×

Burudani

Wauzaji na WALAJI wa CHIPS Wachangamkia Bidhaa Za RED GOLD

KATIKA mtindo wa maisha wa sehemu nyingi hasa mijini, chipsi zimezoeleka kwamba ndiyo chakula cha haraka ambacho unaweza kukipata kwa...

READ MORE

Nai Akiri Kuachana Na Moni

VIDEO vixen Bongo, Nai amekiri kuachana na mpenzi wake wa muda mrefu ambaye ni mwanamuziki wa Bongo Fleva, Moni Centrozone...

READ MORE

Mondi, Amina wa Kiba Gumzo Mjini

MJI mzito huu! Baada ya mapichapicha ya staa wa Bongo Fleva, Ali Salehe Kiba ‘King Kiba’ na mwanamitindo Hamisa Mobeto...

READ MORE

Ukweli Pete ya uchumba ya Nandy

BAADA ya utata kuibuka kutokana na mwanamuziki William Lyimo ‘Billnass’ kumvisha pete ya uchumba, mpenzi wake ambaye pia ni mwanamuziki...

READ MORE

Bob Haisa aibuka na Mazito

  UNAPOZUNGUMZIA muziki wa Rhumba au Zuku, huwezi kuacha kulitaja jina la Bob Haisa. Ni miongoni mwa wanamuziki wakongwe Bongo...

READ MORE

Alichokisema Lulu kuhusu Mtoto wa Mobeto

BAADA ya kushambuliwa kwa kutomposti mtoto wa mpenzi wake, Francis Ciza ‘Majizo’ aliyezaa na mwanamitindo Hamisa Mobeto aitwaye Baby Fansy,...

READ MORE

 Muna Kufanya upasuaji kupunguza tumbo na pua

WATU wengi wamekuwa wakijiuliza maswali mengi juu ya aina ya ulokole wa mwigizaji wa filamu za Kibongo, Rose Alphonce ‘Muna’. ...

READ MORE

Kiba akimbiza kijiji

 “KUPENDA ni vitendo si manenomaneno, leo nakupa kitengo kwa kufika malengo, umeziba mapengo, kwa upendoupendo! Bora wananzengo waanze vikao vya...

READ MORE

Epuka sana majaribio penzini, ni hatari!

MUNGU ni mwema sana. Kwa Wakristo na wasiokuwa Wakristo wanaendelea kusherehekea Sikukuu ya Kufufuka Yesu Kristo. Ni vizuri watu wote...

READ MORE

Msanii Mpya wa Harmonize Aachia Dude la Kwanza – Video

MSANII mpya aliyetambulishwa na Mkurugenzi wa Lebo ya Konde Gang, Harmonize anayejulikana kwa jina la Ibrah, tayari ameachia wimbo wake...

READ MORE

MUNA LOVE – “Wanasema Nimempeleka Wema kwa Mganga” -Video

 Msanii Muna Love amezungumza na Global TV Nakuweka wazi magumu aliyopitia baada ya kumpoteza mtoto wake mpendwa Patrick.

READ MORE

Taharuki Mondi Kuporwa Wasafi

Taharuki imetawala! Hivi karibuni zimeibuka tetesi kwamba, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au ‘Mondi’ amepokonywa hisa za...

READ MORE

Sarah Ajirudi Kwa Harmo!

Moshi mweupe! Mchumba wa staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’, Sarah Michelotti amefufua matumani ya wawili hao kurudiana kufuatia...

READ MORE

Mama Dangote: Zuchu Yupo Damuni, Nampenda

MAMA mzazi wa Superstar wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Mama Dangote, amesema kuwa kwa namna ambayo anampenda memba mpya wa...

READ MORE

Billnass Amvisha Pete ya Uchumba Nandy

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, William Lyimo ‘Billnass’ usiku Aprili 10, 2020 amemvalisha pete ya uchumba msanii wa Bongo...

READ MORE

Ripper Mcongo Wa Norway Awapa Mchongo Diamond, Ali Kiba

MWANAMUZIKI mahiri mzaliwa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) anayefanya shughuli zake za muziki nchini Norway kwa lugha ya...

READ MORE

Mwingine Aondoka na Smartphone Kali

MSHINDI wa ofa ya Usinunue Simu Nunua Magazeti Pendwa, Sharifa Rajabu amesema atazidi kusoma tena magazeti yanayotoa ofa hiyo; Ijumaa...

READ MORE

Video Mpya: Zuchu – Wana

MTOTO wa Malkia wa Taarab nchini Tanzania, Khadija Kopa, Zuchu baada ya kutambulishwa kuwa msanii mpya wa kike katika lebo...

READ MORE

Baby J: atakayeniroga anatafuta kifo

  MWANAMUZIKI maarufu wa visiwani Zanzibar, Jamila Abdallah ‘Baby J’ amesema kuwa zamani watu wengi walikuwa wakipenda kucheza na mwili...

READ MORE

Maimartha amtangazia vita Bonita

Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’ amemtangazia vita mwanamama maarufu kwa kuwapamba mastaa wa kike Bongo, Bonita kwamba akipita anga...

