×

Celebrities

Meek Mill Aachiwa Gerezani, Atinga Kwenye Game ya Sixers vs Miami

MAHAKAMA Kuu ya Pennysylvania juzi iliamua kuachiwa kwa dhamana kwa mwanamuziki (rapa) Meek Mill. Mwanamuziki huyo ambaye jina lake halisi...

READ MORE

OLA Afunguka Kilichowapoteza Pah One

  PAH One ni kundi la Muziki wa Bongo Fleva ambalo lilijipatia jina zaidi mwishoni mwa miaka ya 2000 ambalo...

READ MORE

Miwani za Mastaa Zilizotikisa Msiba wa Masogange!

UNAPOMUONA mtu amevaa miwani, awe mwanamke au mwanaume, mtoto au mtu mzima ujue huyo ana matatizo ya macho au kavaa...

READ MORE

Siri Wema Kuutosa Msiba wa Masogange Yafichuka!

BAADA ya kuwa gumzo msibani wakati wa kuagwa kwa mwili wa aliyekuwa video queen kwenye nyimbo mbalimbali za Bongo Fleva,...

READ MORE

Young Killer Akataa Kubadilika

INGAWA rapa anayefanya poa kwenye gemu la Muziki wa Hip Hop Bongo, Erick Msodoki ‘Young Killer’, ame-kuwa akiam-biwa mara kadhaa...

READ MORE

Mastaa Jifunzeni Hili Kifo cha Masogange!

KWENU mastaa mbalimbali wa Bongo. Kwa ujumla wenu nawasalimu, uwe muigizaji, mchekeshaji, mwanamuziki au muuza sura kwenye video za wasanii...

READ MORE

MASOGANGE KAUAWA?

WAKATI mwili wa ‘Video Queen’ maarufu Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ ukitarajiwa kuzikwa jana nyumbani kwao Utengula, Mbalizi-Mbeya, utata umeibuka juu...

READ MORE

Diamond Azindua Wimbo Wake wa Kombe la Dunia Chini ya Coca Cola – VIDEO

MSANII wa bongo fleva, Diamond Platnumz amepata shavu la kusikika Katika wimbo utakaosherehesha Kombe la Dunia 2018 wimbo uitwao Colours...

READ MORE

Kwaheri Rafiki Yangu Masogange

KWELI kila nafsi itaonja mauti. Bila kujali muonekano wa mtu, cheo chake, ustaa alionao au jinsi alivyokuwa akipendwa na watu,...

READ MORE

Chegge: Sitamsahau Masogange

MKALI wa Ngoma ya Kaitaba, Said Juma ‘Chegge Chigunda’ amesema miongoni mwa vitu ambavyo hatakuja kuvisahau maishani mwake ni pamoja...

READ MORE

Aslay Atia Neno Ndoa ya Kiba

WAKATI ndoa ya staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Alikiba ‘King Kiba’ ikiwa bado haijapoa, msanii mwenzake anayebamba na ngoma...

READ MORE

WEMA ABANWA MIMBA YA DIAMOND, ALIPUKA!

UKITAJA mastaa wakubwa Bongo wenye mashabiki wengi, kamwe huwezi kuacha kutaja jina la Wema Isaac Sepetu ambaye Ijumaa Wikienda limembana...

READ MORE

Diamond, Kiba Walivyotibuana!

KUFUATIA tukio la dharura la kifo cha aliyekuwa video queen mkali Bongo, Agness Gerald Waya ‘Masogange’ aliyeagwa jana kwenye Viwanja...

READ MORE

SINGIDA UNITED FAINALI FA CUP, SASA KUSHIRIKI KIMATAIFA

KLABU ya Singida United imeungana na Mtibwa Sugar kucheza fainali ya Kombe la Shirikisho baada ya kuifunga JKT Tanzania kwa...

READ MORE

MASOGANGE AZIDI ‘KUMTESA’ RAMMY GALIS

KUFUATIA msiba wa msanii Agnes Gerald ‘Masogange’, msanii mwenzake Rammy Galis amekuwa mtu wa huzini, kulia na majonzi mazito hasa...

READ MORE

Msiba wa Masogange Wazima Ndoa ya Abdu Kiba

  MSIBA wa aliyekuwa video queen mkali Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ aliyefariki Ijumaa iliyopita, umezima tukio kubwa la kufunga ndoa...

READ MORE

SAKATA LA DIAMOND LAMUIBUA DINNO

SAKATA la msanii mkubwa wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kurekodi video chafu na kuziachia mtandaoni na kusababishia ‘msala’...

READ MORE

Mimi Mars Kumwambii Kitu kwa Kolabo

MWANADADA kiwango kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Marriane Mdee ‘Mimi Mars’, amefunguka kuwa miongoni mwa vitu anavyopenda kwenye...

READ MORE

Baada ya Kufungiwa na Kufunguliwa, Roma Anena Haya

MACHI 1, mwaka huu ni mwezi usiosahaulika katika maisha ya Ibrahim Musa ‘Roma Mkatoliki’ katika Muziki wa Hip Hop Bongo...

READ MORE

Lynn: Siolewi Bongo, Wanaume Wababaishaji

VIDEO Queen ambaye alishawahi kukwaa skendo ya kutoka kimapenzi na mwanamuziki maarufu, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Irene Hillary ‘Lynn’ amefunguka kuwa...

