×

Celebrities

Mfahamu K-Lyinn Kabla ya Kuwa Jacqueline Mengi

JACQUELINE NTUYABALIWE  (Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi) ambaye pia anajulikana kama K-Lyn alizaliwa tarehe 6 Desemba 1978 mjini Dar es Salaam, Tanzania....

READ MORE

TUNDA: KUISHI HOTELINI MBONA POA TU!

VIDEO Vixen maarufu Bongo kwenye video za mwanamuziki wa Bongo Fleva, Anna Kimario ‘Tunda’ amesema kukaa kwake hotelini kila mara...

READ MORE

WEMA AJIVUNIA KUTUA MZIGO WA MWILI

DIVA wa sinema za Kibongo, mwenye nyota ya kipee Wema Sepetu amesema mwili aliokuwa nao huko nyuma ulikuwa ni sawa...

READ MORE

Mwanamuziki Nguli Mose Fan Fan Afariki Dunia

MWANAMUZIKI maarufu wa DR Congo Mose Fan Fan (75) amefariki dunia kwa mshtuko wa moyo nyumbani kwake karibu na barabara...

READ MORE

SIRI KIBAO VIBENTENI KUMWAGWA NA MASTAA ZAFICHUKA

DAR ES SALAAM: Jipu limepasuka pwaaa, aisee! Siri za vibenteni (wanaume waliozidiwa umri na wanawake wao) kumwagwa na mastaa wa...

READ MORE

JUSTIN BIEBER ACHUKIZWA NA EMINEM

Mwanamuziki wa marekani Justin Bieber amechukizwa na tabia ya rapa Eminem kuwa-diss rappers wapaya, Justin aliamua kumwambia ukweli kuwa anapenda...

READ MORE

ZARI KUITIKISA MBAGALA KESHO

DAR ES SALAAM: Mambo ni faya! Wakati saga lake na mzazi mwenzake ambaye ni staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

READ MORE

NEEMA NABII ASIYEKUBALIKA

KWELI? Mwongozaji na mwigizaji wa Bongo Muvi, Neema Ndepanya amefunguka kuwa kwa kipindi kirefu alikuwa ni kama nabii asiyekubalika kwao...

READ MORE

NELLY ANATAKA KUZAA LAKINI…

WANAUME mpo? Mwanamitindo maarufu Bongo, Nelly Kamwelu amefunguka kuwa anataka sana kuwa na mtoto kwa kipindi hiki, lakini amejifunza kuwa...

READ MORE

ZARI AMTIA MATATANI MONDI

KILICHOMPONZA Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’ ni kauli yake kuwa mjengo anaoishi mzazi mwenzake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kule...

READ MORE

Posts za Mastaa Diamond, Mwana FA, Vee Money Msiba wa Mzee Mengi

Wasanii nchini wamezidi kutuma salamu za pole kufuatia kifo cha Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi kilichotokea...

READ MORE

SAFARI ZA WOLPER CHINA ZASHTUA

  KUNA baadhi ya watu kusafiri mara kwa mara siyo ishu sana, lakini kwa upande wa mrembo wa sinema za...

READ MORE

SHAMSA ATOBOA SIRI YA UBONGE !

STAA wa Bongo Muvi, Shamsa Ford amefunguka kuwa siku zote mwili wake unafumuka pale tu anapokuwa na mawazo tele kichwani...

READ MORE

LULU: TUJIFUNZE KUJIKUBALI

  MWIGIZAJI mwenye nyota ya kipekee Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema kuwa hakuna kitu kizuri kama mwanamke kujiamini maana...

READ MORE

LINAH ADAIWA KUJALADIA MAKALIO

MREMBO kutoka Bongo Flevani, Esterlina Sanga ‘Linah’ amekwaa skendo ya ‘kujaladia’ makalio baada ya kuonekana katika picha mpya akiwa amejaa zaidi...

READ MORE

SEKESEKE LA WANANCHI WAVAMIA MSAFARA WA HARMONIZE – PICHAZ

WANANCHI na mashabiki wa eneo la Tunduru, Barabara ya Songea, leo Jumatano mchana wamekimbilia barabarani na kuuvamia msafara wa msanii...

READ MORE

Nandy Afungukia Wosia Alioachiwa na Ruge, Familia Yatoa Neno!

Leo Mei 1, 2019, ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media...

READ MORE

AUNT ACHARUKA KUAMBIWA YUKO NA KIBENTENI

 MSANII wa filamu Bongo Muvi, Aunt Ezekiel amewacharukia watu wanaosema kuwa anapenda kutembea na ‘vibenteni’ kama ilivyo kwa mwanaume wake...

READ MORE

WEMA: NIKIMSIFIA KIBA KUNA MTU ANATESEKA ?

 STAA wa filamu Bongo Muvi, Wema Sepetu amesema kuwa hawezi kuficha hisia zake kwa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ali Kiba,...

READ MORE

Baba D Afunguka Kufanya Kolabo na Diamond

  BABA wa msanii wa Bongo Fleva Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’, mzee Abdul Juma leo ametembelea ofisi za Global Group...

