×

Celebrities

JIDE AZUA GUMZO, AONYESHA CHUCHU ‘SAA SITA’ – VIDEO

STAA nguli kwenye tasnia ya muziki wa Bongofleva, Judith Wambura, maarufu kama Lady Jaydee amezua gumzo mitandaoni kwa kuvaa nguo...

READ MORE

Zari, King Bae mahaba kama yote!

UNAAMBIWA Instagram kumechafuka balaa! Zilipendwa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ na mpenzi wake mpya maarufu...

READ MORE

PART ONE: Hata NIKIFA Leo, Sina HELA, Tessy ALIPANIKI Tulivyoachana – Video

KWA mara nyingine tena radio yako ya mtandaoni ambayo inafanya vizuri kwa sasa, +255 Global Radio inakuletea Exclusive Interview nyingine...

READ MORE

Esma: Diamond, Tanasha ndoa kama kawa!

DADA wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Esma Khan amefunguka kuwa watu wanao-fikiria ndoa ya kaka yake...

READ MORE

TANASHA ANATEMBELEA NYOTA ZA MOBETO, ZARI?

MUNGU anapoamua kukuinua ni wakati wako tu ukifika, kikubwa ni kuweka jitihada. Hivi karibuni mpenzi wa Nasibu Abdul ‘Diamond’ Tanasha...

READ MORE

DRAKE AZIDI KUPAGAWISHWA NA MUZIKI WA NIGERIA

MWANAMUZIKI wa  Nigeria, D. Niniola,  ameonyesha furaha ya pekee baada ya staa wa  Toronto nchini Canada,   Dreezy Drake, kum-follow kupitia...

READ MORE

SISTER FAY HEBU KUA KIDOGO BASI!

KWAKO msanii wa Bongo Fleva, Sister Fay, habari zako? Habari za siku nyingi? Bila shaka umzima wa afya na unaendelea...

READ MORE

DUH! HAMISA MOBETO MBISHI AISEE!

“HIVI huyu naye anaimba vitu gani? Wewe hujui kuimba bora utafute kazi nyingine ya kufanya!” Haya ni maneno yaliyozoeleka kwa...

READ MORE

Kayumba Amfungukia Uwoya

BAADA ya kutamba na Ngoma ya Wasiwasi, msanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni mshindi wa Bongo Star Search 2015,...

READ MORE

DIAMOND Apongezwa Kujirudi kwa Baba Yake

KARIBU tena mpendwa msomaji wa safu hii uipendayo ya Usipojipanga Tunakupanga. Wiki iliyopita tulimleta staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

READ MORE

KIM AFUNGUKIA UHUSIANO KIMAPENZI

MUUZA nyago kwenye video mbalimbali za wanamuziki wa Bongo Fleva, Lilian Kessy ‘Kim Nana’ amesema watu wengi watakuwa wanajichanganya sana...

READ MORE

SUZY: Kwapa Limenipa Madili

BAADA ya kuandamwa mitandaoni kuwa anakera kwa kufuga nywele za kwapani na kuzianika, mtangazaji Suzan Benard ‘Suzy’ amefunguka kuwa kwapa...

READ MORE

MUNA AOTESHWA NDOA MWAKA HUU

MUIGIZAJI wa filamu, Rose Alphonce ‘Muna’ amesema ameoteshwa na anaamini kabisa mwaka huu Mungu, atamletea mumewe kwa sababu hajawahi kumuomba...

READ MORE

BIEBER MAHAKAMANI KWA KUMGONGA MPIGAPICHA KWA GARI

MWANAMUZIKI maarufu wa Canada, Justin Bieber,  anashtakiwa kwa kumngonga na gari mpigapicha mmoja wakati akitoka kanisani mjini Los Angeles, Marekani, ...

READ MORE

WEMA AKIRI: Makundi Yameniharibu, Nimefeli, Siongozani Nao Tena – Video

Staa wa filamu bongo Wema Isaac Sepetu Siku ya Tarehe 15 April alipopewa nafasi ya kuongea mbele ya wadau walioudhuria...

READ MORE

EXCLUSIVE: RDJ MAMIE Afunguka Kuacha Kifua Wazi, Mahusiano na LAVALAVA – Video

  DJ wa EFM ambaye anatambulika kama RDJ Mamie amefunguka kuwa kinachoenezwa katika mitandao ya kijamii kutoka na Lavalava hayuko...

READ MORE

THE GAME HATARINI KUKOSA MKWANJA WA ALBUM YAKE IJAYO

RAPA Mmarekani,  The Game, yupo kwenye hatari ya kukosa mirahaba yake (royalties) kwenye albam yake ijayo kwa sababu mwanamke anayedai...

READ MORE

Good News: Rose Muhando Yuko Fiti, Aagwa Hospitali Kenya

MWIMBAJI  maarufu wa nyimbo za injili nchini, Rose Muhando, hatimaye ameagwa katika hospitali aliyokuwa amelazwa nchini Kenya baada ya kuugua...

READ MORE

Kim Kardashian Aanza Masomo ya Sheria

MWANAMITINDO ambaye pia ni Mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian ameamua kuingia darasani na kujifunza...

