×

Burudani

Jide; Tajiri wa Kolabo Bongo!

UNAPOZUNGUMZIA wasanii waliofanya kolabo nyingi ndani na nje ya Bongo, kamwe huwezi kuliweka pembeni jina la Judith Wambura ‘Lady Jaydee’...

READ MORE

Muna: Nikiwa Muislam Au Mkristo Haiwahusu

MUIGIZAJI wa filamu Bongo, Rose Alphonce ‘Muna’ amewacharukia wanaomsakama kila kukicha kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na dini ambayo mpaka...

READ MORE

Belle 9: Siwezi Kumsahau Masogange

“Upo mbali na Masogange… Njoo uutulize mtima wange… Upo mbali na Masogange eh… Miaka mingi imepita baby, ila mi sijakuona…...

READ MORE

Tid: Corona Isiwe Kiki!

BAADA ya dunia na nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania kukumbwa na janga zito la virusi vya Corona na baadhi ya mastaa...

READ MORE

Fleva Imerudi Kama Zamani!

MUZIKI wa Bongo Fleva ni muziki wa aina yake, kwani haujawahi kuchuja tangu ulipoanza kama ilivyo Taarab na Dansi ambazo...

READ MORE

Ndoa Mpya Ya Stamina Yanukia

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Bonivanture Kabongo ‘Stamina’ ameeleza kuwa baada ya ndoa yake ya kwanza kuvunjika, kwa sasa yupo mbioni...

READ MORE

Nisha Aeleza Corona Ilivyoam-Kwamisha

MSANII wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka Virusi vya Corona vilivyomkwamisha kibiashara, kwani ameshindwa kusafiri kwenda nchini China....

READ MORE

Vanessa Awaziba Midomo Wanaomsengenya

BAADA ya habari kusambaa kuwa tangu aingie kwenye uhusiano wa kimapenzi na msanii wa Marekani, Rotimi amesahau kufanya kazi. Staa...

READ MORE

Corona Yamkwamisha Harmonize Kufanya Ziara

Kwa sasa adui namba moja wa dunia ni Virusi vya Corona ambavyo vinasababisha maradhi ya COVID-19. Janga hilo halijamuacha salama...

READ MORE

Corona Yamnyoosha Faiza

STAA wa Filamu ya Baby Mama, Faiza Ally ambaye ni mfanyabiashara anayefuata mizigo nje ya nchi, ameelezea namna janga la...

READ MORE

Odemba Akimbia Ufaransa

Mwanamitindo wa kimataifa ambaye alijipatia jina kubwa ndani na nje ya Bongo kitambo hicho, Miriam Odemba amefanikiwa kukimbia nchini Ufaransa...

READ MORE

Kisa Jero; Wolper Azua Songombingo

KILA kukicha mjini hakuishi mambo, unaweza kusema hivyo! Unaweza kuamini kuwa staa anaweza kuanzisha songombingo kisa shilingi 500 ‘jero’? Risasi...

READ MORE

Wolper; Mama wa Dogodogo!

MIAKA 15 iliyopita, binti wa Kichaga, aliyekuwa na umri wa miaka 18 tu, alifunga safari kutoka nyumbani kwao, Machame kule...

READ MORE

Lulu Diva Avunja Ukimya Kutua Wasafi

KUTOKA kwenye vichupa vya Bongo Fleva kama Naogopa cha msanii Mirrow, Burger Movie Selfie cha Belle 9 na Pamela cha...

READ MORE

Nandy Kaja Kivingine Wakati wa Corona!

SEXY lady anayekimbiza kunako Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ amekuja kivingine kwa kujiingiza kwenye biashara ya kuuza nyama kwa kuwapelekea...

READ MORE

Corona Yamtikisa Sarah wa Harmonize

KUSAMBAA kwa Virusi vya Corona duniani kote, vinavyosababisha Ugonjwa wa COVID-19, kumemtikisa mpenzi wa staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul...

READ MORE

 Mobeto, Kiba Wanaswa Hotelini

MWANAMAMA anayebeba ‘taito’ tatu kwa mpigo ya uigizaji, mwanamuziki na mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Mobeto na mwanamuziki Ali Saleh Kiba...

READ MORE

Lava Lava Amkataa Uwoya

“ANA shepu bufalo, mwendo kama hakanyagi chini (hakanyagi chini), njonjo kangaroo, kafungasha double kibini (double kibini), ana guu la bia...

READ MORE

Hawana Jipya Lakini Wanawika

TUMEKUWA tukiona wasanii wakiwa maarufu kwa kazi wanazofanya huku wengine wakiupata umaarufu huo kwa skendo au kutokana tu na muonekano...

READ MORE

Bifu la Uwoya na Tessy, Ukweli ni Huu!

BAADA ya mastaa wawili, Irene Uwoya na Tessy Abdul ‘Tessychocolate’ ambao ni mashosti kudaiwa kuwa kwenye bifu kali kisa kuibiana...

READ MORE

Tanasha Anyang’anywa Gari Kimafia

WAKATI Tanasha Donnah akidaiwa kujipanga kumburuza mzazi mwenziye Nasibu Abdul ‘Diamond au Mondi’ mahakamani kudai mali walizochuma pamoja, habari zimevuja...