READ MORE

VIDEO: Alikiba – DODO, Hamisa Mobeto Ndani

 MSANII wa Bongo Fleva, Alikiba,  leo Aprili 8, 2020,  ameachia wimbo mpya unaoitwa ‘ Dodo’ ambapo kwenye video hiyo...

READ MORE

Wolper atahadharishwa ushoga na Tessy

BAADA ya msanii wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper kutundika picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na mzazi mwenza wa...

READ MORE

Shamsa: Siwezi kuyumbishwa na mwanaume

MSANII wa filamu Bongo, Shamsa Ford amesema kuwa anaijua thamani yake kama mwanamke, hivyo hawezi kuyumbishwa na mwanaume.  Akipiga stori...

READ MORE

Kiba: Sykes Ndo Aliyenitambulisha Kwenye Muziki

MFALME wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba amevunja ukimya na kufunguka kuhusu namna ambavyo msanii mwenzake, Dully Sykes alivyoshiriki katika...

READ MORE

Joseph Msami amtolea povu Mwijaku

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Joseph Msami amemtolea povu msanii wa filamu Bongo, Mwemba Batoni ‘Mwijaku’ na kusema kuwa...

READ MORE

Mobeto; Sina fanicha mimi?

HIVI karibuni maneno yalisambaa mitandaoni kwamba mwanamitindo na msanii wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto hana samani za ndani hivyo aache...

READ MORE

Baada ya Tanasha kusepa.. Mondi, Zari mambo safi

BAADA ya kudumu kuishi bila mawasiliano kwa zaidi ya miaka miwili, zilipendwa wawili, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au ‘Mondi’ na...

READ MORE

Harmo, Sara moto unawaka

BAADA ya hivi karibuni kudaiwa kufumaniwa na mrembo mwenye umbo matata Bongo, Nicole Joyberry Mbaga, staa wa Bongo Fleva, Rajab...

READ MORE

Billnass: Sina ubavu wa kumnunulia Nandy ndinga

BAADA ya kusambaa kwa picha kwenye mitandao ya kijamii zikionesha ndinga mpya ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’...

READ MORE

Jux, Huddah penzi ni kikohozi!

  AMA kweli penzi ni kikohozi! Huu ni msemo wa siku nyingi wa wahenga, lakini sasa unafanya kazi kwa mastaa...

READ MORE

Boomplay Yatoa Ofa Ya MB Milioni 25 Bure Kwa Watumiaji Wake

  App namba 1 barani Afrika inayotoa huduma ya usambazaji muziki, Boomplay imejitolea kuweka ahadi yake ya kuleta muziki wa...

READ MORE

MREMBO: Nimelala Apartment na Harmonize Siku 3 – Video

DAR: Baada ya kusambaa kwa video inayodaiwa kuonesha kuwa amefumaniwa akiwa na staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’, mrembo...

READ MORE

Davido Apishana Na Corona

MKALI wa muziki Afrika, raia wa Nigeria, David Adeleke ‘Davido’ amethibitishia kuwa ameendelea kupishana na mlipuko wa Virusi vya Corona,...

READ MORE

Penzi la Rotimi, Vanessa Ni Habari Nyingine

KAMA ulikuwa unategemea itafika siku utaona kapo ya wasanii, Rotimi na Vanessa ikivunjika basi fahamu ya kuwa wapenzi hao wameapa...

READ MORE

Shamsa Ford: Siwezi Kurudiana Na Chid Mapenzi

MUIGIZAJI kutoka katika kiwanda cha Bongo Muvi, Shamsa Ford amefunguka kuwa hawezi kurudiana na aliyewahi kuwa mume wake ambaye ni...

READ MORE

Tunda: Nimekua Sasa, Sitaki Mambo ya Mjini

MREMBO aliyejipatia jina kupitia kazi ya kuuza nyago kwenye video mbalimbali za wanamuziki wa Bongo Fleva, Anna Kimario ‘Tunda’ amesema...

READ MORE

Mhariri wa Magazeti Pendwa ya Global Afanyiwa Surprize – Picha

  SIFAEL Paul, mhariri wa Magazeti Pendwa ya Global Group, leo amefanyiwa bonge moja ya surprise na uongozi wakati akitimiza...

READ MORE

Baada ya Kutoka Karantini, Mondi Adaiwa Mamilioni

RAIS wa lebo kubwa ya muziki Afrika ya Wasafi Classic Baby (WCB), Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, ameruhusiwa kutoka karantini alikokuwa...

READ MORE

Domokaya Afunguka Kilichowapoteza, Aanika Mikakati Mipya

MPENDWA msomaji wa kolamu hii ya Yuko Wapi, leo nimekuletea mwanamuziki wa kizazi kipya; Precious Juma Mkona almaarufu kama Domokaya...

READ MORE

Top 5: Wasanii Wenye Mkwanja Afrika

MUZIKI kama zilivyo biashara nyingine, unalipa. Kwa hapa Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ndiye anayetajwa kuwa na utajiri mkubwa japo vyanzo...

READ MORE