×

Championi

Simba Yanasa Mbinu za Mazembe Kweye Video

KOCHA wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems juzi asubuhi pale kambini Sea Scape aliwaita wachezaji wake nakwenda kwenye ukumbi maalumu na...

READ MORE

KISA MAZEMBE Mo Amficha Kiungo Mpya Dar

MFANYABIASHARA na Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji, anadaiwa kumficha kiungo mkabaji raia wa Ivory Coast, Jean Vital Ourega,...

READ MORE

Kagere aiandalia dozi nene TP Mazembe

MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere, ameandaa dozi nene kwa ajili ya wapinzani wao TP Mazembe kuhakikisha wanafanikiwa kuwafunga katika uwanja...

READ MORE

 Kisa Kindoki, nyota Alliance apewa milioni

KLAUS Kindoki, mlinda mlango wa Yanga, licha ya kuibuka shujaa kwenye mchezo wa juzi wa hatua ya robo fainali ya...

READ MORE

PSG WATUPA NDOANO KWA DE GEA

MAN United wana kazi kubwa ya kuhakikisha kuwa wanambakiza kipa wao David De Gea ambapo sasa Klabu ya Paris SaintGermain...

READ MORE

Simba Wajipanga Dhidi ya TP Mazembe

UONGOZI wa Simba umejipanga kwelikweli kuelekea mchezo na TP Mazembe lakini kwanza wanataka kuipiga Mbao Jumapili mkoani Morogoro. Simba na...

READ MORE

Tuyisenge: Simba freshi tu

UKISIKIA tu mshambuliaji Jacques Tuyisenge ameshatambulishwa Simba SC, basi jua kuwa kila timu itakayokutana na Simba itakuwa inakula si chini...

READ MORE

SOLSKJAER SASA NATAKA UBINGWA PREMIER

KOCHA Ole Gunnar Solskjaer ameahidi kupambana kwa ajili ya kurejesha sifa ya timu yake ya Manchester United katika kupigania mataji....

READ MORE

Kisa Wakongo, Simba waivaa TFF

UONGOZI wa Simba umepeleka maombi maalum kwa Bodi ya Ligi inayofanya kazi kwa karibu na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...

READ MORE

Ajibu Ajitoa Yanga, Simba Yatajwa!

LUGHA ya picha inaashiria kwamba Ibrahim Ajibu ana uwezekano mkubwa wa kucheza Simba msimu ujao na dili lake limefi kia...

READ MORE

Kotei abadili uraia, sasa anaitwa James Magufuli

KATIKA kile ambacho kilionekana kuongeza hamasa kwa Watanzania kuelekea katika mchezo wa timu ya taifa hilo, Taifa Stars dhidi ya...

READ MORE

 Bocco, Kagere Wapewa Maelekezo Maalum Lubumbashi

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, amefunguka kuwa amepanga kukaa na washambuliaji wake akiwemo Mnyarwanda, Meddie Kagere na John...

READ MORE

Simba, Ajibu Wamalizana

YANGA SC waliwafanyia umafia Simba kwa kumng’oa Ibrahim Ajibu na kwenda kumtambulisha kwa mbwembwe kisha wakampa uzi wa kijani misimu...

READ MORE

Simba sasa wagundua dawa ya ugenini

KOCHA wa timu ya Simba, Patrck Aussems amesema walikuwa tayari kukutana na timu yoyote wala walikuwa hawahofii droo ya robo...

READ MORE

Tambwe adai ubingwa bado wa Yanga

MSHAMBULIAJI mkongwe wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe, amesikitishwa na matokeo mabaya waliyoyapata dhidi ya Lipuli FC ya Iringa huku akitamba...

READ MORE

Niyonzima: Mbona mimi ni yuleyule tu

KIUNGO mchezeshaji fundi Mnyar­wanda, Haruna Niyonzima ametaja siri ya kiwango chake kikubwa alichokionye­sha kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika...

READ MORE

Mo avunja benki

WANANUKA fedha! Ndiyo utakavyoweza kusema kwa wachezaji wa Simba baada ya kupewa shilingi milioni 300 na mwekezaji wao bilionea, Mohammed...

READ MORE

CHAMA NI MTU ‘HATARI SANA’

CLATOUS Chama wa Simba ameitikisa Afrika kwa kutupia mabao ya usiku na muhimu kwa timu yake katika michuano ya Ligi...

READ MORE

Kocha AS Vita adai tatizo ni Chama, Niyonzima

KOCHA Mkuu wa AS Vita ya Congo, Florent Ibenge, amekiri kuwa wapinzani wao Simba walikuwa bora zaidi yao katika mchezo...

