×


Championi

Matola apandishwa ndege kusaini dili

Kocha Msaidizi,  Seleman Matola. Mohammed Mdose, Dar es Salaam ALIYEKUWA Kocha Msaidizi wa Simba ambaye hivi karibuni aliamua kukaa pembeni kuinoa timu hiyo, Seleman Matola,…

SOMA ZAIDI

No Picture

Mkwasa ashitakiwa Fifa

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa. Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MWENYEKITI wa Chama cha Wanasoka wa Algeria, Ahmed Boudry ameamua kumfungulia…

SOMA ZAIDI

Caf yazuia usajili Yanga SC

Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi. WAKATI Simba wakiendelea na usajili wa dirisha dogo la usajili msimu huu wa Ligi Kuu Bara, Yanga wenyewe wamesimamisha zoezi…

SOMA ZAIDI

Mkwasa awaomba waandishi apumzike

Kocha Kocha Mkuu, Charles Boniface Mkwasa NDOTO za watanzania kushiriki fainali za kombe la dunia mwaka 2018 nchini Urusi zilisitishwa usiku wa November 17, 2015…

SOMA ZAIDINo Picture

Chalenji yavuruga kikosi Yanga

Wilbert Molandi, Dar es Salaam IMEELEZWA kuwa michuano ya Kombe la Chalenji imezuia kambi na mechi za kirafiki za kimataifa kwa Yanga ilizopanga icheze kama…

SOMA ZAIDI

Kisa Maguri, Aveva avamiwa Dar

Rais wa timu ya Simba, Evans Aveva. Wilbert Molandi, Dar es Salaam MASHABIKI wa Simba wikiendi iliyopita walishindwa kuzizuia hasira na kuvamia Jukwaa Kuu la…

SOMA ZAIDI

Mastaa wawili wanaowindwa na Yanga…

  Wilbert Molandi,Dar es Salaam KIUNGO mshambuliaji, Farid Mussa na kiungo mkabaji, Mudathiri Yahya wanaoichezea Azam FC, wametibua dili la kutua Yanga. Nyota hao ni…

SOMA ZAIDINo Picture

Maxime aanza hesabu za ligi kuu

Mecky Maxime.   Martha Mboma, Dar es Salaam KIKOSI cha Mtibwa Sugar kimeanza mazoezi yake rasmi juzi Jumatatu ufukweni kuhakikisha kinajimarisha vyema na kuweza kupambana…

SOMA ZAIDI


Kessy aundiwa kamati

Hassan Kessy. SIMBA imeona isiwe shida kwani imeunda kamati maalum ya kushughulikia usajili wa beki wake wa kulia, Hassan Kessy kuhakikisha anabaki kikosini. Hatua hiyo…

SOMA ZAIDI


Yanga yakomaa na nyota sita tu

Wachezaji wa timu ya Yanga wakifanya mazoezi. Na Khadija Mngwai TOFAUTI na timu nyingine za Ligi Kuu Bara zilizotoa wachezaji katika timu za taifa, Yanga…

SOMA ZAIDI

Samatta hajachoka mleteeni hao Algeria

Straika wa Taifa Stars, Mbwana Samatta. Na Wilbert Molandi STRAIKA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amewatoa hofu Watanzania kwa kuwaambia hana uchovu wowote na atajituma…

SOMA ZAIDI


No Picture

Algeria wamvamia Samatta hotelini

Straika wa Taifa Stars, Mbwana Samatta. Nicodemus Jonas na Ibrahim Mussa ALGERIA wapo juu katika takwimu za ubora wa viwango vya soka lakini hiyo haimaanishi…

SOMA ZAIDIDonald Ngoma atoweka Yanga

Donald Ngoma. Martha Mboma, Dar es Salaam WAKATI kikosi cha Yanga kikianza mazoezi rasmi jana Alhamisi kikiwa na wachezaji sita, mshambuliaji wa timu hiyo, Mzimbabwe, Donald…

SOMA ZAIDITP Mazembe yawavaa Stand, yamtaka straika

Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam MAMBO yameanza kumnyookea aliyekuwa mshambuliaji wa zamani wa Simba ambaye sasa anaitumikia Stand United ya Shinyanga, Elias Maguli baada ya kuanza…

SOMA ZAIDIKapombe aweka rekodi ligi kuu

Martha Mboma, Dar es Salaam LICHA ya Ligi Kuu Bara kusimama, mpaka sasa katika orodha ya wafungaji wa ligi hiyo, Shomari Kapombe ni beki pekee ambaye…

SOMA ZAIDI

Simba: Tunawauzia Yanga Kessy

Said Ally, Dar es Salaam UONGOZI wa Klabu ya Simba umeuambia ule wa Yanga kuwa kama unataka kumsajili beki wao, Ramadhan Kessy, basi waende mezani kwa…

SOMA ZAIDIKocha mpya Simba amkataa Kerr

Hans Mloli na Sweetbert Lukonge SIMBA inashinda mechi zake za Ligi Kuu Bara, lakini uongozi hauridhishwi na uwezo wa wachezaji, hivyo imepanga kumrejesha kocha wa…

SOMA ZAIDI

Simba yampa Mavugo Sh milioni 100

Straika wa Vital’O ya Burundi, Laudit Mavugo. SIMBA haitaki mchezo kabisa katika kujenga kikosi chake, kwani imetenga kiasi cha dau la dola 50,000 ambazo ni…

SOMA ZAIDI

Kavumbagu amfuata Okwi Ulaya

Straika wake Didier Kavumbagu. AZAM FC inaendesha mambo yake kama timu za Ulaya hasa England, kwani baada ya kukataa straika wake Didier Kavumbagu kujiunga na…

SOMA ZAIDI


Chuji, Tegete wapo sokoni Mwadui

Khadija Mngwai, Dar es Salaam WACHEZAJI wa timu ya Mwadui FC ya mkoani Shinyanga, wamejikuta wakiingia sokoni kufuatia mikataba yao kumalizika mwishoni mwa msimu huu…

SOMA ZAIDIspotiXtra


Global TV Online