×

Championi

Wawa: Waarabu hawatutishi

BEKI kisiki wa Simba, Pascal Wawa, amesema kuwa licha ya ratiba kuwa ngumu kwao, wanaamini watakwenda kishujaa kucheza na wapinzani...

READ MORE

Zahera avunja na kuweka rekodi mpya Yanga

UKIWA ni msimu wake wa kwanza katika Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amefanikiwa kuvunja rekodi ya...

READ MORE

Chelsea yapata mtihani kwa Zidane

  CHELSEA imetakiwa kuchukua hatua za haraka ili kumwajiri Zinedine Zidane kama kocha wao. Shinikizo hilo linatokana na ukweli kuwa...

READ MORE

Matola: Tulieni niwaonyeshe namna Simba inavyofungwa

LICHA ya Simba kushinda mechi zake zote za hivi karibuni kwa kuanza na Mwandui 3-0, akafuata Mwarabu 1-0, African Lyon...

READ MORE

Kagere, Bocco wampa jeuri Mbelgiji kwa Waarabu

KASI ya safu ya ushambuliaji ya Simba, imempa jeuri Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Patrick Aussems akitamka kuwa ana...

READ MORE

Azam wapokea CV 10 za makocha kwa siku moja

MARA baada ya Azam kumvunjia mkataba kocha wake Mholanzi, Hans van Der Pluijm mapema juzi, imebainika kwamba uongozi huo tayari...

READ MORE

Mshahara wa Kichuya Kwa Waarabu Usipime

WAARABU wanapotaka mafanikio hawataki utani kwani katika usajili wao wa hivi karibuni kwa mshambuliaji Shiza Kichuya wamekubali kulipa mshahara wa...

READ MORE

Mshindi wa simu ya Championi akabidhiwa zawadi yake

MSHINDI wa shindano linaloendeshwa na gazeti nambari ‘Waheed’ kwa michezo Tanzania, Joseph Peter Mkazi wa Mbagala, kakabidhiwa kilongalonga chake cha...

READ MORE

Kipigo chainyima Yanga mamilioni

BAO la mshambuliaji wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere, limezuia shilingi milioni 20 walizoahidiwa kupewa wachezaji wa Yanga kutoka kwa mabosi...

READ MORE

Kagere, Bocco wapewa milioni 50

MNYARWANDA, Meddie Kagere na John Bocco, ni miongoni mwa wachezaji wa Simba watakaogawana kitita kinono cha shilingi milioni 50 kilichotolewa...

READ MORE

FEI TOTO: MSIKATE TAMAA, UBINGWA WETU HUU

KIUNGO mchezeshaji fundi, Feisal Salum ‘Fei Toto’, amesema kupoteza mchezo wao wa juzi ni sehemu ya matokeo huku akiahidi kuendelea...

READ MORE

YONDANI AFUNGUKA KUTOMPA MKONO AJIBU

BEKI mkongwe wa kati wa Yan­ga, Kelvin Y o n d a n i amefuta ukimya na kufungukia ishu yake...

READ MORE

Bocco, Kagere waweka rekodi Taifa

WASHAMBULIAJI Wa Simba, Meddie Kagere na John Bocco, juzi Jumamosi wamefanikiwa kuandika rekodi katika Uwanja wa Taifa baada ya kuongoza timu...

READ MORE

Kagere Afichua siri ya kuwatungua Yanga

MSHAMBULIAJI wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere, amesema kuwa amewafunga Yanga kwa kuwa anatumia akili katika kufunga mabao na siyo uzee wake...

READ MORE

Julio: Yanga Wataifunga Simba

KOCHA wa Dodoma FC ambaye ameshawahi kuichezea na kuifundisha Simba, Jamhuri Kiwhelo ‘Julio’, amefunguka kuwa Yanga wanayo nafasi kubwa ya...

READ MORE

Erasto Nyoni: Waarabu wanaacha pointi Dar

KIRAKA wa Simba, Erasto Nyoni, amefunguka kuwa ana imani kubwa kwamba watawachapa wapinzani wao Waarabu, Al Ahly na wataacha pointi...

READ MORE

Mshindi wa Championi achekelea mkwanja

MSHINDI wa shindano linaloendeshwa na gazeti namba moja la michezo Championi, Emmanuel Daud, amechekelea kupewa zawadi yake ya ushindi baada...

READ MORE

Simba nao wawatese waarabu Taifa, inawezekana

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa ngazi ya klabu, Simba kesho Jumanne watakuwa pale Uwanja wa Taifa wakitafuta pointi...

READ MORE

Simba Yashusha Kocha Mpya

SIMBA haitaki utani kwani imezidi kuliimarisha benchi lake la ufundi, sasa imeamua kumshusha Kocha Msaidizi, Etienne Ndayiragije raia wa Burundi...

READ MORE

Ajibu Auwasha Moto Yanga SC

NAHODHA wa Yanga, Ibrahim Ajibu, amewataka wapenzi na mashabiki wa timu hiyo, kutokata tamaa kutokana na matokeo mabovu waliyopata kwenye...

