×

Championi

Cannavaro mmh! Azua mshangao

Beki tegemeo, Nadir Haroub ‘Cannavaro’. Suleiman Hassan, Pemba LICHA ya Kocha wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm kujaribu kumshawishi...

READ MORE

Barua jahara kwa mwamuzi Jonesia

Jonesia Rukiyaa. Kwako sister Jonesia Rukiyaa, Najua wewe ndiye umepata nafasi nyingine muhimu ya kuchezesha mechi kubwa ya watani, yaani...

READ MORE

Professor Jay: Sipendi kuitwa Mheshimiwa

Nguli wa Hip Hop nchini, Joseph Haule ‘Professor Jay’. Hans Mloli NGULI wa Hip Hop nchini, Joseph Haule ‘Professor Jay’...

READ MORE

Jenesia apewa Yanga vs Simba

Mwamuzi Jonesia Rukyaa (28)  kuwa ndiye atakayezihukumu Yanga na Simba  Mwandishi Wetu, Dar es Salaam SIMBA na Yanga, Jumamosi hii...

READ MORE

Kadi za Kiiza, Juuko zaivuruga kambi Yanga

Mchezaji wa Simba, Hamisi Kiiza. Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam TIMU za Simba na Yanga zitashuka uwanjani, Jumamosi hii kuonyeshana...

READ MORE

Pluijm agoma kumtaja Cannavaro first eleven

Kocha Mkuu wa Yanga, Mdachi, Hans van Der Pluijm. Said Ally, Dar es Salaam KOCHA Mkuu wa Yanga, Mdachi, Hans...

READ MORE

Hans Poppe alia na siku 147 za kichwa cha Ngoma

Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akisalimiana na Kocha wake. Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KAMA ulikuwa umesahau, Mwenyekiti wa Usajili...

READ MORE

Cannavaro aipa Simba siku saba

Beki wa kati wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ . Wilbert Molandi, Dar es Salaam NDIYO kwanza amerejea uwanjani akitoka kuuguza...

READ MORE

Kessy ndiye anayempa jeuri Kiiza

Beki wa Simba, Hassan Kessy. Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam STRAIKA wa Simba, Hamis Kiiza ndiye anayeongoza kwa kuzifumania nyavu...

READ MORE

Simba: Mkimkaba Kiiza, anawafunga Ajib

Ibrahim Ajib Wilbert Molandi, Dar es Salaam LEO Simba inacheza na Stand United katika Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa...

READ MORE

TFF yamwondoa rasmi Yondani mechi ya Simba

Beki wa Yanga, Kelvin Yondani.  BAADA ya Championi kuwa gazeti la kwanza kuripoti kuwa beki wa Yanga, Kelvin Yondani ataukosa...

READ MORE

Magufuli arudisha tiketi za elektroniki Taifa

Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. SERIKALI ya Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais...

READ MORE

Yanga waenda Mauritius kitajiri

Timu ya Yanga wakifanya mazoezi. Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KIKOSI cha Yanga kimeondoka alfajiri ya leo Ijumaa kuelekea nchini...

READ MORE

Ajib: Imebaki Yanga tu! Tunaisubiri

Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajib. Ibrahim Mussa, Dar es Salaam WAKATI Simba ikitarajiwa kukipiga na Stand United kesho Jumamosi mkoani...

READ MORE

Simba yampandisha ndege… Kamusoko

Wilbert Molandi, Dar es Salaam IMEELEZWA kuwa kama siyo mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga, basi kiungo Mzimbabwe,...

READ MORE

Shaa kumbe kama Beyonce tu

Shaa Omary Mdose, Dar es Salaam MWANADADA Sarah Kaisi ‘Shaa’ anayefanya muziki wa Bongo Fleva, ameibuka na kusema haoni kitu...

READ MORE

Chupa ya… Bella, Joh Makini yakamilika

Christian Bella Hans Mloli,Dar es Salaam Ngoma ya Nagharamia ya Christian Bella aliyomshirikisha Ali Kiba ikiendelea kutamba mjini, msanii huyo ameamua...

READ MORE

Wikiendi ya vita Ligi Daraja la Kwanza

Omary Mdose, Dar es Salaam WIKIENDI hii msimu wa Ligi Daraja la Kwanza 2015/16, unatarajiwa kuhitimishwa kwa kuchezwa mechi 12 katika...

READ MORE

Ajib aingilia vita ya Tambwe, Kiiza

Khadija Mngwai,na Said Ally MSHAMBULIAJI wa Simba, Ibrahim Ajib amemtangazia vita straika wa Yanga, Amissi Tambwe, kwa kusema atahakikisha anamsaidia...

READ MORE

Mayanja afungukia pointi 12 za ubingwa Simba

Kocha wa Simba, Jackson Mayanja. Wilbert Molandi na Khadija Mngwai KOCHA wa Simba, Jackson Mayanja amesema kuwa anakuja na sera...

