×

Celebrities

Skendo ya Kutelekeza Mtoto… Mbasha Yamkuta ya Kiba!

DAR ES SALAAM: Mambo ni hivi! Achana na staa wa Bongo Fleva, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’ kuburuzwa mahakamani kwa kushindwa...

READ MORE

Zari: Kuna Maisha Baada ya Diamond

UKWELI ni kwamba kwenye mapenzi kuna maumivu ya namna tofauti. Kuna kuacha na kuachwa. Yanapotokea mambo hayo kwenye maisha yako,...

READ MORE

Asahd: Mwaka Mmoja Anaogelea Umaarufu!

USIKU wa Juni 23, 2016, akiwa ndani ya Studio za Televisheni ya Marekani ya ABC katika Kipindi cha Jimmy Kimmel...

READ MORE

Gabo; Unaweza kuvaa viatu vya Kanumba, lakini chunga!

NIMEKUKUMBUKA leo mkali wa sinema za Kibongo, Gabo Zigamba. Mambo vipi kaka? Pole na hongera kwa mihangaiko ya kila siku....

READ MORE

Mwakyembe Noma, Afukua Utajiri wa Kanumba

SIFA anazomwagiwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harrison George Mwakyembe mitaani, zinatosha kusema kuwa waziri huyo ni...

READ MORE

Zari Amtaka Diamond Kutumia Kinga!

  KUNA kumlipua mtu, lakini huku kulipua kwingine ni sawa na kurusha bomu la nyuklia kwenye nyumba ya adui yako...

READ MORE

Mbasha Amwaga Ubuyu wa Agness, Afunguka Kuoa – Video

MWIMBAJI wa Muziki wa Injili, Emmanuel Mbasha amefunguka kuhusu uhusiano wake na msanii wa Modeling ambaye pia ni video queen,...

READ MORE

Alikiba Afunguka Live Wimbo Wake Kupoteza Views YouTube – Video

STAA anayetamba na ngoma yake mpya ya Mvumo wa Radi, Alikiba amefunguka kuhusu malalamiko yake kwamba amefanyiwa mchezo mchafu na...

READ MORE

Mikataba Feki Yamwamsha Tiko Usingizini

KUFUATIA Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe kuliamsha dude la watu wanaowasainisha mikataba feki wasanii wa...

READ MORE

Misosi Afungukia Kilichompoteza

WAKATI mwanamuziki Joseph Rushahu a.k.a Bwana Misosi anafanya kolabo na wanamuziki kutoka Kenya, Redson na Chameleone wa Uganda iitwayo Heshima,...

READ MORE

Ringtone; Msanii Aliyemhonga Zari Range Akatoswa

UKIINGIA Nairobi, Kenya ukaulizia wasanii wanaoongoza kwa mkwanja ni wazi utaambiwa Akothee mwenye utajiri wa milioni 600 za Kenya (sawa...

READ MORE

EXCLUSIVE: LULU Azua Mjadala Uraiani – Video

NI baada ya kubadilishiwa kifungo na kupewa kifungo cha nje ambapo ameachiwa na kutoka gerezani Jumamosi Mei 12. Mambo mengi...

READ MORE

Mzee Abdul Ammwagia Misifa Mama Diamond

HAKUNA kitu kizuri duniani kama kujielewa kuwa umekosea na kurekebisha makosa. Pia katika maisha hakuna binadamu aliyekamilika pale linapokuja suala...

READ MORE

UTATA KESI YA KIBA

DAR ES SALAAM: Mambo ni moto! Baada ya hivi karibuni mzazi mwenzake na staa wa Bongo Fleva, Ally Salehe Kiba...

READ MORE

VIDEO YA UTUPU YAMTOA NANDY KIL0 5 YA UZITO

UKITAJA wanamuziki wanaokuja kwa kasi kwenye Bongo Fleva, huwezi kuacha kutaja jina la mwanadada Faustina Charles Mfinanga ‘Nandy’. Mrembo huyu...

READ MORE

Rayvanny Ampigia Saluti Alikiba – Video

MSANII wa Bongo Fleva kutoka WCB Wasafi, Rayvanny bila kinyongo ameonyesha kupenda kazi anayoifanya Alikiba ambaye ni hasimu wa Diamond...

READ MORE

Shamsa Kamjibu Harmonize, Mumewe Kutembea na Wolper – VIDEO

MSANII wa Filamu nchini, Shamsa Ford, amefunguka kuhusu mumewe, Chidi Mapenzi kutajwa na Harmonize kutajwa na Harmonize kwenye orodha ya...

READ MORE

MOSE IYOBO: Aunt Alinikasirisha Sana – Video

Mzazi mwenziye na Aunt Ezekiel, Mose Iyobo amezungumza na Global TV Online na kuelezea jinsi alivyopokea wazo la mpenzi wake huyo...

READ MORE

WOLPER AMKABIDHI HARMONIZE KWA MUNGU

KWELI hii inaitwa chuki nichukie, lakini moyo wangu niachie! Hivi ndivyo ilivyo sasa kati ya staa wa Bongo Muvi, Jacqueline...

