×

Celebrities

JB Azua Gumzo Kupukutika Mwili

MKALI wa sinema za Kibongo, Jacob Stephen ‘JB’ amezua gumzo la aina yake baada ya kutupia picha mpya mtandaoni inayomuonesha...

READ MORE

MAWIGI Awachana Wanaomshobokea Diamond

MSANII wa filamu za Kibongo, Mary Mawigi ameibuka na kuwatolea povu wanawake wanaomshobokea kimapenzi mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

READ MORE

KIONGOZI, ZANZIBAR STARS ATAABIKA NA FIGO

KIONGOZI wa Kundi la Zanzibar Stars Modern Taarab na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Utalii nchini, Rashidi Shabani maarufu...

READ MORE

Rosa Ree na Siri ya Kuzidi Kutusua

MWANADADA ambaye hivi sasa anakimbiza na wimbo wake wa Way Up, Rosary Robert ‘Rosa Ree’, ametoboa siri nyingine ya kuzidi...

READ MORE

Mchizi Mox Akataa Kuitwa Mkongwe, Awataja Wakongwe

MWANAMUZIKI Taikuni Ally ‘Mchizi Mox’ ni miongoni mwa wanamuziki wenye majina makubwa kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva hasa...

READ MORE

MFUNGO WAMBADILI SANCHI!

MFUNGO wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani umeonekana kumbadili mwanamitindo Jane Rimoy ‘Sanch’ kutoka kwenye kuvaa mavazi ya kihasarahasara ambayo amekuwa...

READ MORE

Diamond Anavyotumia Fursa kwa Wapenzi Wake

AKILI ni nywele, kila mtu ana zake! Unaweza kuitumia methali hiyo kutokana na staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu...

READ MORE

NAY AMVAA BABU TALE!

BAADA ya hivi karibuni Meneja wa Staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’; aitwaye Hamis Taletale ‘Babu Tale’...

READ MORE

Exclusive: Harmonize Kuhusu Wolper, Mwarabu Fighter – Video

EXCLUSIVE: Mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka kundi la WCB Wasafi, Harmonize, ametembelea ofisi za Global Publishers na kuzungumza na waandishi...

READ MORE

AMBER LULU: Wema Aliishi na Aslay Chumba Kimoja – Video

Msanii wa Bongo Fleva na muuza nyago kwenye video za wasanii, Amber Lulu, ametoboa siri ya Malkia wa filamu Bongo,...

READ MORE

Chemical: Nimetolewa Bikira na Wanaume Wawili

RAPA wa kike wa bongo Chemical ‘mwana wa Lubao’ amefunguka na kudai haikuwa jambo rahisi ya yeye kutolewa usichane wake na...

READ MORE

Wizkid wa Bongo Amfungukia Amber Lulu

MKALI wa Ngoma ya Ibe na Sawala, Gib Carter ‘Wizkid wa Bongo’, amefungukia muuza nyago wa kwenye video za Kibongo...

READ MORE

Young Dee, Young Killer Uso kwa Uso Idd El Fitr Dar Live

WAKALI wawili wasioshikika kunako gemu ya Muziki wa Hip Hop Bongo, Erick Msodoki ‘Young Killer’ pamoja na David Genzi ‘Young...

READ MORE

Baada ya Bongo Fleva,Belle 9 Kuimba Gospo

MKALI wa R&B pamoja na Muziki wa Bongo Fleva, Abedinego Damian ‘Belle 9’, huwezi kumtenga na wanamuziki wanaokimbilia ukongwe kwenye...

READ MORE

BAADA YA TALE KUTINGA SAUZ…90% ZARI, MOND KIMEELEWEKA

KIMEELEWEKA asilimia 90! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya meneja wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Hamis Taletale...

READ MORE

MPAKA HOME: Haya Ndo’ Maisha Halisi ya Mwinjaku – Video

GOOD NEWS: Kwa watazamaji wa Global TV na wapenzi wa kipindi cha ‘MPAKA HOME’, msimu wa kwanza wa kipindi hichi...

READ MORE

Hatimaye ‘MAHAKAMA’ Yaamua Diamond Amuoe Zari – Video

Wakati ngoma ya Mbongo Fleva, Diamond Platnumz ft Rayvanny inayoitwa Iyena ikiendelea kufanya vizuri huku ikiwa imeambatana na vituko lukuki...

READ MORE

KALA JEREMIAH AFUNGUKIA BIFU NA ROMA MKATOLIKI

MWANAMUZIKI Kala Jeremiah, ni zao la mashindano ya vipaji yaliyojinyakulia umaarufu mkubwa nchini yakijulikana kwa jina la Bongo Star Search....

READ MORE

Ukimya Ndoa ya Kajala Wavunjwa

DAR Ukimuaga mtu kwamba unasafiri kwenda Zanzibar, zawadi atakayokuagiza umletee ni ubuyu. Hii inaonesha ni jinsi gani watu wanavyoupenda ubuyu!...

