×

Celebrities

Wema: Tunajivunia Kumpata RC Mwenye Akili Nyingi

QUEEN wa Bongo Movies, Wema Sepetu ambaye amerejea Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivi karibuni akitokea CHADEMA, amefunguka ya moyoni kuhusu...

READ MORE

Mzungu Kumbadili Dini Sasha

MUUZA nyago machachari Bongo, Sasha Kassim ambaye anatarajia kufunga pingu za maisha siku chache zijazo, inasemekana kuwa yupo mbioni kubadili...

READ MORE

Flora Mvungi Atiwa Mbaroni

  Majanga ya Krismasi! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia muigizaji Flora Mvungi kujikuta mikononi mwa polisi alipokuwa akisherehekea sikukuu hiyo. Mrembo...

READ MORE

Mobeto: Huyu Zari Atamuua Mama Yangu

DAR ES SALAAM: Wamefika pabaya! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia bifu kubwa kufukuta kwenye familia ya mwanamitindo, Hamisa Mobeto na mfanyabiashara,...

READ MORE

MAMA MENSEN AFIA MIKONONI MWA PAM D

MAMA mzazi wa mwanamuziki Mensen Selekta, siku ya Jumatatu, wakati watu wakisherehekea Sikukuu ya Krismasi alifariki majira ya saa kumi...

READ MORE

Banza Stone Aanika Uadui, Urafiki Wake na Chocky!

KILA nikifumba macho nawaona kwa mbali malaika wananiita. Akili inajenga picha niko kwenye jeneza tayari kwenda kuzikwa, hapohapo nakurupuka lakini...

READ MORE

Nandy ‘Amvuruga’ Naibu Spika

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson ameonyesha kuusifia wimbo wa ‘Kivuruge’ ulioimbwa na...

READ MORE

Alikiba Ashindwa Kwenda kwa Magufuli

MKALI wa Bongo Fleva, Alikiba amefunguka sababu iliyompelekea kushindwa kupiga show katika mji ambao anatokea Rais John Pombe Magufuli, Chato...

READ MORE

Young Dee Amponda Amber Lulu

MKALI wa ngoma ya KibenTen, David Genzi maarufu kwa jina la Young Dee, amemponda mpenzi wake wa zamani, Amber Lulu...

READ MORE

Nyoshi Ampotezea Patcho Mwamba

RAIS wa zamani wa Bendi ya FM Academia, Nyoshi El Saadat amempotezea mrithi wake, Patcho Mwamba kwa kusema hawezi kujibu...

READ MORE

Linah, Petit Man Live!

AMA kweli mastaa hawaishiwi vimbwanga! Hayo yalidhihirika usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita baada ya staa wa kike wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Barnaba Aamua Kuachana na Muziki

ZIKIWA zimebaki siku sita tu kabla ya kuumaliza mwaka 2017 na kuingia mwaka mpya 2018, staa wa Bongofleva mkali wa...

READ MORE

Wema: Siwezi Kuvunja Kiapo cha Kufunga Kizazi

WEMA Isaac Sepetu amefunguka kuwa, kamwe hawezi kuvunja kiapo alichoweka kuwa akitimiza umri wa miaka 30 bila kupata mtoto atafunga...

READ MORE

Uwoya Amponza Shamsa

STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford ameoga mvua ya matusi kutoka kwa baadhi ya mastaa wa Bongo Movies baada...

READ MORE

Kajala Amshinda Shetani

MKALI wa Bongo Movies mwenye figa matata, Kajala Masanja ‘Kay’ amemshinda shetani kwa kuweza kukaa mwaka mmoja bila kugusa pombe...

READ MORE

Masogange Aulaani Mwaka 2017

MUUZA nyago mwenye jina kubwa Bongo, Agness Gerald ‘Masogange; amefunguka kuwa, hakuna mwaka aliopata misukosuko kama 2017 na kujikuta akishindwa...

READ MORE

Ruby: 2018 Naanza Rasmi Kupambana!

BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, sexy lady kunako Bongo Fleva, Hellen George ‘Ruby’ amefunguka kuwa, katika mwaka ujao wa...

READ MORE

Nuh: Mume wa Shilole Hajiamini

ALIYEKUWA mpenzi wa msanii wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, amemfungukia mume wa Shilole aliyemuoa hivi karibuni,...

READ MORE

Wolper: Sijawahi Kutambulisha Mwanaume Kwetu – Video

  STAA wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper amefunguka na kusema hajawahi kumpeleka mwanaume yeyote nyumbani kwao kumtambulisha licha ya kuwa...

READ MORE

Mobetto Kwenye ‘Gal Power’ Party, Uganda – Pichaz

Usiku wa kuamkia leo mwanamitindo Hamisa Mobetto alifanya bonge la party nchini Uganda ambayo ilifahamika kama Gal Power. Shuhudia baadhi...

READ MORE

Nisha Apokonywa Mabwana Zake Wawili, Aambulia Matusi

MSANII maarufu wa Bongo Movie ambaye huitendea vyema tasnia hiyo hasa akicheza scene za komedi, Nisha ameibuka na kueleza kusikitishwa...