READ MORE

Kocha wa Oman atua Simba

Nicodemus Jonas, Dar es Salaam WAKATI ikiendeleza kutoa vipigo uwanjani, nje ya hapo uongozi wa juu nao umeamua kuboresha benchi...

READ MORE

Messi: Kukaa benchi Azam kumenifunza

Ibrahim Mussa, Dar es Salaam KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Ramadhan Singano ‘Messi’ amesema kutokana na kukosa nafasi ya kudumu...

READ MORE

Mastaa hawa safari imewakuta

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam SIMBA imeamka chini ya Kocha Jackson Mayanja na kufanikiwa kushinda mechi tano mfululizo za Ligi Kuu...

READ MORE

Pluijm awapa kazi maalum Tambwe, Ngoma

Said Ally, Dar es Salaam KOCHA Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm, amewapa kazi maalum wachezaji wa kikosi hicho...

READ MORE

Ajib, Kiiza wafuata nyayo za Ngoma

Hans Mloli, Dar es Salaam SIMBA inaendeleza vipigo katika Ligi Kuu Bara na imani sasa imerejea kwa mashabiki wa klabu hiyo...

READ MORE

Azam: Kasi ya Simba haitutishi sisi

Said Ally, Dar es Salaam KASI ya Simba kwa sasa wala haiwatishi Azam FC kwa kuwa wanaamini watawapiku tu. Simba kwa...

READ MORE

Ali Kiba amdatisha Niyonzima

Ali Kiba Wilbert Molandi, Dar es Salaam KIUNGO mchezeshaji wa Yanga Mnyarwanda, Haruna Niyonzima amemtaja mkali wa Bongo Fleva, Ali...

READ MORE

Yanga yaenda Mauritius na mchele, unga

Kikosi cha yanga Omary Mdose na Mohammed Mdose KWA kile kilichoelezwa ni kuepuka hujuma za wapinzani wao, Yanga wamekwenda nchini...

READ MORE

EFF yatua kuwakomboa wachezaji Bongo

Hans Mloli, Dar es Salaam INAWEZA kuwa habari njema kwa wachezaji na wadau wa soka la Bongo baada ya taasisi...

READ MORE

Yanga yapiga mtu nne

Wachezaji wa Yanga wakishangilia goli. Hans Mloli,Dar es Salaam ULIDHANI Yanga imepotea? Usijidanganye, moto wa Yanga si wa kitoto, wakiamua...

READ MORE

Simba hatari, yashinda mechi ya sita mfululizo

Wachezaji wa Simba wakishangilia goli. Johnson James, Shinyanga SIMBA ni hatari! wala huwezi kubisha kwa hilo baada ya kufanikiwa kuichapa...

READ MORE

Samatta aanza kazi rasmi

Mbwana Samatta. Omary Mdose,Dar es Salaam KWA mara ya kwanza straika, Mbwana Samatta, juzi Jumamosi aliandika historia ya kuwa Mtanzania...

READ MORE

Yanga SC haina plan B, ukiibana imekwisha

Nicodemus Jonas, Dar es Salaam INAWEZA kuwa kweli kwani kiungo wa Prisons, Mohammed Mkopi, amesema wazi kuwa Yanga inakosa njia...

READ MORE

Tambwe, Kiiza sasa ni vita

Straika wa Yanga, Amissi Tambwe. Hans Mloli na Khadija Mngwai STRAIKA wa Yanga, Amissi Tambwe, ana mabao 14 katika Ligi...

READ MORE

Pluijm: Jamani ehee sasa basi

Kocha wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam YANGA kesho Jumapili inacheza na JKT Ruvu kwenye...

READ MORE

Pluijm alia na mabeki wake

Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm. Omary Mdose na Said Ally KOCHA Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans...

READ MORE

Ajib awafuata Messi, Suarez

Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajib. Hans Mloli, Dar es Salaam WAKATI bao la ‘kideo’ la mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajib...

READ MORE

Matajiri Yanga wamjadili Kiiza

  Mshambuliaji wa Simba, Hamis Kiiza. Wilbert Molandi na Khadija Mngwai KASI ya kufunga mabao ya mshambuliaji wa Simba, Hamis...

READ MORE

Cannavaro apiga dozi ya nguvu, aikamia Simba SC

Nadir Haroub ‘Cannavaro’. Wilbert Molandi, Dar es Salaam KATIKA kuhakikisha anarejea kwa haraka uwanjani ili kuiokoa timu yake, nahodha na...

READ MORE

Dakika 90 hatari zaidi

Omary Mdose,Dar es Salaam TIMU za Simba na Yanga, leo Jumatano zitashuka dimbani kusaka pointi tatu kwenye muendelezo wa Ligi...

READ MORE