READ MORE

Mwarabu Kutembea na Sarah Wake, Harmonize Kajibu – Video

MSANII wa Bongo Fleva, Harmonize amefunguka kuhusu tetesi za mpenzi wake, Sarah kutoka kimapenzi na Bodigadi wa Diamond Platinumz, Mwarabu...

READ MORE

KAJALA AFUNGUKIA MIMBA YA P FUNK

MKALI wa filamu za Kibongo ambaye ni mtangazaji wa Kipindi cha Biko, Kajala Masaja ‘Kay’ amefungukia madai ya kubeba ujauzito...

READ MORE

Kauli ya Mobeto Kuhusu Ndoa Yake na Diamond Hivi Karibuni- VIDEO

MSANII  wa filamu nchini na ambaye pia ni model, Hamisa Mobeto amefunguka baada ya kuhojiwa kuhusu tetesi za mipango ya...

READ MORE

AUNT EZEKIEL: Mimi ni Napenda Mapenzi – Video

MSANII wa filamu nchini, Aunt Ezekiel ‘Mama Cookie’ amesema katika ngoma zote za msanii wa WCB, Mbosso Khan anayoipenda zaidi...

READ MORE

DIAMOND: Mobeto Siyo Mama Yangu – Video

NADHANI unafahamu kwamba Mei 13 ya kila mwaka, Dunia nzima huadhimisha siku ya wakinamama duniani. Staa wa Filamu Bongo, Mwanamama,...

READ MORE

Jokate Alipambana na Wazazi Wake Kufikia Ndoto Zake

JULAI 29, 2013 (miaka mitano iliyopita), mwanadada mtangazaji, mjasiriamali, muigizaji, mwanamuziki na mhamasishaji Jokate Urban Mwegelo aliulizwa na mtangazaji wa...

READ MORE

FULL VIDEO: Shoo ya Mbosso, ‘The Voice of African Voice’ – VIDEO

Ni usiku wa kuamkia leo ilikuwa ni ‘The Night of African Voice’ ulioandaliwa maalum kabisa kwa ajili ya Mwanamuziki kutoka...

READ MORE

HARMONIZE; Acha ‘Drama’, Jifunze Kusimama Kiume

SIKU chache zilizopita, kilinuka kwenye mitandao ya kijamii, skendo kubwa ikiwa ni madai ya mwanadada mwenye asili ya Kizungu, Sarah...

READ MORE

Thea: Hakuna Staa Mpya wa Munitisha

MKONGWE kwenye tasnia ya filamu Bongo, Salome Urassa ‘Thea’ ambaye kwenye gemu amedumu kwa miaka 20 sasa amedai kuwa hakuna...

READ MORE

MASTAA HAWA WALIVYOTAMBA NA NEMBO ZA DINI

JUMAPILI iliyopita gumzo kubwa katika sekta ya burudani ilikuwa ndani ya Usiku wa Met Gala ambapo mastaa kibao wakiwemo Kim...

READ MORE

MWANAMUZIKI WALID ALIVYODATISHA WABONGO MASAKI DAR

MWANAMUZIKI wa Kibongo aliyekuwa akifanyia kazi ya muziki nchini Uholanzi, Walid Ali,  ambaye anabamba na vibao vya Dunia na Ni...

READ MORE

Wema abariki Diamond, Mobetto kufunga ndoa!

DAR ES SALAAM: Kwa mara ya kwanza, staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ametoa baraka zake kwa aliyekuwa mpenzi...

READ MORE

STAMINA AMSIKITISHA TUNDA BAADA YA KUOA

POPOTE watakapozungumziwa wanamuziki wakali wenye mchango mkubwa kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, bila shaka jina la Tunda Man,...

READ MORE

Kifo cha Bilal Mashauzi…Siri mastaa kumlilia yafichuka

KWA wafuatiliaji wa masuala ya burudani Bongo, jina la Bilal Mashauzi siyo geni masikioni mwao. Kwa taarifa tu ni kwamba,...

READ MORE

Nandy Afungukia kuhongwa, gari la mamilioni

SIKU chache baada ya kusambaa mitandaoni kwa picha zake zikimuonesha akiwa na gari jeusi la mamilioni aina ya Mercedes Benz...

READ MORE

ALIKIBA AJIBU TUHUMA ZA KUTELEKEZA MTOTO

STAA wa Bongo Fleva, Alikiba amefunguka na kusema kuwa amesikia na kusoma mitandaoni na kwenye magazeti kuhusu malalamiko ya mzazi...

READ MORE

EXCLUSIVE: Wema Abariki Ndoa ya Diamond na Mobeto – Video

MALKIA wa Bongo Movies, Wema Sepetu amesema kuwa mpaka sasa hana tatizo kabisa na aliyekuwa mpenzi wake, Staa wa Bongo...

READ MORE

Warembo Wazichapa LIVE Kumgombea Baba Diamond

DARESSAL AA M: Warembo wawili ambao walifahamika kwa majina ya Ashura na Zubeda, wamedaiwa kuzichapa kavukavu chanzo kikitajwa kuwa ni...

READ MORE