×

Celebrities

Mke wa P Funk: Napambana na Kajala

MKE WA prodyuza maarufu Bongo, Paul Matthysse ‘P Funk’, Samira amefunguka kuwa licha ya kukutana na mitihani mingi ndani ya...

READ MORE

Black Rhyno Afunguka Kilichompoteza

  MWAKA 2009, Wimbo wa Black Chata ulifanya poa sana ndani na nje ya Bongo kiasi cha kumtambulisha vyema kwenye...

READ MORE

Mastaa; Hili la Bakuli, ni Aibu, Tafakarini na Mchukue Hatua!

KWENU mastaa wa fani mbalimbali hapa nchini. Nawasalimu wote, kama unajijua wewe ni msanii wa fani yoyote, soma barua yangu...

READ MORE

Licha ya Sherehe Babkubwa, Kiba Azua Mjadala

HATA ujipange vipi kuandaa sherehe ya kufa mtu, lakini ukijikwaa kidogo tu, watu wanakushukia! Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ali Saleh...

READ MORE

Wosia wa Kifo Chake, Wema Kuzikwa Kikristo?

KUFUATIA wosia wa kifo chake ulioeleza namna anavyotaka mazishi yake yawe siku atakapokufa, staa mkubwa wa sinema za Kibongo, Wema...

READ MORE

Baada ya Ndoa, Mwanaheri Afunguka Kuachana na Filamu

LICHA ya madai kwamba amepigwa stop kuendelea kucheza filamu na mumewe, Khamis baada ya kuolewa hivi karibuni, mrembo wa filamu...

READ MORE

VEE MONEY Achekelea Views YouTube

MWANADADA ambaye kwa sasa anafanya vyema na album iitwayo Money Mondays, Vanessa Mdee ‘Vee Money’, hivi karibuni amechekelea views katika...

READ MORE

Wasanii Kuchangiwa Fedha za Matibabu… Mchawi ni Nani?

HAINA ubishi kwamba tasnia ya Bongo Fleva na Bongo Movies zinaongozwa kwa kupendwa nchini kuliko tasnia nyingine. Kwanza zina mashabiki...

READ MORE

KANYE WEST Amrusha Msanii Bongo

STAA wa Hip Hop kutoka Marekani, Kanye West, hivi karibuni kupitia ukurasa wake kwenye Mtandao wa Kijamii wa Twitter, aliamua...

READ MORE

Maisha ya Ndoa Yamnyoosha Belle

STAA wa Bongo Fleva, Abednego Damian ‘Belle 9’ amefunguka kuwa, baada ya kuoa maisha yamemnyoosha na amekuwa tofauti na alivyokuwa...

READ MORE

SHILOLE MJAMZITO?

STAA anayefanya vizuri kwenye miondoko ya mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefungukia madai ya yeye kuwa ni mjamzito na kusema...

READ MORE

MAMA KIKWETE: KIBA NA MKEO MSIPEKULIANE SIMU, MTAACHANA- VIDEO

MKE wa Rais wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete...

READ MORE

Alikiba Alivyombembeleza Mkewe kwa Ngoma Kali Ukumbini- Video

Bonge moja la Burudani limeangushwa katika sherehe ya harusi ya Alikiba na Abdukiba iliyofanyika katika ukumbi wa Serena Hotel Posta...

READ MORE

WEMA NAYE ATOA KALI YA KIFO CHAKE

HII ni kali! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya staa wa filamu Bongo, Wema Isac Sepetu, kutoa kali ya aina yake...

READ MORE

ALIKIBA AZINDUA RASMI KINYWAJI CHAKE MOFAYA – PICHA NA VIDEO

Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba ametumia sherehe ya harusi yake kuzindua rasmi kinywaji chake kinachofahamika kwa jina la Mofaya katika...

READ MORE

ALIKIBA NA MKEWE WALIVYOVALISHANA PETE ZA NDOA

STAA wa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ na mkewe, Amina raia wa Kenya wamevalishana pete za ndoa katika...

READ MORE

ALIKIBA NA MKEWE AMINA WALIVYOINGIA UKUMBINI -VIDEO

STAA wa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ na mkewe, Amina raia wa Kenya wameingia katika Ukumbi wa Hoteli...

READ MORE

ABDU KIBA NA MKEWE WALIVYOINGIA UKUMBINI

MKALI wa Bongo Fleva, Abdu Kiba na mkewe, Ruwayda tayari wameshaingia katika Ukumbi wa Serena Hotel uliyopo Posta jijini Dar...

READ MORE

MAMA KIKWETE, UMMY MWALIMU WATINGA HARUSI YA KIBA

MKE wa Rais wa Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amepata fursa ya...

READ MORE

Shilole Atoa Sharti Zito la Kifo Chake!

MWANAMUZIKI maarufu, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ametoa sharti zito kuwa, siku akifa hatataka mwili wake ufanyiwe mbwembwe kwenye Viwanja vya Leaders...

READ MORE

Video za Kukumbukwa za Masogange…Zipo Hapa

NENO Video Vixen lina tafsiri kubwa katika sanaa ya muziki hasa wa Hip Hop. Kwa neno jepesi, Video Vixen ni...