READ MORE

‘Dudu la Yuyu’ Lampa Dili Baba Diamond

DAR ES SALAAM: AMA kweli Mungu akitaka kukupa hakuandikii barua! Baada tu ya kuuza sura kwenye wimbo wa Umeniteka ‘Dudu...

READ MORE

DAVINA: ACHEKELEA UBALOZI WA WATOTO WA MTAANI!

STAA wa Filamu za Kibongo, Halima Yahaya ‘Davina’ hivi karibuni ameteuliwa kuwa balozi wa watoto wa mtaani na Mkuu wa...

READ MORE

Shilole: Bado Nahangaikia Kiingereza, Kitaeleweka tu

MWANAMUZIKI na mjasiriamali, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameeleza kuwa, hajisikii aibu anapopewa maiki na kuzungumza Kingereza ‘broken’ kwa sababu anajua huko...

READ MORE

Ray Afunguka Mrithi Chuchu Hans!

SIKU chache baada ya video inayomuonesha kaka mkubwa Vincent Kigosi ‘Ray’ akiwa na mrembo aliyefahamika kwa jina moja la Sarafina...

READ MORE

KAJALA AITAMANI NDOA TENA!

ANA umbo kubwa lakini linalompendeza na kumwacha na mvuto wake wa kipekee. Staili yoyote ya nywele inamtoa chicha, kwenye mavazi...

READ MORE

40 YA MTOTO WA KIBA USIPIME!

DAR ES SALAAM: KING atabaki kuwa King tu! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia sherehe kubwa ya kutimiza siku arobaini (40)...

READ MORE

KADINDA: WEMA AMEKUA, AJIONGOZE MWENYEWE

DAR ES SALAM: Aliyekuwa meneja wa mwigizaji Wema Isaac Sepetu, Martin Kadinda ambaye pia ni mbunifu wa mavazi Bongo amefunguka...

READ MORE

HARMONIZE AMPIGA BAO DIAMOND

MAISHA yanakwenda spidi mno na kutangulia kwenye maisha haya siyo kufika! Hicho ndicho kinachotokea kwa mastaa wawili wakubwa wa Bongo...

READ MORE

DIANA: KASHFA HAIWEZI KUNIBADILISHA

Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Diana Kimari amefunguka kuwa siku zote habadiliki kwa kusimangwa kwa maneno na anaposemwa ndiyo kwanza...

READ MORE

AUNT AKIFUNGUKIA KIFAA KIPYA CHA IYOBO

MKALI wa Sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amefungukia taarifa zilizozambaa mtandaoni kuwa mzazi mwenzake, Moze Iyobo ana kifaa kingine huku...

READ MORE

Wolper: SinaMiguu chelewa!

STAA wa sinema za Kibongo ambaye kwa sasa amejikita kwenye mitindo ya mavazi, Jacqueline Wolper Massawe ameweka wazi kuwa siyo...

READ MORE

Lulu Diva Ampa Dongo Dada’ke

BAADA ya kudaiwa kukwapua bwana wa dada’ke aitwaye Mamuu, sistaduu wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amemtupia dongo dada...

READ MORE

Mtoto wa KINGUNGE Aibukia Kwenye Muziki – Video

Martin Ngombalemwilu ni mtoto wa mwanasiasa ambae kwa sasa ni Marehemu Kingunge Ngombalemwilu, ameamua kujikita zaidi katika tasnia ya muziki....

READ MORE

Mashabiki wa Vemoney Wamshambulia Bella, Kisa Jux

BAADA ya hivi karibuni msanii wa Bongo Fleva, Isabella Mpanda ‘Bella’ kuposti picha yake akiwa na msanii mwenzake, Juma Khalid...

READ MORE

Mama Kanumba Azimia Kaburini kwa Mwanaye – Video

INAHUZUNISHA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mama mzazi wa aliyekuwa staa mkubwa wa filamu za Kibongo, Steven Charles Kanumba ‘The...

READ MORE

KUTOKA MANCHESTER: Hali Ilivyo Kuelekea Mchezo Dhidi ya BARCA!

Mashabiki wa Machester United wameonesha kuwa na hali ya kujiamini kuelekea mchezo wa robo fainali wa vilabu bingwa Ulaya dhidi...

READ MORE

ASLAY: NASHUKA NA BENDI DAR LIVE PASAKA HII

K WA mara ya kwanza tangu atoke Yamoto Band, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Aslay Isihaka amesema kuwa atashuka...

READ MORE

FAIZA:  MAPENZI NI HOBI YANGU

MSANII wa filamu mwenye vituko lukuki Bongo, Faiza Ally ambaye pia ni mzazi mwenza na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph...

READ MORE

BAADA YA WIMBO WAKE KUPIGWA MUSCAT… BABA DEE, WANAYE KIMEELEWEKA

DAR ES SALAAM: KIMEELEWEKA! Ndivyo unavyoweza kusema, baada kuwepo kwa kutoelewana kwa muda mrefu, hatimaye moshi mweupe umeonekana baada ya...

READ MORE

KWA HILI MAMA WEMA ANAJIPA PRESHA ZA BURE!

LENGO la makala haya ni kueleza jinsi mama wa staa mkubwa Bongo, Wema Sepetu, Miriam Sepetu anavyojitafutia presha za bure...

READ MORE