×

Celebrities

NAY AFURAHIA KUITWA FREEMASON

MWANAMUZIKI mwenye sauti ya mtetemo kunako Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amesema, watu wakimuita yeye ni mfuasi wa...

READ MORE

Video Queen wa Rayvanny Anasa Mimba – Video

  MZAZI mwenza na mwanamuziki Rayvanny wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya WCB, Fayma, amefunguka kuhusu mpenzi wake huyo kutembea...

READ MORE

Gigy: Nitamtoa nywele Beyonce wa Mlela

MJINI kuna mambo! Sikia hii ya msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ambaye amesema atamnyonyoa nywele msichana aliyejipachika...

READ MORE

Mimba ya Uwoya Yapewa Jina la Upepo wa Kisulisuli

Baada ya staa wa filamu, Irene Uwoya kuweka picha kwenye ukurasa wake wa Instagram inayomuonesha tumbo lake likiwa kawaida tofauti...

READ MORE

Isha Mashauzi: Wasanii Wengi Hawaijui Thamani Yao

MKALI muziki wa Taarab Bongo, Isha Ramadhani maarufu kama Isha Mashauzi amefunguka kuwa wasanii wengi nchini hawajui thamani yao mbele...

READ MORE

Wema Idris Hapatoshi!

MAMBO ni moto! Unaambiwa huko Ista, Idris kalianzisha kwa kumsema maneno Madam Wema Sepetu sasa alichokipata ni zaidi ya matusi....

READ MORE

Chemical asisitiza kujioa mwenyewe!

RAPA matata Bongo, Claudia Lubalo ‘Chemical’ amesema kuwa ahadi yake aliyojiwekea ya kujioa ipo palepale na anaweza kujioa hata mara...

READ MORE

Nora Asimulia Alivyochoma Moto Vimini

KWELI mambo hubadilika! Umemsikia mwigizaji wa kitambo kwenye tamthiliya za Kibongo, Nuru Nassoro ‘Nora’? Nora ameliambia Amani kuwa, aliwahi kuchoma...

READ MORE

Aaunty Lulu Adai Ameacha Uwaluwalu

MWANADADA aliyewahi kuwa mwigizaji na mtangazaji kwenye vituo mbalimbali vya redio na televisheni Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amesema kama...

READ MORE

Nancy Sumari Azindua Kitabu cha ‘Haki’

MISS Tanzania mwaka 2005 na pia mjasiriamali, Nancy Sumari, leo Novemba 27, 2019, amefanya ziara ndani ya kampuni ya Global...

READ MORE

Raha Iliyoje! Wema, Wolper Sasa Kupata Watoto

HATIMAYE mchongo wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuanza kutoa huduma ya kupandikiza mimba kuanzia Januari, mwakani (2020), umeelezwa kuwa...

READ MORE

Isha Mashauzi: Jimbo Lipo Wazi, Natafuta Mchumba – Video

MWIMBAJI wa muziki wa taarabu Bongo, Isha Mashauzi, amesema anatafuta mume wa kumuoa baada ya kuachika katika ndoa yake ya...

READ MORE

Isha Mashauzi: Kipigo Kilinifanya Niombe Talaka

MWIMBAJI wa muziki wa taarabu na Bongo Fleva, Isha Mashauzi, amesema sababu zilizofanya aachane na aliyekuwa mume wake ni kutokana...

READ MORE

Mama Kanumba Achekelea Mfalme Zumaridi Kufungiwa

BAADA ya hivi karibuni Serikali kusitisha ibada katika Kanisa la Mchungaji, Diana Bundala ‘Mfalme Zumaridi’ lililopo jijini Mwanza, mama wa...

READ MORE

Lulu Ashindwa Kujizuia Kwa Kiba  

MWIGIZAJI mkali wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameshindwa kujizuia na kujikuta akipagawa na kuweka hisia zake wazi juu ya...

READ MORE

Tunda Awaka Kuitwa Chuma Ulete

VIDEO vixen asiyeishiwa habari Bongo, Tunda Sebastian amewaka ile mbaya na kuhoji kwa nini watu wanamuita chuma ulete kwani ni...