READ MORE

Barnaba Aajiri Bodigadi

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva nchini, Barnaba Elias, ‘Barnaba Classic’ ameamua kuajiri bodigadi wa kumlinda kwa ajili ya kujiongezea thamani. Barnaba...

READ MORE

Mashindano ya Miss Tanzania Yafutwa Rasmi

WAANDAAJI wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania, Kampuni ya Lino International Agency Limited,  wamesema  kwamba hakutakuwa na Fainali za Taifa za...

READ MORE

Shamsa Awachana Mastaa Wenzake!

  STAA wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa mastaa wengi wanachagua watu wa kuwaoa huku wengi wakiwa na...

READ MORE

Shilole: Sijaingia Kwenye Ndoa Kucheza Mduara

STAA wa miondoko ya mduara, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa, watu wasimfikirie ameamua kuingia kwenye ndoa kama maonyesho bali amedhamiria...

READ MORE

Hamisa Mobeto Alivyotinga nyumbani Kwao Zari

Mwanamitindo maarufu nchini Tanzania, Hamisa Mobeto ametinga nchini Uganda kwa mbwembwe za aina yake huku akipokelewa kwa shangwe na ndugu...

READ MORE

Vee Money Kiboko, Cheki Alichokifanya

Hatimaye yametimia! Malkia wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ ameamua kuwaonesha mashabiki wake cover ya Albamu yake mpya ambayo...

READ MORE

JB: Kanumba Alipoanza Kufanya Vizuri, Mshumaa Ukazima

MKALI wa Bongo Movie Tanzania Jocob Steven maarufu kama JB amesema kwamba marehemu Kanumba alikuwa mzuri katika kuigiza ‘Movie’  ila bado...

READ MORE

Patrick Kanumba Afungukia Penzi Lake na Jennifer Kanumba – Video

STAA kijana aliyetambulishwa rasmi kwenye ulimwengu wa filamu za Kibongo na aliyekuwa nguli wa tasnia hiyo, marehemu Steven Kanumba, Othman...

READ MORE

Wolper Atokwa Povu la Funga Mwaka Kisa Jino la Silver

MWANADADA mwenye mvuto kwenye tasnia ya Filamu za Bongo, Jacquiline Wolper amewafungukia wanaochukua picha zake na kuzi-edit huku wakimchafua kuhusu...

READ MORE

Ramsey Alivyowalipua Ray, Wema!

STAA wa sinema za Nigeria (Nollywood), Ramsey Nouah amewalipua waigizaji wa filamu za Kibongo kwa kushindwa kuendeleza sanaa hiyo kwa...

READ MORE

MAMA ASHURA: Kwani KIBA Ndiyo Nani… Asiambiwe? – (Video)

Usiku wa Desemba 15, 2017, katika ukumbi wa MLIMANI CITY, Jijini Dar es Salaam, kulifanyika uzinduzi wa filamu kubwa ya...

READ MORE

Ujio wa Ramsey Nouah; Mama Kanumba Kilio Upya!

BAADA ya staa wa Filamu za Ki-Nigeria (Nollywood), Ramsey Nouah kuzuru kaburini kwa aliyekuwa staa wa filamu za Kibongo, marehemu...

READ MORE

Kauli ya Ramsey Noah Baada ya Kufika Kaburini kwa Kanumba

NGULI wa filamu za Nigeria, Ramsey Noah amesema japokuwa miaka mingi imepita tangu kufariki dunia kwa aliyekuwa msanii mahiri wa...

READ MORE

Baada ya Kumtema Ben Pol, Ebitoke Amtambulisha Mpenzi Wake Mpya

USIKU wa Desemba 15, 2017, katika ukumbi wa MLIMANI CITY, Jijini Dar es Salaam, kumefanyika uzinduzi wa filamu kubwa ya...

READ MORE

Ferooz Aachia Ngoma Mpya – Najaribu…. Itazame Hapa

LEGENDARI wa muziki wa Bongo Fleva, Ferooz ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Najaribu’. Mkongwe huyo aliyewahi kufanya vizuri...

READ MORE

Kidoa Adaiwa Kurudia Ufuska!

MSANII wa filamu Bongo Asha Salum ‘Kidoa’ ambaye kwa kipindi kirefu alipoa kama maji ya mtungi kutokana na mwandani wake...

READ MORE

Roho Hizi Zingefurahi Kumuona Babu Seya

Desemba 9, mwaka huu, Tanzania ilikuwa iliadhimisha Kumbukumbu ya Miaka 56 ya Uhuru wake. Lakini kama kuna nyongeza ya shangwe...

READ MORE

Anapoishi Gigy Mmh!

  LICHA ya hivi karibuni kujinadi kuwa ametupia wigi la bei mbaya alilodai kulinunua kwa shilingi milioni sita, msanii wa...

READ MORE

Shamsa Amfunda Shilole Siri ya Ndoa

STAA wa Filamu nchini, Shamsa Ford amefungukia uamuzi wa msanii mwenzake wa Muziki, Zuwena Mohammed maarufu kama Shilole kwa kuamua...

READ MORE