READ MORE

Mwanasheria Ambakisha Kakolanya Yanga

LICHA ya kuomba kuvunjiwa mkataba wake na Klabu ya Yanga, kipa Beno Kakolanya atalazimisha kusubiri baada ya mwanasheria wa klabu...

READ MORE

Msuva: Simba wakitulia, Al Ahly anakufa Taifa

WINGA wa zamani wa Yanga ambaye kwa sasa anacheza soka la kulipwa Morocco, Saimon Msuva, amewataka wachezaji na benchi la...

READ MORE

Yanga: Chekeni tu, tumewazidi pointi 22

IKICHEZA kwenye mvua na uwanja chepechepe wa Namfua mjini Singida, jana Jumatano Yanga ilipoteza pointi saba kwenye mechi yake ya...

READ MORE

Beki Simba SC, Yanga SC Achunguzwa na Fifa

  SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa), limeanza uchunguzi makini dhidi ya beki wa zamani wa Simba, George Uwino ambaye...

READ MORE

Kigogo Yanga aivaa TFF, kisa kipigo

  BAADA ya juzi Jumamosi kikosi cha Simba kukumbana na kipigo kikali kutoka kwa Al Ahly ya Misri katika mchezo...

READ MORE

Mbelgiji: Al Ahly walitumaliza dakika 45 tu

BAADA ya kupokea kichapo kikali cha mabao 5-0 wakiwa ugenini nchini Misri mbele ya Al Ahly, Kocha Mkuu wa Simba,...

READ MORE

Mzee Akilimali: Simba walienda kutalii Misri

Ibrahim Mussa na Said Ally KATIBU wa Baraza la Wazee wa Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali, amesema kuwa hakushtushwa na kipigo...

READ MORE

Kigogo Kiboko ya Waarabu Ang’atuka Simba

KiGOGO wa Simba ambaye aliwahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Kassim Dewji ambaye amewahi kuwa mbabe...

READ MORE

Zahera Aleta Bonge la Kiungo Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amefunguka kuwa ili kumfanya kiungo wake, Feisal Salum ‘Fei Toto’ awe na uwezo wa...

READ MORE

Mkude, Tshabalala watupwa nje Simba

KIUNGO mkabaji wa Simba, Jonas Mkude na beki wa pembeni wa timu hiyo, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, wameondolewa kwenye orodha ya...

READ MORE

Mbelgiji ampitisha Mnamibia Simba

KOCHA wa Simba, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji amefunguka kuwa kama akiamua kumsajili mchezaji mmoja kwa sasa ndani ya kikosi...

READ MORE

Zahera Ajipanga Kuiharibia Simba

BAADA ya hivi karibuni, Yanga kushindwa kufanya vizuri katika michuano ya SportPesa iliyofikia tamati jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini...

READ MORE

Simba Yafunguka Hatima ya Aussems

WALE mashabiki wa Simba ambao wanataka kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Patrick Aussems atimuliwe kutokana na matokeo mabaya ambayo...

READ MORE

WALIOTOROKA SIMBA WALIMWA BARUA

MAMBO ni moto ndani ya Simba! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya uongozi wa timu hiyo kuwachukulia hatua wachezaji wote...

READ MORE

PIENAAR: UKITAKA KUWA BORA LAZIMA UPAMBANE NA WALIO BORA – VIDEO

MMOJA wa wachezaji ambao wamekuwa ni nembo ya Afrika Kusini ni Steven Pienaar ambaye alicheza kwa muda mwingi katika kikosi...

READ MORE

MAJONZI! SALA ALIVYOTUMBUKIA NA NDEGE YAKE KWENYE BWAWA LA KEMIKALI!

NI majanga! Inaelezwa kuwa ndege iliyopotea na straika matata Emiliano Sala inawezekana isipatikane tena baada ya kuzama ndani ya maji...

READ MORE

Beki Mghana Azam FC ampa matumaini Pluijm

BEKI wa kati wa Azam FC, Mghana, Daniel Amoah, amerejesha matumaini kwenye kikosi cha Mholanzi, Hans van Der Pluijm kinachoshiriki...

READ MORE

Mipango ya Mbelgiji Atakavyowaingia Waarabu

KOCHA wa Simba, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji, ameweka wazi kuwa licha ya kutumia mechi za SportPesa kama sehemu ya...

READ MORE

Championi Linazidi Kumwaga Simu na Mkwanja

GAZETI la Championi limeanza kurejesha kidogo linachokipata kwa wasomaji wake, hivyo zawadi kemkemu zitamwagwa. Msomaji atakayenunua gazeti hili na mengine...

READ MORE

ADI YUSSUF, MTANZANIA ALIYEFANYA MAAJABU FA CUP ENGLAND

MICHUANO ya Kombe la FA nchini England inatarajiwa kuendelea leo Ijumaa na siku mbili za wikiendi hii, kuna vigogo wawili...

READ MORE