READ MORE

Wema: Siwezi Kukaa na Kinyongo

  BIBIE Wema Sepetu amesema kuwa katika vitu ambavyo hawezi kuishi navyo moyoni ni kinyongo, kwa sababu anaamini kukaa na...

READ MORE

Meneja wa Diamond ‘Salam SK’ Apata Corona

MENEJA wa mwanamuziki nyota nchini Diamond Platnumz,   aitwaye Sallam SK,    ametangaza kuambukizwa virusi vya Corona,  lakini amewatoa hofu Watanzania...

READ MORE

Sarah wa Harmo Yamkuta, Aoga Mvua ya Matusi

MCHUMBA wa msanii Rajab Abdul ‘Harmonize’ au Harmo, Sarah Michelotti, yamemkuta kwa kuogeshwa mvua ya matusi, kilichomponza nguo aliyovaa. Stori...

READ MORE

Haitham: Nina Kisima cha Asali, Nataka Wanaume Watatu

MSANII wa Bongo Fleva, Haitham Kim, amewaacha mashabiki vinywa wazi baada ya kutangaza kuwa anapania kuolewa na wanaume watatu ambao...

READ MORE

Meneja Afunguka Video Chafu Ya Abdu Kiba!

Baada ya msanii wa Bongo Fleva, Abdul Kiba ‘Abdu’ kuposti video yake chafu ya ngono kwenye Mtandao wa Snapchat, meneja...

READ MORE

Mjengo Mpya wa Lyyn Waibua Maswali

  KAMA ulikuwa hujui, habari ikufikie kwamba, mrembo Lyyn amehamia kwenye mjengo mwingine wa maana huko Masaki jijini Dar. Lakini...

READ MORE

Mama Atoa Neno Wema, Aunt Kutifuana

BAADA ya hivi karibuni mastaa wa filamu waliokuwa mashosti, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel kugombana, na sasa hakuna anayezungumza na...

READ MORE

Tanasha Kumburuza Diamond Mahakamani, Ataka Mali Nusu kwa Nusu

MREMBO na mwanamuziki, raia wa Kenya, Tanasha Donna, anasemekana amempeleka mwanamuziki nyota wa Tanzania, Diamond Platnumz, mahakamani akitaka wagawane mali...

READ MORE

Mambo 4 ya Kujifunza Kuachana Mondi na Tanasha

SIYO stori tena kwamba staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ameachana na baby mama wake mwingine, Tanasha Donna, raia...

READ MORE

Majibu Ya Ukimwi Yamponza Lyyn

Majibu yake ya Ukimwi aliyoyaposti mtandaoni, yamemponza video vixen na msanii wa Bongo Fleva, Irene Lous ‘Lyyn’.   Baadhi ya...

READ MORE

Albamu Mpya, Harmonize Kuangusha Balaa Mlimani City Leo

MSANII wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul Kahali, maarufu kwa jina la Harmonize,  ameweka wazi kuwa anaachia album yake mpya leo...

READ MORE

Z Anto Afungukia Ugomvi wa Wastara, Binti Kiziwi

IMEIBUKA stori hivi karibuni ambayo inaendelea kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari kuhusu ugomvi wa video...

READ MORE

Mzee Yusuf Arudi Kwenye Muziki ‘Nitaimba Mpaka Nigaragare’

ALIYEKUWA mwimbaji maarufu wa muziki wa taarab nchini, Mzee Yusuf, amesema anatafuta pesa kwa ajili ya kurudi kwenye muziki ambapo...

READ MORE

Staa wa Uganda Atua Bongo Kusaka Kolabo

MSANII wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Uganda, Namukwaya Hajara Diana, maarufu kwa jina la ‘Spice Diana’ ametua Bongo...

READ MORE

Ngoma 10 Zilizoingia Shindano la Toboa Kimuziki na Global TV

GLOBAL TV ONLINE imezindua rasmi Shindano la TOBOA KIMUZIKI NA GLOBAL TV ONLINE ambapo lengo lake ni kuwapa fursa wasanii...

READ MORE

Wasanii Chipukizi Wapewa Jukwaa Kutifuana, Mbabe Kutoboa

  KAMPUNI ya Global Publishers, imezindua rasmi Shindano la Toboa Kimuziki na Global TV Online, ambalo litashindanisha video 10 za...

READ MORE

Top Five Warembo Wanaokimbiza Bongo Fleva

MIAKA ya nyuma warembo kufanya muziki hususan wa Bongo Fleva, ilikuwa ni ngumu kidogo.  Walishindwa kushindana na vijana wa kiume....

READ MORE

Pretty Alia Na Wanaomse-Ngenya Kwa Mavazi

MSANII wa muziki na filamu Bongo, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ ameibuka na kulia na watu wanaomsengenya na kumsema vibaya kisa...

READ MORE

Young Killer Amponza Wolper

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Erick Msodoki ‘Young Killer’ amemponza staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper ambaye amejikuta akioga maneno...

READ MORE