×

Celebrities

Mzee Mfinanga Aibuka Akidai ni Baba Mzazi wa Nandy, Asimulia Jinsi Alivyokutana na Mama Yake Mzazi

IKIWA ni siku chache baada ya mastaa wa Bongo Fleva, Faustina Charles Mfinanga maarufu kama Nandy na William Nicolaus Lyimo...

READ MORE

Mwanamuziki Jennifer Lopez ‘J Lo’ Afunga Ndoa Tena na Staa wa Filamu Ben Affleck

Jennifer Lopez almaarufu JLO; ni staa wa filamu na muziki wa Hollywood nchini Marekani ambaye yeye na mchumba wake, Ben...

READ MORE

Rais wa Yanga Akabidhi Kadi za Uanachama kwa Wanandoa Wapya Nandy na Billnass

RAIS  wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Said jana amekabidhi kadi za uanachama kwa Wasanii Faustina Mfinanga Maarufu Nandy na...

READ MORE

Steve Nyerere Athibitisha Harusi ya Nandy na Billnass Kugharimu Bil. 5- Video

MWENYEKITI wa kamati ya harusi ya Nandy na Billnass iliyofanyika jana Julai 16, 2022, Steve Nyerere alisema kwamba harusi hiyo...

READ MORE

Nandy Amwaga Machozi Madhabahuni Akila Kiapo cha Ndoa na Billnass-Video

Msanii Faustina Mfinanga almaarufu  kama ‘Nandy’  amejikuta akitokwa na machozi ya furaha madhabahuni wakati akila kiapo cha ndoa  leo Julai...

READ MORE

Dimpoz Afukua Makaburi Kuwekewa Sumu Afe, Amtaja Mama Yake Mzazi

OMMY Dimpoz; ni staa wa muziki wa Bongo Fleva ambaye amefukua makaburi juu ya ile ishu yake ya kuwekewa sumu...

READ MORE

Kajala na Harmonize Wapania Kufanya Kufuru, Waanza na Qatar na Dubai

      MSANII wa Bongo Movies ambaye pia ni mpenzi na Meneja wa Harmonize, Kajala Masanja ameanza rasmi majukumu...

READ MORE

Live: Harusi ya Nandy na Billnass, Mbwembwe Kama Zote Wanazungumza Muda Huu-Video

WASANII Nandy na Billnass wanazungumza kuelekea harusi yao, Mwenyekiti wa Kamati ya Harusi hiyo Steve Nyerere anazungumza kwa Mbwembwe 

READ MORE

Diamond Adaiwa Kumharibu Zuchu, Azua Gumzo Nchini Afrika Kusini

ZUCHU; ni msanii wa moto ile mbaya kunako lebo kubwa kabisa kwenye ukanda wa Afrika Mashariki ya Wasafi Classic Baby...

READ MORE

Mume wa Nick Minaj Ahukumiwa Kifungo cha Nje Mwaka Mmoja na Faini Dola za Kimarekani 55,000

HATIMAYE  mume wa rappa Nicki Minaj, Kenneth Petty (44) amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu chini ya uangalizi wa mahakama pamoja...

READ MORE

Abdulrazack Adai Kwa Diva Alifuata Utamu na Sauti Yake ya Kutekenya, Agusia Ishu ya Diva Kunywa Sumu

MUME wa Msanii na Mtangazaji wa Wasafi Media Diva the Bawse Lady, anayefahamika kwa jina la Abdulrazack amesema kwa mtangazaji...

READ MORE

Harmonize: Bado Siamini Nipo na Kajala Baada ya Kumvalisha Pete ya Uchumba

  Rajabu Abdul Kahali almaarufu Harmonize; ni supastaa wa muziki nchini Tanzania ambaye anafanya vizuri zaidi kwa sasa kiasi cha...

READ MORE

Johari: Sina Muda na Ray Kwa Sasa Nipo Bize na Kampuni Yangu ya Lokoma

Blandina Chagula almaarufu Johari ; ni muigizaji wa sinema za Kibongo ambaye anasema kuwa, hana muda wa kumfikiria aliyekuwa patna...

