×

Championi

Bocco ndiyo basi tena Taifa Stars

MSHAMBULIAJI wa Mtibwa Sugar, Kelvin Sabato ‘Kiduku’, amesema anauona mwisho wa straika wa Simba, John Bocco katika kikosi cha Taifa...

READ MORE

MAMA: MSUVA SIO WA MCHEZO MCHEZO

SIMON Msuva ni kiungo mshambuliaji wa Difaâ Hassani El Jadidi ya Morocco, licha ya kuwa alionekana ni mchezaji wa kawaida...

READ MORE

Uchaguzi Simba umenoga, mzigo ni Novemba 3

BAADA ya sarakasi za muda mrefu, hatimaye uongozi wa Klabu ya Simba, umetangaza tarehe rasmi ambayo timu hiyo itafanya uchaguzi...

READ MORE

Wanyarwanda Wamfungua Akili Mkongo Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amekiangalia kwa umakini kikosi chake jinsi kinavyomaliza michezo yao katika mechi tatu za mwisho...

READ MORE

Zahera azuia safari ya Yanga Kigoma

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mkongoman, Mwinyi Zahera, ameukataa mchezo wa kirafiki dhidi ya Singida United. Yanga ilitarajiwa kwenda mkoani Kigoma...

READ MORE

Mbelgiji Simba, Pluijm Wachuana Kwa Mishahara

MOJA kati ya michezo inayofuatiliwa kwa wingi zaidi dunia ni soka, hilo halina ubishi mchezo huu unapendwa sana na ndiyo...

READ MORE

Mbelgiji Afuta Mabao Ya Kagere Simba

LICHA ya straika wa Simba, Meddie Kagere kufunga mabao matatu mpaka sasa kwenye Ligi Kuu, Kocha Mkuu wa timu hiyo,...

READ MORE

Niyonzima Awa Mdogo, Aiangukia Simba SC

KIUNGO wa Simba, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima imeelezwa kuwa ameuangukia uongozi wa klabu hiyo kwa kuandika barua ya kuomba msamaha na...

READ MORE

Siri Yafichuka, Mastaa Simba Waliotemwa Stars

ZIKIWA zimepita siku mbili baada Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutangaza kuwatema wachezaji sita wa Simba waliokuwa wameitwa katika kikosi...

READ MORE

Aishi Manula Mambo Mazito Taifa Stars

  KIPA namba moja wa Simba na timu ya taifa, Taifa Stars, Aishi Manula, jana alishindwa kujumuika na kikosi cha...

READ MORE

Dalali, Akilimali Washindana Kwa Mijengo Dar

UKIZUNGUMZIA wazee maarufu katika mchezo wa soka hapa nchini, bila shaka huwezi kuacha kuwataja aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba,...

READ MORE

Yanga Wasota Airport Rwanda

YANGA wanalalamika wamesota Uwanja wa ndege wa Kigali kwa dakika 40, lakini kwa mujibu wa mchambuzi wa soka wa Rwanda,...

READ MORE

Okwi Aikosa Mbeya City Leo

MAMBO yamekwenda ndivyo sivyo kwa straika wa Simba, Emmanuel Okwi ambaye alionekana anaweza kuwa fiti kucheza leo lakini hali yake...

READ MORE

Kocha Afunguka Hatima ya Ali Kiba Coastal

KOCHA wa Coastal Union ya Tanga, Juma Mgunda, ameweka wazi kuwa nyota wake mpya, Ally Salehe Kiba ‘Ali Kiba’ ana...

READ MORE

Haruna Niyonzima: Msinifananishe Na Chama

HARUNA Niyonzima amesikia namna ambavyo mashabiki wa Simba wanavyosema kiungo mpya, Mzambia Claytous Chama ni bora zaidi yake akawajibu.  ...

READ MORE

Bocco Ataja Mabao Atakayofunga

  MSIMU uliopita mshambuliaji wa Simba, John Bocco alifunga mabao 14 kwenye Ligi Kuu Bara hivyo amesema msimu huu atapambana...

READ MORE

Manji Abadilisha Kambi Yanga

MAISHA yamebadi­lika ndani ya Yanga, ikiwa leo ni siku ya nne tu tangu Mwenyekiti Yusuf Manji arejee rasmi kwenye uongozi...

READ MORE

TFF Yamuondoa Mzambia Simba

  WAKATI leo Jumatano Simba ikianza kufungua pazia la Ligi Kuu Bara kwa kucheza na Tanzania Prisons, kikosi hicho kitamkosa...

READ MORE

Simba SC Yafunguka Manji Kurejea Yanga

SIMBA wamesisitiza kwamba hawahofii kitendo cha Yu­suf Manji kurejea Yanga kama mwenyekiti na kwamba hawezi kuathiri kwa vyovyote mipangilio yao....

READ MORE

Niyonzima Arejea Simba Kimyakimya

BAADA ya mvutano mkubwa na waajiri wake, kiungo mchezeshaji Mnyarwan­da, Haruna Niyonzima atarejea uwanjani na kuanza mazoezi ya pamoja na...

