×

Celebrities

PIERRE AFUNGUKA KUIBIWA JINA NA DUDU BAYA

JAMAA aliyejizolea umaarufu nchini kwa staili yake ya kuchapa maji, Peter Mollel maarufu kwa jina la Pierre Konki amemuelezea msanii...

READ MORE

K-LYNN ‘ACHOMOA’ KUTOA BURUDANI

MREMBO aliyewahi kutamba kwenye anga la Kizazi Kipya akitumia jina la K-Lynn, Jacqueline Ntuyabalilwe (sasa hivi Jacqueline Mengi) juzikati alichomolea...

READ MORE

MWILI WA JESSIE WA THT WAAGWA, KUZIKWA MVOMERO KESHO

MWILI wa aliyekuwa mwanamuziki wa THT,  Jesca Edward Mahohi ‘Jessie’,  ambaye alifariki Aprili 6 mwaka huu  wakati akijifungua katika Hospitali...

READ MORE

Baada ya Kimya Kirefu, DARASSA Azindua VIDEO Mpya 3 kwa Mpigo – Video

HIT MAKER wa ngoma ya Chanda Chema inayosumbua mjini kwa sasa, Darassa CMG, Usiku wa Aprili 07, amezindua nyimbo zake...

READ MORE

UWOYA AFUNGUKA CHANZO KIFO CHA MBWA WAKE

  STAA wa filamu Bongo, Irene Uwoya hivi karibuni ameeleza kupata msiba mzito wa kufiwa na mbwa wake aitwaye Kallu...

READ MORE

SIWEZI KUZEEKA , SINA STRESS – MONALISA

 MUIGIZAJI wa kitambo Bongo, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ amesema kuwa hawezi kuzeeka kwa sababu hana kabisa stress na ndiyo maana kila...

READ MORE

AMBER LULU ATESWA NA NDOTO ZA YOUNG D

 MSANII aliyeibukia kwenye Bongo Fleva, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ amesema kuwa anasumbuliwa na ndoto za mwanamuziki mwenziye ambaye waliwahi kuwa...

READ MORE

PENZI LA AUNT E ZEKIEL, IYOBO KIZUNGUZUNGU

    NI KAPO iliyobamba vilivyo katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita na kuvutia mashabiki wengi wa muziki wa Bongo...

READ MORE

MWARABU: WCBWANAFURAHI MIMI KUONDOKA

UNAMKUMBUKA yule bodigadi matata wa staa mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Mwarabu Suleiman Mirundi almaarufu Mwarabu Fighter?...

READ MORE

ZARI AMPA ONYO TANASHA KWA MONDI

DAR ES SALAAM: Taa nyekundu! Mzazi mwenza wa staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, mwanamama mjasiriamali Zarinah Hassan ‘Zari...

READ MORE

ASLAY KUSHUKA DAR LIVE PASAKA HII

MKALI wa Bongo Fleva aliyewahi kuunda Yamoto Band, Aslay Isihaka anatarajiwa kushuka Sikukuu ya Pasaka ndani ya Uwanja wa Taifa...

READ MORE

MAMA ROMMY APEWA TALAKA POLISI

DAR ES SALAAM: MAMA yake DJ Rommy Jones, Shani Swedy anadaiwa kuzua kasheshe la aina yake alipokuwa akidai talaka yake...

READ MORE

MALKIA WA NGUVU: FARAJA KOTA Anyakulia TUZO ya MHAMASISHAJI 2019

KATIKA hafla ya kilele cha Tuzo za Malkia wa Nguvu zilizoandaliwa na Clouds Media na kufanyika katika Ukumbi wa Julius...

READ MORE

Mzee Abdul: Naumwa, DIAMOND Anipe KOLABO – Video

Baada ya baba mzazi wa Diamond Platnumz, Mzee Abdul Jumaa kuachia wimbo wake mpya ambao ameshirikishwa na Sungura amefunguka kuwa...

READ MORE

ZENGWE LAIBUKA MJENGO WA MBOSSO

ZENGWE limeibuka! Siku chache baada ya msanii kutoka lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuph ‘Mbosso’ kuunadi mjengo mpya...

READ MORE

MOBETO APIGA MIL 50 KWA MWEZI

DAR ES SALAAM: MUNGU akiamua kukupa atakupa tu! Baada ya kudharauliwa mno mitandaoni, hatimaye staa ‘grade one’ ambaye pia ni...

READ MORE

PIERRE ALIVYOVUNJA REKODI YA DK. SHIKA

UNAMKUMBUKA Dkt. Louis Shika? Yule wa ‘Milioni 900 Itapendeza?’ Unakumbuka gumzo lake? Basi yeye ni cha mtoto, yupo mtu aliyevunja...

READ MORE

DAVIDO KUTUMBUIZA TAMASHA LA SUMMER JAM

MWANAMUZIKI maarufu kutoka Nigeria, Davido ametajwa kuwa miongoni mwa mastaa watakaotumbuiza kwenye Tamasha kubwa la Summer Jam lililoandaliwa na Kituo...