READ MORE

RAPA RICK ROSS ATUA NAIROBI, KUPIGA BONGE LA SHOO LEO

 RAPA Mmarekani, Rick Ross, aliwasili jana jijini Nairobi, nchini Kenya kwa ajili ya kufanya shoo ambayo itafanyika leo (Jumamosi) katika...

READ MORE

CHEKI SEND OFF YA STAMINA NA MCHUMBA WAKE – VIDEO

RAPA maarufu Bongo anayeunda Kundi la Rostam, Stamina na mchumba wake, Veronica wamefanya Send Off ya aina yake nyumbani kwao...

READ MORE

Uwoya, Dogo Janja Aikimbia Nyumba ya Masogange

STAA mkali wa filamu Bongo, Irene Uwoya na baby wake Abdul Chende ‘Dogo Janja’ wamefungukia dhamira yao ya kuihama nyumba...

READ MORE

Mama Kanumba Afunguka Kuzuiwa Kuigiza!

BAADA ya hivi karibuni staa wa filamu, Wema Sepetu kueleza maneno aliyoelezwa na aliyekuwa msanii wa filamu, marehemu Steven Kanumba...

READ MORE

VYETI VIPIMO VYA MASOGANGE VYA VUJA!

WAKATI akitimiza siku tatu kaburini, kijijini kwao, Utengule-Usongwe, Mbalizi jijini Mbeya, vipimo vya afya ya aliyekuwa video queen na msanii...

READ MORE

IMEBAINIKA! SABABU YA KIBA KUMPA DIAMOND ‘NGUMI’ HII HAPA

DAR ES SALAAM: MAMBO ni moto! Licha ya hivi karibuni staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kujishusha na kumsalimia...

READ MORE

Siri Ndoa Mfululizo Familia ya Kiba ni Hii

DAR ES SALAAM: Wengi wamekuwa wakijiuliza sababu ya watoto wa Mzee Salehe Kiba, Ali Salehe Kiba, Abdul Kiba na Zabibu...

READ MORE

Simulizi ya Millen Magese Inaumiza Usipime

SIMULIZI ya kupata mtoto ya mwanamitindo wa kimataifa, mjasiriamali na Miss Tanzania mwaka 2001, Millen Happiness Magese inasikitisha na kwake...

READ MORE

Mama za Watoto wa Alikiba Walivyolia Siku ya Ndoa

NDOA ya mwana-muziki wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ na mwanadada kutoka Mombasa nchini Kenya, Amina Khali nayo huwezi...

READ MORE

AKOTHEE, ATAMANI KUONGEZA MTOTO WA SITA

MSANII mwenye vituko kutoka nchini Kenya, Esther Akothee, kidizaini kama anatamani kuongeza mtoto wa sita baada ya kuacha meseji tata...

READ MORE

50 CENT ANASA KWA MBEBA VYUMA

BAADA ya kuishi maisha ya kibachela kwa muda mrefu, rapa mkongwe kwenye gemu la Hip Hop kutoka Marekani, Curtis Jackson...

READ MORE

Chika Ike ‘Apiga Chini’ Filamu

MKONGWE wa filamu kutoka Nollywood, Chika Ike ameamua kuachana ‘kupiga chini’ kuigiza na kujikita rasmi kwenye biashara. Chika ambaye ana...

READ MORE

KANYE WEST KUJA NA YEBOYEBO

MARA baada ya bidhaa za viatu na makoti ya manyoya ya watoto kufanya vizuri kwenye soko, rapa Kanye West ameamua...

READ MORE

Didi : Mtoto wa Koffi Anayembunia Mavazi

UKIE-NDA nchi ya Sierra Leone au Ghana ukaulizia maana ya jina la Koffi lazima utaambiwa ni Ijumaa. Katika mila nyingi...

READ MORE

Shamsa Ford Acharuka Mastaa Kuibiana Mabwana

  MSANII anayefanya vizuri Bongo Muvi, Shamsa Ford amefunguka kuwa hakuna kitu anachokiheshimu kama mwanaume wa mtu wake wa karibu...

READ MORE

Husna Maulid Afanya Manjonjo Msibani

MUUZA nyago wa video za wasanii mbalimbali za wanamuziki Bongo, Husna Maulid mwishoni mwa wiki iliyopita alitinga kivazi kilichozua mjadala...

READ MORE

P Diddy Anamkwanja Mpaka Anatamani Kujiteka

MSEMO wa mtu kuwa na mkwanja mpaka anatamani kujiteka ni maarufu kwenye mitaa ya Kibongobongo. Mtu akiwa na mkwanja utasikia...

READ MORE

Mastaa wa Kike Wafungukia Mastaa wa Kiume Kuoa Nje!

DAR ES SALAAM: Kufuatia upepo wa mastaa wa kiume Bongo, kuwa na uhusiano na hata kuoa warembo kutoka nje ya...

READ MORE

Pretty Kind: Kifo cha Masogange Kimenipa Funzo

MSANII wa muziki na filamu Bongo, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ ameibuka na kueleza kwamba kifo cha mrembo, Agness Gerald ‘Masogange’...

READ MORE