×

Celebrities

WASTARA AANZISHA ‘PROJECT’ YA AKINA MAMA NA WATOTO

 MWANAMAMA kutoka tasnia ya sinema za Kibongo, Wastara Juma ameanzisha ‘project’ mpya ya kusaidia akina mama na watoto ili kutimiza...

READ MORE

Chid Benz Aibukia kwa Diamond, Atoa Kauli Nzito Madawa ya Kulevya – Video

STAA wa Bongo Fleva ambaye amekuwa akihusishwa na matumizi ya madawa ya kulevya mara kwa mara hadi kukamatwa na polisi...

READ MORE

HURUMA ILIYOJE! DIAMOND Ampa Bajaj Mama Mlemavu – Video

MSANII Nyota wa Bongofleva Naseeb Abdul “Diamond Platnumz” ameompa zawadi ya bajaj mpya mama mwenye ulemavu wa miguu, Bi. Evodia...

READ MORE

Birthday ya DIAMOND: Nasaha Nzito ya Jacqueline Mengi Tandale – Video

ALIYEWAHI kuwa Miss Tanzania Jacqueline Mengi ametoa somo kwa kinamama wanaohitaji mitaji kibiashara kuthamini mitaji midogo ili kufikia mafanikio kibiashara....

READ MORE

NDOA YA KIM, KANYE MGUU NJE MGUU NDANI !

INAPUMULIA mashine! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kitumbua kuingia mchanga katika ndoa mwanamitindo maarufu nchini Marekani, Kim kardashian kisa kikidaiwa...

READ MORE

BEN POL: KUTOKA GIGY MONEY HADI MONALISA!

Benard Michael Paul ‘Ben pol’MWAKA 2013, taasisi ya vijana inayotambulika kama Youth For Africa (YOA) ilitoa tuzo zake kwa mara...

READ MORE

BILLNASS AFUNGUKA BIFU LAKE NA DOGO JANJA

BAADA ya kutupiana maneno ya kashfa mitandaoni na msanii mwenzake, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ ambayo yalizua gumzo kwamba wawili hao...

READ MORE

MBASHA AMFUNGUKIA WEMA SEPETU

MSANII wa Muziki wa Injili, Emmanuel Mbasha kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu ishu inayoendelea sasa hivi mitandoni kuwa nani...

READ MORE

MSANII MBARONI KWA KUTOA WIMBO WA KUMTUKANA RAIS

MAOFISA wa polisi wamemkamata mwanamuziki Moses Nsubuga maarufu kama Viboyo baada ya kutoa wimbo unaomkosoa Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta...

READ MORE

MADAM RITA: ALIPUUZWA NA KUKATISHWA TAMAA, AKAINUKA NA KUTUSUA!

KATIKA maisha hakuna mtu anayepanda bila kukanyaga ngazi. Kwa hiyo ili maisha ya binadamu yakamilike, yanatakiwa kupitia njia hizo. Unaweza...

READ MORE

AUNT AZIJIBU ‘NYODO’ ZA WEMA

DAR ES SALAAM: UKIONA watu wamevaa nguo zinazofanana, basi ujue wameshona kitambaa kimoja, wengi huita saresare; Amani lina kionjo cha...

READ MORE

ALI KIBA UNAZINGUA MZEE! USIPOBADILIKA UTAPOTEZA MASHABIKI

MWANZONI mwa wiki hii, msanii wa kitambo na mwenye heshima kubwa Bongo, Ali Kiba aliachia video mpya ya wimbo uitwao...

READ MORE

Alikiba Afunguka Sababu ya Kufuta Wimbo Wake YouTube

 STAA WA Bongo Fleva, Alikiba, ambaye siku ya jana alikumbana na lawama na kejeli za mashabiki wake mitandaoni baada ya...

READ MORE

Lil Wayne Aachia Bonge la Albamu Mpya ‘Tha Carter V’

HATIMAYE mwanamuziki Mmarekani, Lil Wayne, amezindua albam yake ya Tha Carter V  ambayo imemchukua miaka ipatayo sita kuiachia kutokana na masuala...

READ MORE

Ndoa za Mastaa Zinazoshamiri Licha ya Tofauti za Umri

1 . Sylvester Stallone na Jennifer Flavin Tofauti ya umri kati yao ni miaka 22. Wawili hawa walikutana mwaka 1988...

READ MORE

DINNO KUWAENZI WALIOFARIKI MV NYERERE JUMAMOSI HII

Msanii anayekuja kwa kasi katika gemu la muziki wa kizazi kipya Bongo, Abdallah Manyuti ‘Dinno’ anatarajiwa kuangusha shoo maalum kwa...

READ MORE

KAJALA ATEKETEZA MIL 16 MKONONI

STAA wa filamu Bongo, Kajala Masanja amenaswa akiwa ameteketeza fedha nyingi kwenye kununua saa yake ya mkononi ambayo inamchanganyiko wa...

READ MORE

Diamond Kusaidia Watoto 300, Akina Mama 200, Kutoa Pikipiki 20 Tandale

MSANII wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameamua kufanya kitu cha kipekee katika wiki ambayo anakumbuka siku yake ya kuzaliwa ‘Birthday’....

READ MORE

PICHA YA WANJARA, MWANAMKE MWENZIYE YAZUA UTATA

MREMBO aliyewahi kushikilia Taji la Miss Mara mwaka 2000, Rashida Wanjara hivi karibuni alizua gumzo la aina yake baada ya...

