×

Celebrities

EXCLUSIVE: MTOTO WA MASOGANGE AFUNGUKIA KIPAJI CHAKE/AMTAJA DIAMOND

  SANIA SHABAN mtoto wa marehemu Agnes Masogange ambaye alikuwa msanii wa muziki na mwigizaji, ameweka wazi kwamba anapenda kuimba...

READ MORE

SHISHI ATOA SIRI YA KUMGEUZA UCHEBE ‘VIDEO KING’

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ametoboa siri ya kumgeuza mumewe, Ashrafu Uchebe kama ‘Video King’ kwenye...

READ MORE

ROMY AFICHUA KILICHOFANYA AMUOE KIJOLI

OFFI­CIAL DJ wa mwana­muziki Nasibu Abdul ‘Dia­mond Platnumz’, Romeo Jones ‘Romy’ ameanika kilichomfanya aingie kwenye maisha ya ndoa na mkewe wa...

READ MORE

MR. EBBO AFURAHIA MO KUPATIKANA, AHIMIZA UZALENDO

NIPO ndotoni, nasikia DJ akichanganya nyimbo mbalimbali za Bongo Fleva huku wasanii sauti nyingine zikisikika kufuatisha mashairi hayo. Kuna wakati...

READ MORE

50 CENT ANUNUA TIKETI 200 ZA SHOO YA JA RULE KUMUUMBUA

RAPA Mmarekani, 50 Cent, anaendeleza visa vyake dhidi ya wasanii wengine kwa nia ya kuwaumbua kwamba hawana umaarufu au wamefifia...

READ MORE

WEMA ‘Ahukumiwa’ JELA Miaka 2, ‘Afukuzwe’ CCM – Video

KUFUATIA kuvuja kwa video za mahaba zinazomuonesha Muigizaji maarufu Bongo, Wema Sepetu na anayedai ni mume wake mtarajiwa Patrick maarufu...

READ MORE

MKALI WENU ACHOMOA KUFANYA KAZI NA EBITOKE

MCHEKESHAJI anayesumbua katika mitandao ya kijamii, Jackson Miraji ‘Mkali Wenu’ ambaye mwanzo alikuwa katika Kundi la Timamu amechomoa kufanya kazi...

READ MORE

MUME AMUINGIZA RIYAMA KWENYE MUZIKI !

MKALI wa Filamu za Kibongo, Riyama Ally amesema amelazimika kuingia katika gemu la muziki wa Bongo Fleva baada ya mumewe,...

READ MORE

SHOO YA JIDE MLIMANI CITY HATAREE…!!!

MWANAMUZIKI nyota wa kizazi kipya nchini, Lady Jaydee,  usiku wa kuamkia leo aliangusha bonge la shoo iliyokwenda kwa jina la...

READ MORE

Tunda anasa penzi la tajiri mtoto Arusha

BAADA ya ‘kubanjuka’ kimahaba na staa wa muziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ kisha kuhamishia majeshi kwa mtangazaji Casto Dickson ‘Komando Kipensi’,...

READ MORE

UKARIBU NA WEMA, DIANA KIMARI ATOA YA MOYONI

BAADA ya kunangwa na mashabiki wengi kwenye mitandao ya kijamii kisa kuwa karibu na mrembo Wema Sepetu, msanii wa filamu...

READ MORE

Pretty Kind: Siwezi tena kwenda India kujiuza!

STAA wa Filamu za Kibongo, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ amedai kuwa amejifunza na hatarajii kurudi nchini India kujiuza kwani kwa...

READ MORE

BIFU LA MAMA MONDI, ZARI SIRI YAFICHUKA!

SIRI ya bifu la mama wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Mondi’, Sanura Kassim ‘Sandra’ na ‘mkwewe’ Zarinah Hassan...

READ MORE

Video za Ngono… Huenda Amber Rutty Akafungwa Maisha Jela

KUFUATIA video zake chafu kusambaa mitandaoni akifanya mapenzi na mwanamme kinyume cha maumbile yake, video queen maarufu Bongo, Amber Rutty...

READ MORE

KIMENUKA! BASATA: Amber Rutty ni Hayawani, Wema Mnafiki

KATIBU Mtendaji Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), Godfrey Mngereza amefunguka juu ya matukio la kusambaa ka video ya ngono ya...

READ MORE

Breaking: Serikali Yamfungia Wema Kujishusiaha na Filamu – Video

SERIKALI kupitia Bodi ya Filamu Tanzania leo, Ijumaa, Oktoba 26, 2018 imemfungia staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu na kumtaka asijihusishe...

READ MORE

YA ROMA , ULIMBOKA YAJIRUDIA KWA MO

YALIYOJIRI baada ya kutekwa, kuteswa na kureshwa uraiani kwa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ na aliyekuwa Mwenyekiti...

READ MORE

VIDEO ZA NGONO: MAKONDA AAGIZA AMBER RUTTY AJISALIMISHE POLISI HARAKA

WAKATI taharuki ikitanda na maswali magumu yakikosa majibu kuhusu nini kimewapata baadhi ya wasanii wa Bongo Movies na Bongo Fleva...

READ MORE

TIFFAH ANAVYOWAKALISHA WAZUNGU

  MTOTO wa staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Latifa Nasibu Abdul ‘Tiffah’ amevunja rekodi ya...

READ MORE

KANYE WEST AKUBALI KOLABO NA BEBE COOL

  BAADA ya kutumia fursa ya kujipendekeza, hatimaye ndoto za mwanamuziki nchini Uganda, Bebe Cool za kufanya kolabo la kimataifa...