READ MORE

Akiwa Leba, Kucha Zataka Kumletea Balaa Maimarta

MTANGAZAJI maarufu Bongo, Maimartha Jesse amesimulia jinsi kucha zilivyotaka kumletea balaa alipokwenda kujifungua leba ambapo amewapa somo mastaa wa kike...

READ MORE

Lulu Diva Adondosha Chozi Mbele ya Madenti

MWANA-MUZIKI Lulu Abass ‘Lulu Diva’ hivi karibuni alidondosha chozi mbele ya wanafunzi wa Shule ya Lord Baden iliyopo Bunju jijini...

READ MORE

Siri 6 Kiba Kumuoa Mkenya Zaanikwa!

NYUMA ya tukio kubwa na la kihistoria kwenye ulimwengu wa burudani, lililogubikwa na kufuru ya fedha la staa wa Bongo...

READ MORE

Kajala Amng’oa Mke wa P-Funk!

  DAR ES SALAAM: Muigizaji wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amedaiwa kusababisha mke wa prodyuza mahiri Bongo, Paul Matthysse,...

READ MORE

Shilole Amlilia Masogange, Adai Juzi tu Alimpelekea Oda ya Chakula – Video

Msanii wa filamu na muziki, Shilole, amesema ilikuwa ngumu kwake kuamini kwa mara ya kwanza pale alipopokea taarifa za kifo...

READ MORE

FLAVIANA MATATA; ‘Tom Boy’ ANAYEIWAKILISHA VYEMA TANZANIA

FLAVIANA Matata ni miongoni mwa wanamitindo maarufu wa Tanzania duniani. Mwaka 2013, Jarida la Fobes la Africa liliandika kwamba ni...

READ MORE

Banana Zoro Atoboa Siri ‘Dred Rock’ za Wanaye

UKIPE-NDA unaweza kumuita ‘the lejend’, ‘best vocalist of all time’, baba Randy, baba Jermaine au baba Risherde, Ton Pow kama...

READ MORE

Vera, Bwana’ke Wachafua Mitandao

SAHAU kuhusu ule ujauzito wake feki ‘ulio-trendi’ juzikati, muuza nyago kwenye video nchini Kenya, Vera Sidika amechafua mitandao baada ya...

READ MORE

Tyga, Iggy Azalea Mahaba Mpaka Basi!

RAPA Tyga anaonekana kuanza kufurahia maisha mapya baada ya kumuopoa rapa mwenzake, Iggy Azalea ambapo mahaba yao kwa sasa unaambiwa...

READ MORE

Baba’ke Diamond Atema Cheche Kesi ya Mwanaye

WAKATI leo mwanaye ambaye ni staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ akitakiwa kuripoti kwenye Kituo Kikuu cha...

READ MORE

NDOA YA KIBA YAACHA VILIO!

DAR ES SALAAM: Wakati mkali wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘AliKiba’ akitarajiwa kuangusha bonge la sherehe baada ya kufunga...

READ MORE

Diamond; Umaarufu Umekulevya Sasa, Jitathmini Upya

KWA kila mtu anayemfahamu Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, msanii wa kizazi kipya ambaye kwa kipindi kirefu amekuwa akiipeperusha bendera ya...

READ MORE

Black Rhino ‘Kulegeza Vyuma’

IKIWA imepita zaidi ya miaka mitatu bila kusikika kwenye gemu, mkali wa michano ambaye pia ni mdogo wa mkongwe wa...

READ MORE

Ben Pol: Nimeanza na Kiss Daniel

MWANAMUZIKI Bernard Paul ‘Ben Pol’, hivi karibuni amefunguka kwamba ujio wake mpya na mwanamuziki kutoka Nigeria, Kiss Daniel unaojulikana kwa...

READ MORE

MWANAHERI AMEOLEWA NA BABU? MAJIBU YAKO HAPA!

KUTOKANA na watu mbalimbali kumshambulia kwenye mitandao ya kijamii wakisema kwamba ameolewa na mwanaume mkubwa zaidi ya baba yake mzazi...

READ MORE

Mwanasheria Dar Afungukia Hukumu ya DIAMOND, NANDY

DAR ES SALAAM: Kufuatia msala wa kusambaza video zao chafu mtandaoni unaowakabili mastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’...

READ MORE

SHUHUDIA UKUMBI WA HARUSI YA ALIKIBA NA AMINA UNAVYOWAKA

BAADA ya Staa wa Bongo Fleva, Alikiba ‘King Kiba’ kufunga ndoa na mchumba wake, Amina Khaleef Mjini Mombasa nchini Kenya...

READ MORE

REKODI 3 NDOA YA KIBA!

DAR ES SALAAM: Wakati mkali wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘AliKiba’ amefunga ndoa leo pande za Mombasa nchini Kenya,...

READ MORE

ALIKIBA AFUNGA NDOA NA MREMBO AMINA MJINI MOMBASA – VIDEO

NI FURAHA ILIYOJE! STAA wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’, amefunga ndoa na mchumba wake Amina Khalef, leo...

READ MORE

SHUGHULI YA NDOA YA ALIKIBA IMEANZA KENYA – Picha na Video

ILE siku iliyokuwa ikisubiliwa kwa hamu kushuhudia ndoa ya Staa wa Bongo Fleva, Alikiba ‘King Kiba’ hatimaye imewadia na leo...

READ MORE