READ MORE

MKWANJA WA DE BRUYNE SI MCHEZO

  MAN­CHES­TER City im­epata tatizo kubwa kufuatia majeraha aliyopata supastaa wao fundi wa pasi za mwisho na mbunifu, Kevin De...

READ MORE

Majeraha ya Okwi Yampa Kiwewe Mbelgiji Simba

MAJERAHA aliyoyapata straika kiwembe wa Simba, Emmanuel Okwi raia wa Uganda katika mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Mtibwa,...

READ MORE

Kagere Aitisha Yanga SC

BAADA ya juzi Jumamosi Simba kutwaa Ngao ya Jamii kwa kuifunga Mtibwa Sugar mabao 2-1, mshambuliaji wa timu hiyo, Meddie...

READ MORE

DILUNGA AVUNJA UFALME WA CHAMA SIMBA SC

ACHANA na bao alilofunga, kiungo mpya wa Simba, Hassan Dilunga ni kama amevunja ufalme wa kiungo Mzambia, Clatous Chama, kwani...

READ MORE

Yanga Sc Yateketeza Sh 30m Morogoro

YANGA leo wanatarajiwa kurejea jijini Dar es Salaam wakitokea Morogoro walikoweka kambi ya wiki mbili ya kujiandaa na ligi kuu...

READ MORE

Waarabu Wa Yanga Waanza Vituko

USM Algiers ambao wanacheza na Yanga kesho saa 1 usiku kwenye mechi ya kukamilisha ratiba kwa Yanga katika michuano ya...

READ MORE

Okwi Aandaa Sapraizi Kwa Mbelgiji

MFUNGAJI bora wa msimu uliopita wa Ligi Kuu Bara, Emmanuel Okwi, ameonekana kutaka kumshangaza kocha wake mpya wa timu hiyo,...

READ MORE

Charles Mkwasa Atoka Hospitalini India

MUNGU mkubwa! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa ambaye alifanyiwa oparesheni kubwa ya...

READ MORE

Ninja: Mtamsahau Cannavaro Wenu

BEKI wa kati wa Klabu ya Yanga Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo mara baada ya kukabidhiwa...

READ MORE

Mkongo Yanga Awapania Waarabu

KOCHA mkuu wa timu ya Yanga, Mwinyi Zahera, amefunguka kuwa kwenye mchezo wao ujao wa Kombe la Shirikisho dhidi ya...

READ MORE

Dea Gea Ajiandaa Kuwa Kipa Ghali

BAADA ya kushindwa kujiunga na Real Madrid, kipa wa Manchester United, David de Gea anajiandaa kuwa kipa ghali zaidi duniani....

READ MORE

Mo Afanya Kufuru Nyingine ya Fedha Simba

SI bado unakumbuka kuwa hivi karibuni Simba ilitua kutokea Uturuki ilikokuwa imeweka kambi ya maandalizi ya msimu mpya? Sasa taarifa...

READ MORE

Makambo Apewa Jukumu Zito Yanga

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Heritier Makambo, raia wa DR Congo, amepewa jukumu zito la kuibeba timu hiyo katika mchezo wao...

READ MORE

Mbelgiji Simba: Naanza Rekodi Mbele ya Mtibwa

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, ameweka wazi kuwa, ataanza kuingia kwenye rekodi ya makocha waliopa timu hiyo mataji wakati...

READ MORE

Ajibu Kutengwa Yanga Kocha Afunguka

BAADA ya mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu kuonekana akifanyishwa mazoezi peke yake tangu ajiunge na wenzake katika kambi ya timu...

READ MORE

Ngoma Amaliza Dozi, Kuanza Tizi Gumu Leo

GOMAMSHAMBULIAJI mashine wa Azam FC, Donald Ngoma, raia wa Zimbabwe, leo Jumatatu kwa mara ya kwanza ataungana na wachezaji wenzake...

READ MORE

Duuh Coastal ya Kiba Siyo kwa Mikwara Hii Aise

UONGOZI wa Coastal Union ‘Wagosi wa Kaya’ umesema kuwa malengo yao msimu huu katika Ligi Kuu Bara ni kushinda kila...

READ MORE

Mourinho Vitani na Mabosi Wake

LICHA ya kutoweka wazi juu ya mchakato wa ndani ulivyo lakini habari ni kuwa Kocha Jose Mourinho amekasirishwa na kitendo...

READ MORE

Niyonzima Mguu Ndani, Nje Simba

UPO uwezekano mkubwa wa kiungo mchezeshaji wa Simba Mnyarwanda, Haruna Niyonzima kutimka ndani ya kikosi hicho kutokana na maelewano mabaya...

READ MORE

First Eleven Yanga Usipime

KOCHA wa Yanga,Mwinyi Zahera amewatamkia mashabiki wa klabu hiyo, habari nzuri ya kufurahisha ambayo imetokana na kazi pevu anayoifanya kambini...

READ MORE