READ MORE

DOGO JANJA , KUWA MAKINI NA SKENDO ZA MAPENZI , ZITAKUMALIZA

MIONGONI mwa mambo yaliyosumbua sana vichwa vya wapenda ubuyu Bongo, ilikuwa ni ishu ya ndoa kati ya Dogo Janja na...

READ MORE

MBASHA AMTUPIA ‘DONGO’ MC PILIPILI

BAADA ya mshereheshaji Emmanuel Mathias ‘MC Pilipili’ kujitamba mtandaoni kwa kuweka picha zake akiwa na mpenzi wake anayefahamika kwa jina...

READ MORE

ESMA ATOBOA SIRI ZA PETIT MAN

  UKITAJIWA jina la Esma Khan unaweza kusitasita kidogo na kudhani huenda nakutajia majina ya waigizaji kutoka India lakini ukweli...

READ MORE

BASATA WATOA TAMKO PICHA TATA ZA SANCHI

BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) limetoa tamko kuwa litamshug-hulikia mwanamitindo ambaye ni gumzo mtandaoni kwa kuposti picha za nusu...

READ MORE

MAMA KAWELE ASIMULIA ALIVYOZIMIA LOCATION

GRACE Mapunda siyo jina geni masikioni mwa mashabiki wa filamu za Kibongo. Mama huyu amejizolea umaarufu kutokana na uhalisia anaouonesha...

READ MORE

FEROOZ AANIKA KILICHOMFELISHA KWENYE GAME

KWA wapenda muziki mzuri wenye ujumbe bila shaka watakuwa na kumbukumbu nzuri za ‘nyimbo za taifa’ kama Bosi au Starehe?...

READ MORE

CHUCHU: NILISHTUKA KUAMBIWA RAY ANANGOMA

MSANII wa ‘long time’ kwenye ‘game’ la filamu Bongo, Chuchu Hancy amefunguka kuwa hatasahau maneno aliyokuwa akiambiwa pindi alipokuwa na...

READ MORE

MCHUMBA WA WEMA ATANGAZA NDOA

MAMBO ni moto! Baada ya maneno kibao kwenye mitandao ya kijamii kuhusu uhusiano wao, mchumba wa supastaa Wema Sepetu, Patrick...

READ MORE

Minaj Ashitakiwa Kwa Kutumia Wimbo wa Chapman Bila Kibali

RAPA Mmarekani, Nicki Minaj, amefunguliwa mashitaka na mwimbaji Tracy Chapman kwa kutumia  sehemu ya moja ya wimbo wake bila kibali....

READ MORE

KWA HAYA YAWEZEKANA KIBA ANAMCOPY DIAMOND

HAINA ubishi kwamba kwa asilimia 100 unaweza kusema kuwa Muziki wa Bongo Fleva umekuwa kwa kiasi kikubwa kutokana na kuwepo...

READ MORE

HEMED ATAJA SIRI YA KUZAA NA WANAWAKE WA KAWAIDA

STAA wa filamu Bongo, Hemed Suleiman ‘PHD’ ameeleza siri ya kuzaa na wanawake wa kawaida kwamba mastaa wengi wa kike...

READ MORE

NAI AMTOLEA POVU LYNN

MUUZA sura kwenye video Bongo, Nai Kisa ‘Nai’ ameibuka na kumtolea povu muuza sura mwenzake, Irene Hillary ‘Lynn’ kwamba hana...

READ MORE

NANDY AFUNGUKIA MADAI YA UJAUZITO

MREMBO anayefanya vizuri kunako Muziki wa Bongo Fleva, Faustine Charles ‘Nandy’ amefungukia madai ya kuwa na ujauzito wa kigogo mmoja...

READ MORE

MIMI MARS ANANGWA KURUDIA NGUO

MSANII wa Bongo Fleva, Marianne Mdee ‘Mimi Mars’ amejikuta akinangwa vilivyo na mashabiki baada ya kurudia nguo alipokuwa kwenye mahojiano...

READ MORE

NAY Afunguka Mazito Baada ya Kuitwa BASATA – Video

RAPA marufu nchini Emmanuel Elibariki ‘Nay wa mitego’ jana Oktoba 23, 2018 alifika katika ofisi za Baraza la Sanaa la...

READ MORE

WAKATI LYNN, KIM NANA WAKIPIGANA VIKUMBO, KAKA AMCHAGULIA MONDI MKE!

WAKATI warembo Irene Charles ‘Lynn’ na Lilian Paul Kessy ‘Kim Nana’ wakitajwa kumuwania staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

ACHILIA ISHU YA MO, MASTAA HAWA NAO… WALITEKWA, WAKAZUA GUMZO!

WIKI mbili zilizopita kila kona kulikuwa na sintofahamu baada ya kutokea tukio la kutekwa kwa bilionea namba moja nchini, Mohammed Dewji...

READ MORE

INDIA: Hawa Akutwa na Ugonjwa Tofauti na Alivyopimwa Dar

IKIWA ni siku chache baada ya kuwasili nchini India kwa ajili ya matibabu ya ugonjwa unaomsumbua, msanii wa Bongo Fleva,...

READ MORE

ATAKAYEMSEMA WOLPER ATAFURAHIA SHOO

MKALI wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa siku akimkamata mtu ambaye wanafahamiana vizuri akiwa anamsema kwenye Mtandao wa...

READ MORE

WINNIE HARLOW, WIZ KHALIFA SASA MTU NA MKE

MWANAMITINDO, raia wa Canada, Winnie Harlow na rapa Mmarekani,  Wiz Khalifa,  wameamua kuachia kila kitu nje wakiwaonyesha wote waaotaka kujua kwamba wao...

READ MORE