READ MORE

PENNY:NISIPEKUE SIMU YA MCHUMBA ? THUBUTU

MTANGAZAJI wa Kipindi cha Harusini cha Swahili Magic, Penniel Mungilwa ‘DJ Penny’ amesema kuwa ni vigumu mno kuacha kupekua simu...

READ MORE

MASTAA BONGO WALIVYOFUNIKA KWA TUZO

DAR ES SALAAM: Usiku wa kuamkia juzi Jumatatu uliweka historia nyingine baada ya mastaa wanawake Bongo kufunika kwenye tuzo zilizokwenda...

READ MORE

AUNT: JAMANI MWACHENI MWANANGU

CHONDECHONDE! Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amewaomba baadhi ya watu kuacha kumsimanga mwanaye, Cookie kuhusiana na nywele zake...

READ MORE

KISA PIERRE SHILOLE YAMKUTA

YAMEMKUTA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kujikuta akishambuliwa kwa maneno makali na wananzengo...

READ MORE

PIERRE: NIMEMSAMEHE, HUENDA ALITELEZA – VIDEO

Mchekeshaji Pierre Konki Liquid, ametembelea Bungeni jijini Dodoma baada ya kupata mwaliko kutoka kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai.  ...

READ MORE

MAMA WEMA AFUNGUKA KUMPA KIPIGO DIANA

HAKYANANI mama wa staa maarufu Bongo, Wema Sepetu, Mariam Sepetu haishiwi vioja; hivi karibuni kafanya kingine kwa kumshushia kipingo shosti...

READ MORE

MENINA AGEUKIA KWENYE FILAMU

  BAADA ya kimya kirefu kwenye anga la muziki Bongo, mwanamuziki aliyeibukia kwenye Shindano la Bongo Star Search (BSS 2012),...

READ MORE

PENNY AFUNGUKA YA KUSHANGAZA

ALIYEKUWA mtangazaji wa EFM Radio ambaye pia ni DJ, Penieli Mungilwa ‘Penny’ amefunguka ya kushangaza kuwa ni ngumu kwake kuacha...

READ MORE

BAADA YA KIFO CHA NIPSEY MAUZO YA KAZI ZAKE YAONGEZEKA

Baada Ya kifo cha rapper Nipsey Hussle Mauzo Ya kazi zake za muziki Yamezidi kuongezeka Kwenye Mitandao mbali mbali ya...

READ MORE

MONALISA: Mimi Hua Siachi Napiga Mzigo – VIDEO

USIKU wa kuamkia leo, Aprili 1, 2019 katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa (National Museum), Tuzo za AWAFFEST kwa mara...

READ MORE

ZARI AFUNGUKA DIAMOND KUMPA MAFANIKIO MAKUBWA

KUMPIGA teke chura ni kumwongezea mwendo! Hiyo ndiyo kauli inayoshabihiana na kilichotamkwa na mwanadada wa Kiganda, Zarinah Hassan ‘Zari The...

READ MORE

HII KALI! Aliyefukuzwa Shule Kisa MR BLUE Amlilia ZITTO Kabwe – Video

Kila nyuma ya historia ya mtu maarufu au mashuhuri kuna stori kitu ambacho amekipitia, kwa upande wa Mwanamuziki wa Bongo...

READ MORE

BREAKING NEWS: RAPA NIPSEY AUAWA KWA RISASI

RAPA wa Marekani, Nipsey Hussle (33) ameuawa kwa kupigwa risasi, asubuhi ya kuamkia leo, Aprili 1, 2019, jijini Los Angeles...

READ MORE

SANCHI AVUTIWA NA UHUSIANO WA MONDI NA TANASHA

MWANAMITINDO Jane Ramoy ‘Sanchi’ ameeleza kuwa anavutiwa sana na uhusiano wa kimapenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Sanchi’ na Tanasha Donna...

READ MORE

WOLPER AJUTA KUMPA PENZI HARMONIZE

AMA kweli mwanzo wa penzi ni mtamu kama asali, lakini mwisho huwa ni shubiri! Hivyo ndivyo hali ilivyo kati ya...

READ MORE

BORA MONDI WA MBAGALA KULIKO WA MADALE

WANAOUCHEZEA muziki wa Bongo Fleva hawajui historia yake na hawawafahamu waliotoka jasho na damu kuufanya ukubalike na uwe biashara.   ...

READ MORE

FLORA LAUWO ASAIDIA WABONGO, APEWA TUZO UARABUNI

UKIINGIA katika Mtandao wa Google na kuandika jina la Flora Lauwo, utapata maelezo mengi, lakini zaidi utamuona kwenye kusaidia jamii...

READ MORE

USIKU MNENE WEMA, RUBANI WANASWA HOTELINI

MAPEMA mwaka huu kuliibuka taarifa za mwanaume mmoja ambaye ni rubani wa ndege aitwaye Hamdan Za­kwani ‘Danzak’ aliyetangaza kumuoa staa...

READ MORE

NDOA YA SHAMSA KUVUNJIKA KISA MTOTO?

MWIGIZAJI bomba wa Bongo Muvi, Shamsa Ford amewajibu wanaomsema kwamba ameshindwa kumzalia mume wake, Chid Mapenzi mtoto na kwamba ndoa...

READ MORE