×

Celebrities

Janjaro Akamatika Kwa Queen Linah

STAA wa Hip Hop Bongo, Abdulaziz Chande ‘Janjaro’ anafunguka kuwa, hisia za kimapenzi alizonazo kwa mpenzi wake wa sasa, Linah...

READ MORE

Tanasha Ambip Mondi

Ni kweli Mzazi mwenza wa Msanii wa Bongofleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna anamjaribu Mondi?   Ndilo swali lililoibuka...

READ MORE

Mo Dewji Ampa Shavu Mondi

Mfanyabiashara na bilionea maarufu Bongo, Mohamed Dewji amempongeza Msanii machachari wa Bongofleva, Naseeb Abdul, ‘Diamond Platnumz’ kwa kuteuliwa kuwania tuzo...

READ MORE

Wakati Kesi ya Paula Ikiwa Mbichi… Harmo Amgusa Rayvanny

WAKATI ile kesi yao ya ‘washa taa’ ikiwa bado ni mbichi, mahasimu wengine wawili kunako Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’...

READ MORE

Mondi Kama Mswati

Staa wa muziki Afrika Mashariki, Nasibu Abdul au Diamond Platnumz amewapagawisha mashabiki wake kwa kuachia video inayomuonesha akiwa studio na...

READ MORE

Umewasikia H. Mama na Mama Levo?

Msanii H.Baba anamuita mwenzake Mama Levo akimaanisha msanii mwenzake Baba Levo.   Eheee! Nadhani umeshasikia hiyo kitu na Baba Levo...

READ MORE

Lulu Amtolea Mtu Uvivu, Kisa Mimba

MWIGIZAJI wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye ameolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Radio EFM na TVE, Francis...

READ MORE

Alikiba Amjibu Mondi: Hela Haiitaji Matangazo

KWA mara ya kwanza msanii AliKiba amefunguka kuhusu jina Sadala ambapo ameeleza neno hilo ni jina tu kama majina mengine...

READ MORE

Mondi Kuwakutanisha Zari, Tanasha na Mobeto

SIMBA ameamua! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kusoma taarifa hii inayomhusu supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na...

READ MORE

Albam ya DMX Yakamilika Siku 48 Baada ya Kifo Chake

Hatimaye albamu ya Nyota wa rap, DMX aliyekuwa amepania kurejea kwa nguvu katika muziki kabla ya kifo chake kilichostua, iko...

READ MORE

Orodha ya Wasanii Waliotajwa Kuwania Tuzo za BET 2021

TUZO za BET 2021 zinazotoa heshima kwa wasanii mbalimbali Wamarekani wenye asili ya Afrika na Wamarekani wengine wenye asili za...

READ MORE

Alikiba: Nimepata Mtoto wa Kiume

Nyota wa muziki nchini, msanii AliKiba amefunguka kwa mara ya kwanza juu ya taarifa za kupata mtoto wa pili na...

READ MORE

Usher na Jenn Watarajia Mtoto

STAA wa miondoko ya muziki wa Rnb Usher Raymond  (Usher) na mpenzi wake Jenn wanatarajia kupata mtoto wao wa pili,...

READ MORE

Vee Money & Rotimi Waachia Kitabu Chao Kipya ‘Swahili 101’

  MSANII wa Bongo Fleva, @vanessamdee ‘Vee Money’ na mpenzi wake @rotimi wametayarisha kitabu chao cha Lugha ya Kiswahili na...

READ MORE

Diamond, Wizkid na Burna Boy Watajwa Kuwania Tuzo za BET

Mastaa wa Muziki Diamond Platnumz, Wizkid na Burna Boy Mei 27, 2021 wametajwa kuwania tuzo za BET katika kipengele cha...

READ MORE

Rayvanny na Paula Wadaiwa Kulala Hoteli Moja

LICHA ya kwamba wenyewe hawajathibitisha moja kwa moja, madai mazito yametua kwenye RISASI MCHANGANYIKO kuwa, staa wa Bongo Fleva, Raymond...

READ MORE

Akon Kuwainua Wasanii Wachanga Afrika

Jukwaa la kusikiliza na kupakua muziki online la Boomplay kwa kushirikiana na Hitlab wametangaza shindano la kuvumbua vipaji kidijitali kwa...

READ MORE

Akon Aibiwa Gari Sheli

  TAARIFA iliyogonga vichwa vya habari kwenye  tovuti ya habari za burudani ni kuibiwa kwa gari la star wa muziki...

READ MORE

Kasino Ya Mtandaoni Ya Meridianbet, Inakupa Fursa Ya Kutamba Na Bahati Nasibu Ya Keno!

Bahati Nasibu ya Keno Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet imekusogezea bahati nasibu kupitia mchezo wa Keno. Keno ni mchezo wa...

READ MORE

Fainali Ya Europa League Kupigwa Wiki Hii

Mwisho wa safari moja ni mwanzo wa nyingine! Huku ligi mbalimbali zikitamatika, ligi nyingine zimeanza na fainali kubwa kibao kupigwa...