READ MORE

Jide Ataja Sababu Wakongwe Wana Majina Magumu

USIONE vyaelea ujue vimeundwa! Mkongwe kunako Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Jide’ amefunguka kuwa, wanamuziki wa zamani (wakongwe) walijipa majina magumu...

READ MORE

Dully Atoboa Siri Kutozeeka!

HUYU jamaa hapendi kuitwa msanii, bali hupendelea kuitwa mburudishaji kwani asilimia kubwa ya ngoma zake ni za kucheza na siyo...

READ MORE

UNO ya Harmonize Yarudishwa YouTube

MTAYARISHAJI wa muziki kutoka nchini Kenya, Magix Enga ameomba msamaha kwa msanii wa Bongo Fleva, Harmonize kufuatia kui-block ngoma yake...

READ MORE

40 ya Naseeb Jr… Mama D, Tanasha Watofautiana

WATOFAUTIANA! Ndivyo inavyoonekana baada ya hivi karibuni Tanasha Donna ambaye ni mzazi mwenza na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

READ MORE

Rayvanny na Fahyma Wameachana?

KUNA madai kuwa, ile ndoa ya staa wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ na mkewe Faima Msenga ‘Fahyma’ imevunjika, Risasi...

READ MORE

Wema: Wamekubali Wembamba Wangu

MKALI wa filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’, amesema miezi kadhaa nyuma watu walikuwa wakimbeza kutokana na kukondeana, lakini...

READ MORE

Hemedy Anazalisha tu Bila Ndoa!

BRAZAMENI kunako Bongo Muvi, Hemedy Suleiman ‘PHD’ amesema, hana mpango wa kufunga ndoa, badala yake ataendelea kuzalisha tu wanawake. Akizungumza...

READ MORE

Sinema ya Ebitoke na Mlela Sasa Imenoga

ILE kiki hoti a.k.a Sinema ya Annastazia Exavery ‘Ebitoke’ na Yusuph Mlela inaendelea na sasa imenoga baada ya njemba mmoja...

READ MORE

Baada ya Harmo Kusepa, Utata WCB Kulipwa Mil 500

NYUMA ya zile shilingi milioni mia tano (500) ambazo staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ alidai kuilipa lebo ya...

READ MORE

Kiki za Faragha Ziliwabeba Mastaa Hawa!

MUNGU anawaona! Ndivyo unavyoweza kuwaambia mastaa ambao kwa kipindi kirefu sasa wamekuwa wakifanya makosa ya kimaadili kisha kuomba msamaha. Hii...

READ MORE

Shilole atangaza vita na unene!

DAR: Mwanamama kutoka Bongo Flevani ambaye ni Mkurugenzi wa Mgahawa wa Shishi Food, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ametangaza vita rasmi na...

READ MORE

Aunt: Kweli Nimempa Wema Mtoto!

DAR: Kweli ushoga kazi! Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amekubali kumpa staa mwenzake, Wema Isaac Sepetu, mwanaye Cookie...

READ MORE

Ijumaa Sexiest Girl 2019… Kipyenga Kimepulizwa

BAADA ya wiki iliyopita kuanika 10 bora nyingine ya shindano bab’kubwa la kumtafuta Mrembo wa Gazeti la Ijumaa (Ijumaa Sexiest...

READ MORE

Miss Dunia Kiziwi Atikisa Bongo

IMEZOELEKA kuwa warembo wengi wanapotwaa taji la umiss hata la mkoa ni vigumu kumkuta akijichanganya kwenye daladala, bajaj au hata...

READ MORE

Shamimu Mwasha, Mumewe Warudishwa Segerea Tena – Video

UPANDE wa mashtaka umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi wa kesi inayomkabili Blogger, Shamim Mwasha (41) na mumewe,...

READ MORE

Hamis: “Sikupanga Kushiriki BSS, Nilikwenda Kutazama” – Video

KUFUATIA maoni ya wadau baada ya kijana Hamis ambaye alikuwa mshiriki wa shindano la kusaka vipaji, Bongo Star Search (BSS)...

READ MORE

Man Mo: Sikubadili Dini, Niliimba Gospel Nitoke Kisanii

KUPITIA ‘msoto’ katika muziki au fani yoyote ni jambo la kawaida, Maneno Mohamed ‘Man Mo’ ni mmoja wa wasanii wenye...

READ MORE