READ MORE

PIERRE: Amber Lulu Alinifanya Mwenyewe, Alianguka Akazimia – Video

Kufuatia kusambaa kwa picha zikimuonyesha mchekeshaji aliyejizola umaarufu mitandaoni, Pierre Liquid akiwa katika mapozi tofauti na msanii wa Bongo Fleva,...

READ MORE

WEMA YUPI UNATAMANI AWE WEMA WA LEO?

MWAKA 2006 alipoibuka kidedea kwenye mashindano ya Miss Tanzania, hapo ndipo mwanadada Wema Isack Sepetu ‘Madam’ alipoanza kung’ara. Wakati huo...

READ MORE

FLORA AFUNGUKA MBASHA KUTANUA NA BINTIYE

MWANAMUZIKI mwenye jina kubwa kwenye muziki wa Injili Bongo, Flora Kusekwa ‘Madam Flora’ ameyafungukia yale madai mazito mno juu ya...

READ MORE

MASTAA BONGO WANAVYOHENYA CHINA

MASTAA Bongo ambao ni wafanyabiashara wanaokwenda nchini China wamekuwa wakihenya pale wanapokwenda kusaka biashara ingawa wakifika hapa Bongo, hakuna anayeweza...

READ MORE

MTUHUMIWA WA MAUWAJI YA 2PAC ATUPWA JELA MIAKA 10

Darnell Brim mtuhumiwa wa mauwaji ya 2 Pac  amehukumiwa miaka 10 jela baada ya kukutwa na kosa la kutaka kuuza...

READ MORE

DIAMOND APEWA MTIHANI KWA BABA’KE

MOJA kati ya matukio yaliyotikisa ndani ya wiki iliyopita ni lile la kupatana kwa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na...

READ MORE

 RIYAMA AWAPONDA WANAOTOA SIRI ZA WAUME ZAO!

STAA wa filamu za Kibongo, Riyama Ally amewaponda wanawake wanaopenda kutoa siri za waume zao au wanaume wanaoachana nao na...

READ MORE

TESSY AFUNGUKIA MADAI YA KUVALIANA NGUO NA UWOYA

BAADA ya picha yake kusambaa mitandaoni akiwa amevaa nguo sare na aliyowahi kuonekana ameivaa msanii wa filamu za Kibongo, Irene...

READ MORE

Akili ya Linnah ya Utoto, Hiki Ndo Alichomuiga Mama Yake!

MWANAMUZIKI Estelina Sanga ‘Linah’ kwa mara ya kwanza amefunguka siri ambayo hajawahi kuisema kuwa enzi za utoto wake alikuwa anapenda...

READ MORE

PIERRE Afunguka Kuachia Ngoma na Rayvanny – Video

Baada ya kusambaa kwa kipande cha video kikimuonyesha mchekeshaji aliyejizolea umaarufu kupitia mitandao ya kijamii ‘Pierre Liquid’ akicheza wimbo huku...

READ MORE

BAADA YA KUPATANA… DIAMONDI BABA’KE WAFUKUA MAKABURI

DAR ES SALAAM: WIMBO mpya wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wa The One umeshindwa kuzima kishindo cha tukio la msanii...

READ MORE

AMINI : LINAH KATULIA KWANGU , TENA AMENASA

UKISIKIA majina ya wasanii Amini Mwinyimkuu na Asterlina Sanga ‘Linah’ bila shaka kichwani kibao kitakachogonga kwenye kumbukumbu zako ni ‘Mtima...

READ MORE

UCHEBE: MKE WANGU ANANIONGEZEA UMRI

MUME wa msanii wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Ashirafu Uchebe, amefunguka kuwa mkewe huyo anamwongezea siku za...

READ MORE

TUNDA: PIERRE ANAKATA STRESS ZANGU

MUUZA nyago maarufu Bongo, Anna Kimario ‘Tunda’ amesema hakuna mtu anayemtoa stress kama mchekeshaji maarufu wa mtandaoni Peter Mollel ‘Pierre...

READ MORE

LULU DIVA ACHOMOA KUZAA, KUTELEKEZA MTOTO

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa madai ya kuzaa mtoto na kumtelekeza kijijini kwao ni ya...

READ MORE

BAADA YA SHOO 2 TU, BABA D YALEYALE YA MONDI

DAR ES SALAAM: Maji hufuata mkondo, lakini safari hii mkondo ndiyo umefuata maji! Ndiyo hali halisi ya kinachojiri kwenye maisha...

READ MORE

UWOYA KWELI KAFUNGA VIOO

HATAKI shobo! Mwanamama sexy kunako kiwanda cha filamu za Kibongo ambaye ni mkali wa kupigilia pamba za bei mbaya kila...

READ MORE

MAMA KANUMBA: RAY TUNAPISHANA, LULU HATUJAONGEA MIAKA 5 – VIDEO

MAMA wa aliyekuwa muigizaji wa Bongo Movies, marehemu Steven Kanumba, Bi. Flora Mtegoa,  amefunguka kuhusu uhusiano wake kwa sasa na...

READ MORE

Ibada ya Kanye West na Kim Kardashian, Majirani Wacharuka!

Mwanamuziki wa Marekani Kanye west anaendelea na mpango wake wa kufanya ibada na familia yake kila jumapili Ibada hii hufanyika...

READ MORE