READ MORE

Jafo Awapa Shavu Mastaa Hawa

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amewateua wasanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz,...

READ MORE

Lulu Adaiwa Kuwa Kuwa Mjamzito

JE, ni mwendelezo wa “kufyatua’ watoto kimyakimya kwa mastaa wa kike Bongo kama alivyoanzisha ‘shoo’ hiyo Jackline Wolper?Inawezekana!   Maana...

READ MORE

Harmo Alimasha Dude Kila Kona

MWANAMUZIKI wa Tanzania, Rajab Abdul ‘Harmonize’, ameendelea kuliamsha dude kila kona. Baada ya kuliamsha na wasanii wenzake Bongo kama Diamond...

READ MORE

Utajili wa Mondi UTATA WAIBUKA..

WAKATI jarida moja nchini Nigeria likimtaja msanii maarufu kutoka nchini Tanzania na katika Ukanda wa Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’...

READ MORE

Tanasha Naye Aliamsha

HAWAPOI, hawaboi! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia warembo waliowahi kuwa na uhusiano na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’...

READ MORE

Mfahamu Hoyce Temu

UNAAMBIWA kuwa Hoyce Temu alisoma Stashahada ya Uzamili katika Usimamizi wa Mahusiano ya Kigeni yaani Post Graduate Diploma in Management...

READ MORE

Lady Gaga: Nilibakwa na Producer Nikiwa Mdogo Nikapata Ujauzito

MWIMBAJI Lady Gaga amewasemea wasanii wa Kike ambao hukutana na changamoto kwenye kiwanda cha muziki, changamoto ambazo huwafanya kukata tamaa...

READ MORE

Wafahamu Wachezaji Wanaolipwa Mkwanja Mkubwa Zaidi Duniani

KWA kipindi kirefu cha mwaka uliopita 2020, wachezaji walio katika nafasi nzuri walitengwa, wakifanya kazi kwa mshahara wa kiwango cha...

READ MORE

Global Comedy: Shemeji Apagawa, Akubali Kaka Yake Kuwa Mume Bwege

CHEKA, Unenepe, Uvunje Mbavu, Upunguze Stress, Usahau Madeni, uongeze siku za kuishi, kupitia GLOBAL COMEDY, Raha ya maisha ni KUCHEKA....

READ MORE

Rasmi Ndoa Ya Mobeto, Fred Yanukia

KAMA utakumbuka, mapema mwanzoni mwa mwaka huu, mwanamitindo na msanii wa Bongo Fleva, Hamisa Hassan Mobeto alitangaza kwamba, mwaka huu,...

READ MORE

Dogo Janja Azindua Rasmi Album ya ‘Asante Mama’

NYOTA wa muziki wa Bongo Fleva, Abdulaaziz Chende almaarufu ‘Dogo Janja’ ameachia albamu yake iliyobeba jina la ‘Asante Mama’, ikiwa...

READ MORE

Jackline Asisitiza ‘Mzee Mengi Hakuwa Mwendawazimu’

MJANE wa Marehemu Reginald Mengi, Jackline Ntuyabaliwe ameonesha kutorodhika na uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuhusu wasimamizi wa mirathi...

READ MORE

Siri Ya Zuchu Sauzi Yafichuka

HIVI karibuni, staa mpya wa kike wa Bongo Fleva anayetumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Zuhura Othman ‘Zuchu’ alisafiri...

READ MORE

Epl, Laliga Na Bundesliga Kutamatika Wikiendi Hii

Mechi kibao za ligi mbalimbali kutamatika wikiendi hii, hatma ya timu mbalimbali kujulikana. Huku timu nyingine zikitangazwa mabingwa, nyingine zinapambana...

READ MORE

ASAP Rocky na Rihanna Wanapika na Kupakua

RAPA wa miondoko ya Hip Hop kutoka  Marekani ASAP Rocky ametangaza kwamba yupo katika mapenzi na mwanamuziki nyota wa miondoko...

READ MORE

Don Jazzy Amtetea Mondi “Tajiri Kuliko Walichosema Forbes”

CEO wa Label ya #MavinRecords Don Jazzy kutokea nchini Nigeria anaungana na Diamond Platnumz kuwalaani Forbes kwa orodha yao walioitoa...

READ MORE

Mzee Yusuph Afunguka Chanzo cha Kukamatwa na Polisi

WEEKEND iliyopita ilisambaa picha mitandaoni ikimuonesha mkali wa Taarab Mzee Yussuf amekamatwa na polisi akiwa amefungwa pingu, sasa Mzee Yussuf...

READ MORE

Ushindi Mezani Na Kasino Ya Mtandaoni Ya Meridianbet!

Mchezo wa Titan Roulette    Kama iliivyo ada, Meridianbet inakuletea michezo ya aina mbalimbali, Ofa,Odds kubwa na Bonasi kedekede. Meridianbet inakuletea...

READ MORE