×

Celebrities

Dogo Janja Afichua Siri Yake Na Nandy – Video

MSANII wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ amefichua siri yake na msanii mwenzake, Faustina Charles ‘Nandy’ kwa kusema kuwa...

READ MORE

EXCLUSIVE: DOGO JANJA Afunguka Yote Kuhusu UWOYA “Sitaki Tena Mastaa” -VIDEO

  MSANII wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ amesema baada ya kuachana na staa wa filamu Bongo, Irene Uwoya...

READ MORE

LULU DIVA Kusaidia Wahudumu wa Baa – Video

MSANII wa Bongpo Fleva, Lulu Abbas maauru kama Lulu Diva, amesema kuwa kwa sasa anaandaa project yake ambayo itakuwa maalum...

READ MORE

ROSE NDAUKA, CASSO WAMWAGANA

MSANII wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka na mwanamuziki wa Kizazi Kipya aliyekuwa akimsimamia kazi zake Said Kassim a.k.a Casso...

READ MORE

KAJALA ATIA NENO MWEZ I WA RAMADHANI

KAJALASTAA wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja ameibuka na kutoa neno kwa mastaa wenzake kuhusiana na mwezi huu mtukufu wa...

READ MORE

UWOYA: SKETI NDEFU ZILINIPA JINA LA SISTER IRENE

STAA wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya ameibuka na kufunua siri yake ambayo hajawahi kuisema kwamba, alipokuwa akisoma sekondari katika...

READ MORE

ZARI AKIRI KUVAA ‘NGUO ZA KARIAKOO’

MWANAMAMA Zarinah Hassan ‘Zari’ baada ya kutua nchini na kuhojiwa na mwandishi wetu alikiri kuvaa nguo zinazoitwa feki huku akiweka...

READ MORE

MAPENZI YA AIKA , NAHREEL ACHA KABISA

STAA wa Bongo Fleva, aliye memba wa Navy Kenzo, Aika Mariale amewafungukia watu wanaowashauri wafunge ndoa na mzazi mwenzake Emmanuel...

READ MORE

ODEMBA ATESWA NA K LYNN

MWANAMITINDO aliyewahi kujizolea umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi, Miriam Odemba amesema aliumizwa sana na kushindwa kukaa muda mrefu...

READ MORE

LYNN AWAKA ISHU YA KUHARIBIKA USO

VIDEO Queen na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Irene Louis amefunguka kuhusu picha yake inayosambaa mitandaoni, ambayo inamwonyesha ameharibika...

READ MORE

BAADA YA KUAMUA KUBADILISHA MAISHA YAKE …HUYU NDIO NORA WA SASA!

MIAKA ya 2000, kupitia igizo lililotokea kupendwa sana la Fukuto, lililokuwa likirushwa na Televisheni ya I.T.V chini ya kundi la...

READ MORE

Kanye anapiga mkwanja kama WOTE!

  AGOSTI, 2015 wakati anazindua msimu wa pili wa mavazi yake ya Yeezy, staa wa Muziki wa R&B, Chris Brown alitumia...

READ MORE

Mshtuko Ray C kutaka kujiua!

  DAR ES SALAAM: Mshtuko! Sexy lady kutoka Bongo Flevani, Rehema Yusuf Chalamila ‘Ray C’ ameibua mshtuko mkubwa kwa mara...

READ MORE

MISIKITI 6 YA MONDI GUMZO!

WAKATI leo kikiwa ni chungu cha pili cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, kauli ya staa wa muziki wa...

READ MORE

UMEINYAKA HII YA MWARABU KWENDA SAUZI KUFANYA KAZI NA ZARI?

DAR ES SALAAM: Mwanamama, raia wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ambaye ni mzazi mwenza wa staa wa...

READ MORE

KIM KARDASHIAN AWATOA JELA WAFUNGWA 17

MWANAMITINDO Mmarekani,  Kim Kardashian,  ameamua kurudi kuisaidia jamii na kuanzisha kampeni yake kusaidia wafungwa iitwayo “90 DAYS OF FREEDOM’’ akishirikiana...

READ MORE

QUEEN DARLEEN ANASEMA AMEJITOA KWA MONDI NA ZARI

DADA wa Diamond Platnumz, Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ amesema katika maisha yake kamwe hawezi kuingilia malumbano ya mdogo wake, Nasibu...

READ MORE

TANASHA: MONDI KIDOGO ANIPE UCHIZI

MPENZI wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch amesema kuwa, ilibaki kidogo apate uchizi baada...

READ MORE

LE MUTUZ AOMBEWA AFYA

KUTETELEKA kwa afya ya Mwanablogu maarufu nchini, William Malecela a.k.a Le-Mutuz kulikosababisha alazwe Hospitali ya Taifa Muhimbili; Taasisi ya Moyo...

READ MORE

ROSE NDAUKA AFUATA NYAYO ZA WEMA, UWOYA!

MWANAMAMA kutoka Bongo Movies, Rose Ndauka amefuata nyayo za warembo wenzake, Wema Sepetu na Irene Uwoya kwa kujikita kwenye ujasiriamali....