READ MORE

Mjadala Mzito… Harmonize Anamuoa Kajala Mke Wa Mtu! Soma Hapa Muda Huu

  Mwijaku; ni mtangazaji na msemaji wa mastaa mbalimbali Bongo akiwemo Harmonize ambapo naye ameingilia mjadala mzito unaosambaa mitandaoni kuwa,...

READ MORE

Zari Kuolewa Tena Ndoa ya Tatu, Amtambulisha Mume Wake Kibenteni

Zari The Boss Lady ; ni mwanamama tajiri Afrika Mashariki na baby mama wa staa mkubwa wa muziki nchini Tanzania,...

READ MORE

Lulu Diva: Nilimpenda Zaidi Lavalava Kuliko Mavoko, Adai Hamuogopi Mtu

UNAWEZA kuwa unajiuliza mbona watu wengi hawamo kwenye uhusiano wa kimapenzi au walikata tamaa baada ya kuwa kwenye uhusiano wa...

READ MORE

Siri Yafichuka Nandy Kufunga Ndoa ya Chap kwa Haraka ‘Zimamoto’ na Billnass

  Nandy au The African Princes na Billnass au Nenga; ni wapenzi mastaa wakubwa wa muziki nchini Tanzania ambao wikiendi...

READ MORE

Diamond: Ikitokea Nimekufa Hakuna Msanii wa Kuiwakilisha Tanzania Kimataifa

MSANII wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amesema ikitokea amekufa sasa hivi, hakuna msanii mwingine wa Bongo anayeweza lkuiwakilisha Tanzania Kimataifa....

READ MORE

Kajala: Naangalia Zaidi Furaha Yangu Kuliko Kitu Chochote Msinipangie Maisha!

    Kajala Masanja au Mama Pau; ni staa mkali kwenye kiwanda cha filamu nchini Tanzania almaarufu Bongo Movies ambaye...

READ MORE

Picha Mpya za 2pac Zawa Gumzo, Mashabiki Wadai Anaweza Kuwa Hai

ALIYEKUWA rapa kutokea Marekani, 2pac Amaru Shakur aliyefariki mwaka 1996, amezua gumzo na taharuki katika mitandao mbalimbali ya kijamii baada...

READ MORE

Uwoya Atoa Ahadi ya Kugharamia Kila Kitu Harusi ya kajala na Harmonize

Muigiza wa Maarufu wa Filamu za Bongo Supastaa Irene Uwoya ametoa ahadi ya kugharamia kila kitu kwenye harusi ya Kajala...

READ MORE

Makabila Amwangukia Diamond, Ajuta Kuponzwa na Watu Wake wa Karibu

Msanii maarufu wa Singeli, Dulla Makabila ameibuka na kumwangukia miguuni Supastaa wea Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya WCB,...

READ MORE

Zari The Boss Lady Aweka Historia Kenya, Alipwa Tsh Milioni 50 Kwa Siku Tatu

Ni wakati wa kutengeneza mkwanja tu kwa mwanamama Zari The Boss Lady baada ya kulipwa kiasi cha Ksh.2.5 milioni (Tsh...

READ MORE

Zari Kanunua Nyumba?, Azindua Mjengo wa Kifahari Nchini Kenya

ZARI The Boss Lady; ni mwanamama tajiri Afrika Mashariki na Baby mama wa staa wa muziki wa Tanzania, Diamond Platnumz...

READ MORE

UEFA Nations League Kufikia Tamati Wikiendi Hii, Unamalizaje? Pata Odds Bora

Pengine unaweza kudhani mashindano ya mwaka huu ni kama yamesusiwa na wachezaji, mataifa makubwa yanaanguka viwanjani. Mkeka wako wa UEFA...

READ MORE

Irene Uwoya Afunguka Sababu ya Kutozeeka Akionekana Msichana Mrembo

  Irene Pancras Uwoya; ni staa nembo wa Bongo Movies na ni mwanamama mjasiraiamali maarufu nchini Tanzania ambaye ametoa siri...

READ MORE

Meneja Mpya wa Harmonize Kajala Adaiwa Kumuondoa Mjerumani Konde Gang

  OGOPA mno kuchanganya mapenzi na kazi! Saa kadhaa baada ya Harmonize au Konde Boy kumtangaza Kajala Masanja au Mama...