READ MORE

Mama Kanumba Acharuka Harusi ya Lulu

WAKATI maandalizi ya harusi ya mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ yakiwa yamepamba moto chini ya Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ambaye...

READ MORE

Muna Afungukia Ndoa na Joel Lwanga

MWIGIZAJI wa Bongo Movu ambaye kwa sasa amezipa kisogo baada ya kuokoka, Rose Alphonce ‘Muna’ amefungukia madai ya kuwa anatoka...

READ MORE

Shamsa Awavaa Akina Aunt Ezekiel

MWANAMAMA wa Bongo Muvi, Shamsa Ford amewavaa na kuwaponda wakongwe wenzake wa tasnia hiyo kwa maelezo kwamba hawana jipya hivyo...

READ MORE

Uwoya: Siwezi Kuifuta Tatuu ya Masogange

MKALI wa sinema za Kibongo, Irene Uwoya ameeleza juu ya madai ya watu wanaosema kuwa ameifuta tatuu ya aliyekuwa video...

READ MORE

Matonya ‘NO’ Makundi ‘NO’ Mashabiki Mitandaoni

NI mshindi wa tuzo nane za Kilimanjaro, ana miliki Tuzo ya Kisima kutoka Kenya, amefanya albamu nne tangu adumu kwenye...

READ MORE

Familia ya Diamond Yawapa Tano Zari, Wema… Mama Mobeto Atokwa Povu!

FAMILIA ya Staa wa bongo fleva, Diamond Platinumz imewa imewamwagia misifa kwa kuwachambua waliowahi kuwa wapenzi wa kijana wao huyo...

READ MORE

ROSA REE AFUNGUKA MJENGO WAKE WA MILI. 400, KUMILIKI SUPERMARKET

MWANAMUZIKI wa kike anayekimbiza kwenye gemu la Muziki wa Hip Hop Bongo, Rosary Robert ‘Rosa Ree’ ambaye anapenda kujiita pia...

READ MORE

AMBER LULU, NGOMA IKIVUMA SANA UJUE INAKARIBIA KUPASUKA

UPO usemi wa wa­henga kwamba ngoma ikivuma sana, basi ujue inakaribia kupasuka! Msemo huu unaweza kuwa un­ashabihiana sana na maisha...

READ MORE

Matibabu ya Wema India, Mimba Yatajwa!

  DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya mrembo Wema Sepetu kudaiwa kuelekea nchini India kwa ajili ya matibabu, habari...

READ MORE

Siri Gari Jipya la Diamond Yafichuka

DAR ES SALAAM: Lile gari jipya la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ aina ya Land Cruiser, ambalo limedaiwa...

READ MORE

Sasha Kupiga za Nusu Utupu Tena!

LICHA ya Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza kuwafungia na kuwaita na kuwakanya wasanii ambao wamekuwa...

READ MORE

Nora Aitamani Ndoa

BAADA ya kuingia na kutoka kwenye ndoa kwa takriban mara mbili, mkongwe wa sinema za Kibongo, Nuru Nasoro ‘Norah’ amesema...

READ MORE

Mafanikio ya Keisha: Amber Lulu, Gigy, Nandy Someni Hii!

PONGEZI ziende kwa Khadija Shabani Taya ‘Keisha’, ambaye hivi karibuni alichaguliwa kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa (NEC), kwenye...

READ MORE

Chuchu Atema Nyongo Kuwa na Ray Ramadhani

MUIGIZAJI wa kitambo Bongo Muvi, Chuchu Hans amefunguka kuwa watu wanaomhukumu kuwa anakosea kuwa karibu na mzazi mwenziye ambaye ni...

READ MORE

BEKA FLAVOUR Atamani Kumfugia Mpenzi Wake Mbwa

MWANA-MUZIKI ambaye alikuwa ni memba Yamoto Band kabla ya kusambaratika, Bakari Katuti ‘Beka Flavour’ amefunguka kuwa anatamani sana hata kumfugia...

READ MORE

Madaha: Wanaume wa Bongo ni Kutiana Nuksi tu

MUIGIZAJI wa Bongo Muvi ambaye pia ni mkali wa Bongo Fleva, Baby Madaha amefunguka kuwa ukitaka kujitia nuksi utoke na...

READ MORE

Mastaa Hawa Wametoka Relini

KUTOKA relini ni moja kati ya misemo inayotumiwa sana na watoto wa ‘dijitali’ ikiwa na maana kuwa juu na ghafla...

READ MORE

Fella Amtosa Babu Tale

MLEZI wa wanamuziki na Meneja wa Msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ Said Fella, amelazimika kumtosa meneja mwenzake,...

READ MORE

Sister Fay Awaangukia Watanzania

WAKATI waumini wa Dini ya Kiislam wakiendelea na Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, msanii wa muziki na filamu Bongo,...

READ MORE

JOHARI Ampa Somo Mobeto

MKONGWE wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amempa somo mwanamitindo matata Bongo, Hamisa Mobeto ambaye ni mzazi mwenza wa...

READ MORE