READ MORE

Vita wafanya mazoezi kichovu Bongo

HALI ya hewa ya joto la Dar es Salaam imeonekana kuwatesa AS Vita wanaocheza na Simba leo usiku. Juzi walisitisha...

READ MORE

Kagere Aapa Kufa na AS Vita Leo

MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere ameahidi kufa na kupona kuitungua AS Vita kwenye mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

UEFA YAFANYA MABADILIKO MECHI YA MAN U Vs BARCELONA

BAADA ya droo ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya kupangwa leo na Barcelona kupangiwa kucheza na Manchester United ikianzia...

READ MORE

Ajibu amtumia ujumbe kocha Stars

IKIWA zimebaki siku tisa kabla Taifa Stars haijacheza na Uganda kwenye mchezo wa kutafuta tiketi ya kucheza Kombe la Mataifa...

READ MORE

Beki KMC aliyeipa Yanga mabao matatu, afunguka

BEKI wa kati wa KMC, Ally Ally amefunguka kuwa haikuwa makusudi kujifunga katika mpira wa krosi uliopigwa na mshambuliaji wa...

READ MORE

Yanga Yaweka Rekodi Mpya

YANGA imeendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kuvunja rekodi yake ya mabao 44, ambayo walifunga...

READ MORE

Yanga waenda kuutema ubingwa Kirumba

YANGA wamemaliza mechi zao za Dar es Salaam na sasa wamehama makazi yao na kuelekea mkoani Mwanza katika Uwanja wa...

READ MORE

Tuishangilie Simba kwa faida ya nchi

JUMAMOSI timu ya Simba itakuwa uwanjani kuvaana na AS Vita kwenye mchezo mgumu wa kufuzu robo fainali ya Ligi ya...

READ MORE

Zahera ambadilishia majukumu Tshishimbi

KATIKA kukiimarisha kikosi chake, Kocha Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amembadilishia majukumu kiungo wake Papy Tshishimbi. Kiungo huyo alirejea...

READ MORE

Waziri atembeza bakuli Yanga, apata milioni

NAIBU Waziri, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde, ambaye ni mwanachama wa Yanga, juzi aliunga mkono kampeni...

READ MORE

Mbelgiji awaondoa hofu Simba, aahidi kipigo AS Vita

AKITUA kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jana, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems ametamba kuwa...

READ MORE

Azam FC yaingia vitani na Yanga kugombea kombe

UONGOZI wa Azam FC umeweka mikakati thabiti kuhakikisha inachukua Kombe la FA msimu huu ili kuweka rekodi ya kulichukua kwa...

READ MORE

RONALDO NI HABARI NYINGINE, AISAMBARATISHA ATLETICO KWA HAT-TRICK

DUNIA nzima inatambua ubora wa mshambuliaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo na hakuna ambaye alishangaa kwa kile alichofanya usiku wa kuamkia...

READ MORE

Simba: Tunaandika historia Taifa

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, ameweka kando kipigo walichokipata mbele ya JS Saoura kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika...

READ MORE

JOHN BOCCO: BADO TU NA NAFASI, SUBIRINI MUONE

NAHODHA na Mshambuliaji tegemeo wa Simba, John Bocco, amesema bado wana nafasi ya kufuzu hatua inayofuata ya Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Kichuya Mambo Magumu Misri

TANGU kipenzi cha mashabiki wa Simba, Shiza Kichuya atue kwenye ardhi ya Misri hajawahi kushangilia ushindi na timu yake ya...

READ MORE

Neymar Amshambulia Refa, Kisa Man United

STAA wa Paris Saint Germain, Neymar ameelezea hisia zake za kuvurugwa na kitendo cha mwamuzi wa kati baada ya kuamuru...

READ MORE

Chama: Tutawashangaza JS Saoura

KIUNGO mnyumbulifu wa Simba, Mzambia Claytous Chama ametamba kwamba licha ya ugumu wa kucheza ugenini kwenye mechi za Ligi ya...

READ MORE

Okwi hatihati kuwavaa Waarabu Jumamosi

SIMBA leo Jumanne, wanafanya safari ya kuelekea nchini Algeria kwa ajili ya mechi yao ya Ligi ya Mabingwa Afrika mbele ya...

READ MORE

Kindoki Aahidi Makubwa Yanga

BAADA ya kufanya vizuri katika mechi za Yanga za hivi karibuni, kipa wa timu hiyo, Klaus Kindoki, raia wa DR...

READ MORE

Simba Yakataa Bilioni 3 Kumuuza Kagere

HUWEZI amini ila ndivyo mambo yalivyo, unaambiwa uongozi wa Simba umekataa kitita cha dola 1,500,000 (ambazo ni zaidi ya shilingi...

READ MORE