READ MORE

UWOYA ULITAKA NDOA MWENYEWE, TULIA SASA !

Irene Uwoya. KWAKO muigizaji wa sinema za Kibongo, Irene Uwoya. Habari za siku, mambo yanakwenda vizuri? Bila shaka u-mzima wa...

READ MORE

KUVISHWA PETE YA UCHUMBA, SIRI 3 KILIO CHA LULU ZAFICHUKA

BAADA ya wikiendi iliyopita staa ‘grade one’ wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuvishwa pete ya uchumba na bosi...

READ MORE

PRETTY ACHEKELEA PENZI LA MOBETO, DIAMOND KUVUNJIKA

SIKU chache baada ya mwanamitindo, Hamisa Mobeto kuanika ukweli kwamba penzi lake na mzazi mwenzake ambaye ni msanii wa Bongo...

READ MORE

JB AKATAA KUWA MRITHI WA MZEE MAJUTO

LICHA ya mashabiki wengi kudai kwamba anayestahili kuchukua nafasi na kuwa mrithi wa aliyekuwa staa maarufu wa vichekesho Bongo, marehemu...

READ MORE

KHADIJA YUSUF AMALIZA BIFU NA WIFI YAKE

MWANAMUZIKI anayefanya vizuri kwenye muziki wa Taarab ambaye ni dada wa mwimbaji maarufu wa muziki huo zamani kabla hajamrudia Mungu...

READ MORE

MAKONDA ALIVYOMMALIZA MOBETO KWA WEMA

AMEMMALIZA Mobeto (Hamisa)! Ndivyo walivyosikika wapenda ubuyu wa mjini waliohudhuria sherehe ya kuzaliwa ya mwigizaji Wema Isaac Sepetu na Mkuu...

READ MORE

Kwa Hili ‘TUSI’ la Zari kwa Diamond, Wamefika Pabaya

MJASIRIAMALI maarufu Afrika Mashariki na Kati, Zarina Hassan maarufu kwa jina la Zari The Bossy Lady,  ameibua maswali baada ya...

READ MORE

Mtoto wa Chameleone Yamkuta Marekani

Abba Marcus Mayanja, mtoto wa mwanamuziki maarufu wa Uganda, Joseph Chameleone Mayanja, ameumia kidole cha mguu wakati akicheza soka nchini...

READ MORE

Zari Asherehekea ‘Bethidei’ Yake Kampala

BAADA ya kupita wiki moja tangu siku ya kuzaliwa kwake (Septemba 23), Zari ‘The Bosslady’, mama watoto wa mwanamuziki wa...

READ MORE

Sakata la ‘Kufoji Umri na Paspoti Feki’, Zari Azuiliwa London

AKIWA anaelekea katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa jijini London, Zari ‘The Bosslady’, ambaye ni mama watoto wa staa wa...

READ MORE

BAADA YA KUMPA JEURI YA FEDHA KIGOGO AMMWAGA LULU DIVA

DAR ES SALAAM: MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ anadaiwa kuwa katika wakati mgumu baada ya kigogo (jina...

READ MORE

USICHOKIJUA MABAUNSA WA MASTAA WA KIKE

HILI halikuwepo huko nyuma! Kwamba umkute staa wa kike yuko na bausa, ilikuwa ni jambo adimu sana, lakini sasa hivi...

READ MORE

EXCLUSIVE: DIAMOND Amewasaini Navykenzo? – VIDEO

KUNDI la Navy Kenzo ambalo kwa sasa linafanya vizuri na wimbo wao mpya ‘Katika’ ambao wamemshirikisha Diamond Platnumz limeeleza ilivyokuwa...

READ MORE

MAJIZZO AMVALISHA LULU PETE YA UCHUMBA, NDOA IMEIVA!

MOJA ya stori zinazo-trendi kwenye social networks kwa sasa ni tukio la kihistoria la muigizaji wa filamu za Bongo Movie, Elizabeth...

READ MORE

Cristiano Ronaldo Matatani Kwa Tuhuma za Kubaka

MWANAMKE mmoja,  Kathryn Mayorga, amejitokeza na kusema mwanasoka, raia wa Ureno, Cristiano Ronaldo alimbaka mwaka 2009 katika hoteli moja jijini...

READ MORE

MTOTO WA PILI ARUDISHA NDOA YA ESHA BUHET

MWIGIZAJI wa filamu Bongo, Esha Buhet amefunguka kuwa mtoto wake wa pili aitwaye Claribel amerudisha ndoa yake iliyokuwa imeshavunjika na...

READ MORE

SABBY ANGEL APIGWA NDOA YA 5

BUYU raha yake uupate ukiwa wa moto kutoka jikoni na siyo ule uliokaa juani ambao haunogi ukiumun’gunya! Ubuyu uliopo mezani...

READ MORE

MBOSSO: Sipendi Kushindanishwa na Aslay – Video

MWANAMUZIKI kutoka Lebo ya WCB , Mbosso Kirungi amesema moja kati ya vitu ambavyo huwa hapendi kuvisikia kabisa ni pale...

READ MORE

Lynn: Sasa Nipo Tayari Kuolewa na DIAMOND – Video

Video Queen maarufu nchini Tanzania, Lynn amesema kuwa yupo tayari kuolewa na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz...

READ MORE

Hawa: Diamond Mungu Atakulipa

MSANII wa muziki ambaye aliwahi kuwa mwandani wa Mbongo- Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Hawa Mayoka ‘Hawa wa Nitarejea’ amemfungukia...

READ MORE