READ MORE

Wema Sepetu Afunguka Mazito Akataa Aibu, Napenda Kuigiza, Kuimba Siwezi

WEMA Isaac Sepetu; ni muigizaji mkubwa nchini Tanzania ambaye amesema kuwa hana mpango wa kujitosa kwenye muziki wa Bongo Fleva...

READ MORE

Mwan­amama Ma­riah Carey Apandishwa Kizimbani Adaiwa Kuiba Wimbo wa Andy Stone

  STAA wa wa muziki kutoka Marekani, mwan­amama Ma­riah Carey ameri­potiwa ku­fik­ishwa mahakam­ani kwa kosa la hatimiliki kupitia wimbo wake...

READ MORE

Tundu Lissu na Godbless Lema Watangaza Kurejea Nchini Muda Wowote Kufanya Kazi ya Siasa

  Makada wawili wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu na Godbless Lema wamesema wanarudi nchini Tanzania muda...

READ MORE

Mrembo Afariki Akifanyiwa Sajari ya Kuuboresha Mwili Wake Lagos, Nigeria

Crystabel; ni mrembo slay queen maarufu jijini Lagos nchini Nigeria ambaye anadaiwa kufa hospitalini alikokuwa amekwenda kufanya sajari ya kuuboresha...

READ MORE

Zuchu Apambania Kombe Kwa Diamond, Aoneshana Mahaba Mazito Bila Woga

  Zuhura Othman wengi wanamjua kama Zuchu; ni malkia mpya wa muziki nchini Tanzania ambaye ameapa kupambania kombe kwa bosi...

READ MORE

Nido Kubwa Zamponza Mrembo, Ashushwa Kwenye Ndege Canada Akitaka Kwenda Marekani

  Mary Magdalene (28); ni mrembo ambaye amekuwa gumzo duniani baada ya kudai kuponzwa na ukubwa wa matiti yake (nido)...

READ MORE

Sakata la Mume Aliyemuua Mke kwa Risasi Lawaibua Wanaharakati (Picha +Video)

  MWANAHARAKATI Joyce Kiria ambaye kwa muda mrefu amekuwa akipambana kuhusu haki za wanawake na watoto ametembelea na kufanya mahojiano...

READ MORE

Jeuri ya Zuchu Kwa Diamond Platnumz Yawekwa Wazi, Afanya Makubwa Chini ya Lebo ya WCB

  ZUCHU; ni malkia mpya wa muziki nchini Tanzania ambaye ametumia miaka miwili vizuri ndani ya muziki na kujitengezea himaya...

READ MORE

Mimi Mars: Sina Uhusiano wa Kimapenzi na Marioo, Atoa Tamko Kwa Mashabiki Wake

  MIMI Mars; ni mwimbaji wa Bongo Fleva na mwigizaji wa Bongo Movies ambaye anasema kuwa, hana mahusiano ya kimapenzi...

READ MORE

Mahakama Yamuachia Huru Mwijaku, Upande wa Mashtaka Washindwa Kuthibitisha

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru msanii wa maigizo, Mwemba Burton maarufu Mwijaku, baada ya upande wa mashtaka kushindwa...

READ MORE

Live: Mapya Yaibuka Sakata la Mume Kuua Mke, Kujiua, Sabaya Kutoka Au Kubaki Jela?

 Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi...

READ MORE

Video: Picco Kikongwe Awa Teja – ”Nilitoa Machozi Niliposikia Nimekufa” | Mapito

 KARIBU kwenye kipindi cha MAPITO, Leo tumetembelewa na Staa mkongwe Bongo PICCO KIKONGWE aliyejipatia umaarufu kwa wimbo wake wa...

READ MORE

Tunzaa Yaja na Fursa Mpya ya Kidigitali kwa Wafanyabiashara Nchini, Pakua App Yao Sasa

Wauzaji wa bidhaa wakubwa na wakati hapa nchini wametakiwa kuchangamkia fursa ya jukwaa la kidigitali linalokuwa kwa kasi na lenye...

READ MORE