READ MORE

DAVINA AFUNGUKA KUPONDWA MUONEKANO MPYA

MREMBO kutoka Bongo Movies, Halima Yahaya ‘Davina’ amefungukia muonekano wake mpya na kusema anashukuru umekubalika na wengi japokuwa wachache wamemponda. ...

READ MORE

BODABODA MISS MBEYA GUMZO

MAMBO ni mengi muda ni mchache! Unaambiwa huko Insta kumechafuka, watu wako bize kwelikweli, wanaijadili bodaboda aliyopewa Miss Mbeya, Angela...

READ MORE

FURAHA KWA ZARI, HUZUNI KWA MONDI

NILISIKILIZA mahojiano ya Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ mara baada ya kutua Bongo juzikati katika ziara yake ya kibalozi. ...

READ MORE

CALISAH: MWANAMKE WANGU ANANITOSHELEZA

MWANAMITINDO maarufu Bongo, Calisah Abdulhamiid kwa mara ya kwanza amefunguka kwamba anampenda sana mpenzi wake Lisah, ambaye pia amefanikiwa kumzalia...

READ MORE

PETIT MAN AONYESHA MACHUNGU KWA ESMA

MENEJA wa wasanii mbalimbali Bongo, Hemed Manungwi ‘Petit Man’ ameonyesha machungu yake ya ndani kwa aliyekuwa mke wake, Esma Khan,...

READ MORE

ZARI AFUNGUKIA MWILI WAKE

MWANAMAMA ambaye ni mzazi mwenziye na staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Zarina Hassan ‘Zari The bosslady’ ame­wafunda wanawake jinsi...

READ MORE

ZARI AONYESHA JEURI UKWENI!

TUKIO lililotikisa ulimwengu wa mastaa mwishoni mwa wiki iliyopita lilikuwa la ujio wa mwanamama Zarina Hassan ‘Zari’ kutoka Afrika Kusini...

READ MORE

MBASHA AMAINDI INJILI KUTHAMINIWA MSIBANI

MSANII wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha ameonesha kutofurahishwa na kitendo cha nyimbo zao kupigwa nyakati za misiba tu kisha...

READ MORE

UTAJIRI WA HARMONIZE TISHIO!

DAR ES SALAAM: WAZUNGU wana msemo usemao; ‘hard work pays’! Msemo huu unaweza kuwa na maana kubwa katika maisha ya...

READ MORE

WOLPER: NDOA YA HARMONIZE INAWEZA KUNIPA PRESHA

MSANII wa Filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper amedai kuwa ndoa ya mpenzi wake wa zamani, Rajab Khan ‘Harmonize’ inaweza kumpa...

READ MORE

Kaseja: Mzee Mengi Alimzawadia na Jide

KIPA mwenye heshima kubwa kwenye soka la Tanzania, Juma Kaseja amesema kifo cha Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dk Reginald...

READ MORE

ALBUM YA INDOGO YAMKUTANISHA CHIRS BROWN NA DRAKE

Mwanamuziki wa marekani Chris Brown ametoa orodha ya majina ya wasanii ambao atawashirikisha kwenye Album yake mpya inayokuja ‘’INDIGO’’ ambayo...

READ MORE

MKE WA MAJUTO: NIPO TAYARI KUOLEWA

IKIWA imepita miezi tisa baada ya kifo cha mchekeshaji maarufu nchini, Amri Athumani ‘King Majuto’, aliyekuwa mke wake, Aisha Yusuph...

READ MORE

ROSE NDAUKA: KUIGIZA MAISHA ‘KUMEEKSIPAYA’

MSANII wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka amesema kuwa kitu kikubwa kilichopitwa na wakati ‘kueksipaya’ kwa mastaa ni kuigiza maisha...

READ MORE

K-LYIN SIRI NZITO KIFO CHA MENGI

  HAKUNA mtu mwingine wa kumuuliza siri ya kifo cha mfanyabiashara maarufu nchini, bilionea Dk. Reginald Abraham Mengi (75) zaidi...

READ MORE

AUNT LULU: KUOMBA HELA OVYO KULINIGOMBANISHA NA WAZAZI

MTANGAZAJI Lulu Semagongo ‘Aunt LuLu’ ameibuka na kuifunua siri yake aliyokuwa ameificha muda mrefu kuwa, alikuwa kero kwa wazazi wake...

READ MORE

PROF JAY AMPA HESHIMA MONDI

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Joseph Haule ‘Professor J’ ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro,...

READ MORE

ZARI Atoa MSAADA wa DIAPERS Mbagala – Video

Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ambaye ni mzaazi mwenzake na msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ametikisa mitaa Mbagala...

READ MORE

KUFURU ya HARMONIZE kwa SARAH Stejini – Video

BALAA lilikuwa la aina yake, usiku wa kuamkia leo Mei 4, ambapo staa wa muziki wa Bongo Fleva kutoka WCB,...

READ MORE