ukumbini

MREMBO mmoja aliyetajwa kwa jina moja la Mamuu, umbo lake limekuwa gumzo mjini kwa jinsi ilivyoonekana kutikisa ukumbini kutokana na...

READ MORE

Tanasha Awatoa Wanaume Udenda

STAA wa muziki kutoka nchini Kenya, Tanasha Donna, amewatoa udenda baadhi ya wanaume wakware ambao wamejikuta wakijiongezea machungu ya mwezi...

READ MORE

Alikiba Kutoa Albam Mwaka Huu

MKALIwa Ngoma ya Nakupenda, Alikiba amesema kuwa ishu ya kutoa albam kwa mwaka huu ipo kwa asilimia zaidi ya 100...

READ MORE

Aunty Ezekiel Amuonesha Baba Wa Mtoto -Video

Hatimaye Staa wa filamu za kibongo, Aunt Ezekiel leo Januari 10, 2021 amemuibua baba wa mtoto wake aliyejifungua hivi karibuni...

READ MORE

Jack Ma: Mtoto wa Maskini Aliyepitia Misukosuko Kabla ya Kuwa Bilionea

Ukiona mtu amefanikiwa maishani, usidhani ni kazi rahisi! Nyuma ya mafanikio ya watu wengi unaowajua hii leo, kuna maumivu, msoto,...

READ MORE

Sikiliza Karata Tatu Kutoka Kwa Ibraah wa Harmonize – Audio

MWANAMUZIKI wa Bongo fleva, Ibraah, aliyepo chini ya lebo ya Konde Music Word Wide, ametimiza ahadi yake ya kuachia Karata...

READ MORE

Inter Milan Kuwavaa AS Roma Jumapili Hii!

Ligi Soka nchini Italia – Serie A kutupa burudani safi Jumapili hii. Inter Milan vs AS Roma sio mchezo wa...

READ MORE

Cardi B Amuwashia Moto Bosi WWE

MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Mieleka ya WWE, Vince Macmahon, amejikuta akiwashiwa moto mtandaoni na rapa Cardi B, akidai kutumika...

READ MORE