×

Celebrities

MAHARI YA POSHY BEI CHEE!

MREMBO mwenye umbo matata Bongo, Jacqueline Obeid ‘Poshy Queen’ amesema pindi utakapofika wakati wa kuolewa, hataki mahari kubwa ili baadaye...

READ MORE

Aunt Hataki Tena Kuisikia Ndoa!

WAKATI ikiaminika wanawake wengi huitamani ndoa kwa gharama yoyote, staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel yeye hataki kusikia tena mambo...

READ MORE

Mastaa wa ‘Majuu’ Wanavyokula Bata Bab’Kubwa Baharini

MAJIRA ya joto ndiyo kwanza yameingia katika ukanda wa majuu (ukanda wa kaskazini wa dunia) na mastaa wa sehemu hiyo...

READ MORE

Wanaume Jiandaeni Kudungwa Sindano na Dk Sasha.

Kweli ujana ni maji ya moto; unaweza ukakufanya ukadharaulika na kuonekana mtu wa hovyo lakini ukitulia na kuamua kuwa msomi...

READ MORE

Pretty Kind: Nimekoma Kupenda Wanaume wa Nje

YAMEMKUTA! Msanii wa filamu na muziki Bongo, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ ameibuka na kusema kuwa amekoma kupenda wanaume wa nje...

READ MORE

Kauli ya BASATA Kuhusu ‘Tetema’ ya Diamond Kufungiwa Kenya

BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limeshangazwa na Serikali ya Kenya kuuzuia wimbo Tetema wa msanii kutoka Tanzania, Rayvanny,  aliomshirikisha...

READ MORE

 Esma Mpenzi Wake ‘Full’ Minyoosho!

ESMA, WAKATI watu wakisema Esma haendani na mpenzi wake wa sasa hadi kufikia hatua ya kumuita kibenteni, mrembo huyo ameendelea...

READ MORE

 Lebo za Kimataifa… Kiba Anakwamwa Wapi?

MWAKA huu unaweza kuwa mwaka wa mafanikio makubwa kwa staa wa muziki kutoka Nigeria, David Adeleke ‘Davido’ baada ya kufanikiwa...

READ MORE

 Malaika aelezea ukimya wake

BAADA ya kuwa kimya kwa muda mrefu, mwanamuziki wa Kizazi Kipya, Diana Exavery ‘Malaika’ ameeleza ukimya wake umesababishwa na kujipanga...

READ MORE

Ebitoke: Mlela ‘kafa kaoza’ kwangu

CHEZEA mapenzi wewe! Mtu akipenda haoni wala haambiwi, umemsikia msanii wa vichekesho, Anna Exvery ‘Ebitoke’? Aanasema kuwa anawashangaa watu wanavyoponda...

READ MORE

 Wolper ahofia kupigwa juju

BAADA ya kuonekana akiongea bila breki, staa wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amesema siku hizi anaona mdomo wake hauna staa...

READ MORE

Goodluck Gozbert Kaacha Gospo? – Video

Wimbo mpya wa Msanii wa nyimbo za Injili Goodluck Gozbert uliotoka siku 4 zilizopita na baadhi ya watu kuupokea kwa...

READ MORE

Wakati akisubiri kujifungua..Zari ampa vitisho Tanasha

WAKATI Tanasha Donna akisubiri kujifungua mtoto wa kiume muda wowote kuanzia sasa, aliyekuwa mpenzi wa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

TETEMA ya Rayvanny na Diamond Yapigwa Marufuku

WIMBO Tetema wa msanii Raymond Mwakyusa maarufu Rayvanny aliomshirikisha Diamond Platnumz umepigwa marufuku kupigwa katika maeneo ya wazi nchini Kenya....

READ MORE

Wasanii Wanawake Walionasa Mkwanja Bab’Kubwa 2019!

JARIDA la Forbes la Marekani limetoa ya wasanii wa kike wanaoingiza pesa kubwa  zaidi kwenye muziki kwa mwaka huu, 2019....

READ MORE

Nilivyotamani Kumcharaza Bakora Verasidika

MIAKA ya nyuma kidogo nilipata kumfahamu mwanadada kutoka Kenya mwenye kalio kubwa sana na akawa analitumia kujitafutia umaarufu. Mdada huyu...

READ MORE

Chama cha Wajane Wamtembelea Jacqueline Mengi – Video

UMOJA wa Chama cha Wajane na Wagane nchini wamefunga safari mpaka nyumbani kwa mjane wa marehemu Reginald Mengi, anayefahamika kwa...

READ MORE

Uwoya, Lava Lava siyo siri tena!

PENZI jipya mjini! Staa wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya na Mbongo- Fleva kutoka Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB),...

READ MORE

Tunda akiwa penzini ni kujifungia

PENZI ni tamu kama asali! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya video queen, Tunda Sebastian kueleza kuwa akiwa katika mapenzi mazito...

READ MORE

Lynn Alipuka Kuitwa Mdangaji!

VIDEO vixien na mwanamuziki wa Bongo Fleva, Irene Louis ‘Lynn’ amelipuka vilivyo kutokana na watu kumsema kuwa anadanga. Lynn ameliambia...

READ MORE

YAMETIMIA, HARMONIZE MPYA NJE YA WASAFI USIPIME

DAR ES SALAAM: MAMBO ni moto! Hakuna siri tena juu ya tetesi zilizogeuka habari hot Bongo, juu ya staa wa...

READ MORE

Matukio 5 yaliyotikisa ‘baby shower’ ya Tanasha

PALIKUWA hapatoshi! Matukio matano yametikisa usiku wa kuamkia jana Ijumaa ndani ya Hoteli ya Best Western Coral Beach iliyopo Masaki...

READ MORE

Pretty Kind: Nguo ninazovaa ni gharama

MAMBO vipi mpenzi msomaji wa safu hii ya Mystyle, natumai unaendelea poa na shughuli za kulijenga taifa. Kama unaumwa, basi...

READ MORE

Sasha aeleza anavyosakwa alipiziwe kisasi

VIDEO queen na msanii wa filamu za Kibongo, Sasha Kassim ameibuka na kueleza jinsi anavyopitia kwenye wakati mgumu kukwepa vishawishi...

READ MORE

Ben Pol: Sishindani kula bata

  KAMA ulikuwa ukijiuliza sana juu ya bata la mkali wa miondoko ya R&B Bongo, Benard Paul ‘Ben Pol’ anashindana...

READ MORE

Lynn Aanika Ukweli Kutumia Vidonge

Baada ya watu kusema sana anameza vidonge ili awe mweupe! Hatimaye video vixen, Irene Louis ‘Lyyn’ ameanika ukweli wa madai...

READ MORE

Hii ndiyo Idadi ya wanaume wa Tanasha

DAR ES SALAAM: Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anafahamika kwa kucheza na mioyo ya watoto wa kike...

READ MORE

Mona amtahadharisha Mbasha kwa Sonia

ULE usemi usemao abiria chunga mzigo wako, umejidhihirisha wazi kwa msanii mkongwe Yvonne Cherry ‘Monalisa’ baada ya kumtaha-dharisha muimbaji wa...

READ MORE

NORA AOMBA MSAADA WA MAOMBI

MGANGA hajigangi! Licha ya kwamba kwa sasa ameishika dini vilivyo, msanii wa filamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nuru’ amewaomba watu wamuombee...

READ MORE

HARMONIZE AWEKA REKODI AFRIKA

DAR ES SALAAM: Mambo yamemyookea! Ndiyo lugha rahisi unayoweza kutumia kuwasilisha mafanikio ya haraka anayoendelea kuyapata, staa wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Tanasha ampiga bao la tatu Mobeto

DAR ES SALAAM: Amepigwa bao! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mrembo, Tanasha Donna ambaye ni mpenzi wa mwanamuziki wa Bongo...

READ MORE

WCB Yathibitisha Rasmi Kuachana na Harmonize

MENEJA wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Sallam SK amesema uongozi wa lebo hiyo umepokea barua ya aliyekuwa mmoja...

READ MORE

Kwa Ishu ya King Bae Unajitekenya na Kucheka Mwenyewe!

ZARINAH Hassan ‘The Boss Lady’ ni miongoni mwa wanamama maarufu Afrika Mashariki ambaye kwa namna moja au nyingine, umaarufu wake...

READ MORE

WEMA SEPETU BADO ANARINGIA KALIO YAKE

MREMBO wa miaka yote, Wema Sepetu amesema hata kama amepungua mwili kiasi gani lakini anajivunia kwamba bado kalio lake lipo...

READ MORE

Lulu Diva ana nguo hadi anasahau

MWANAMUZIKI Lulu Abbas ‘Lulu Dava’ ameibuka na kusema kuwa linapokuja suala la kuvaa kwake hana mchezo kwani ana chumba kizima...

READ MORE

Zari Atinga Uganda Kumtambulisha King Bae

KWA mara nyingine, mwanamama mjasiriamali Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, ameibua gumzo baada ya kutinga nchini kwao, Uganda kwa...

READ MORE