×

Computer and IT

Meridianbet Yakuletea Ofa Maalum Ya Zombie Apocalypse

Meridianbet imeendelea kuthibitisha ubunifu wake katika sekta ya michezo ya mtandaoni kwa kushirikiana na Expanse Studios, kwa kuleta burudani yenye...

READ MORE

Imperial Innovations Launches Its First Smart Center in Tanzania–Moran Smart Center

    Imperial innovations is an established, innovative and first of its kind tech startup in Tanzania with expertise in...

READ MORE

Wanafunzi UDSM, UDOM Wang’ara Mashindano ya TEHAMA

Wanafunzi wa Kitanzania wa TEHAMA kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Chuo Kikuu cha Dodoma waliibuka miongoni mwa...

READ MORE

Mabasi Bila Dereva Kuanza Kufanya Kazi

NCHI ya Norway imesema inajiandaa kuanza majaribio ya mabasi ya abiria (ya umma) ambayo hayana dereva, kuanzia mweiz Aprili, mwaka...

READ MORE

Instagram Sasa Itabidi Ulipie Ili Kuona Maudhui

Mtandao maarufu duniani wa Instagram sasa unafanya majaribio ya maboresho ambapo mtumiaji wa mtandao huo sasa ataweza ku-Subscribe na kulipia...

READ MORE

Infinix Yaja na Feature ya Kuongeza RAM Kwenye Simu

RAM siku hizi imekuwa feature ya muhimu kutokana na program nyingi kwenye simu za kisasa kuhitaji nguvu kubwa ya uendeshaji....

READ MORE

Marekani Yazuia Mtandao wa 5G

SERIKALI ya Marekani imetoa wito wa kutaka kucheleweshwa kwa shughuli ya usambazaji wa mtandao wa kasi ya 5G kwenye simu...

READ MORE

Apple Kuondoa Sehemu ya Kuweka Laini ya Simu Kwenye Iphones

SIM Card (laini za simu) ni moja kati ya mfumo ambao umebakiza maisha mafupi katika teknolojia. Kampuni nyingi za kutengeneza...

READ MORE

TikTok Yaibuka Kinara kwa Watumiaji Wengi

Mtandao huo wa kushirikisha video unatembelewa zaidi kuliko Injini ya utaftaji ya Marekani, kulingana na Cloudflare, kampuni ya usalama IT....

READ MORE

Fahamu Kwanini Infinix Hot 11 Yakimbiza Sokoni.

Kampuni ya Infinix Hivi karibuni imezindua simu mpya ya Infinix Hot 11, na katika pitapita zangu nimebaini simu hii inafanya...

READ MORE

Infinix Yazindua Rasmi Simu ya Funga Mwaka

Dar-es-Salaam, 15-12-2021; Kampuni ya simu ya Infinix imezindua rasmi simu kali na mpya aina ya Infinix HOT 11 na HOT...

READ MORE

Camon 18 Yavunja Rekodi Baada Ya Kuingia Sokoni

Simu ya TECNO CAMON 18 yavunja rekodi ya mauza ndani ya wiki mbili kuingia sokoni. Simu zaidi ya 800 zimeuzwa...

READ MORE

Xenobots Roboti Mwenye Uwezo wa Kuzaliana na Kupata Mtoto

WANASAYANSI nchini Marekani kutoka Chuo cha Vermont, Chuo cha Tufts na Taasisi ya Baiolojia ya Wyss ya Chuo Kikuu cha...

READ MORE

Huawei Yatoa Vifaa Vya Maabara Ya TEHAMA UDOM

  Kampuni ya Huawei Technologies Tanzania imetoa msaada wa maabara ya TEHAMA kwa Chuo Kikuu cha Dodoma ikiwa na nia...

READ MORE

Sifa Zinazoifanya Infinix Note 11 Pro Kuwa Simu Bora ya Mwaka

Naitambulisha kwako simu yakufungia mwaka. Hii ni Kwa mujubi wa tovuti mbalimbali za tech kama Tanzaniatech, Teknokona n.k zikijaribu kutuelezea...

READ MORE

Infinix Note 11, Note 11 Pro Zatua Rasmi Bongo

Dar-es-Salaam. 12 Novemba 2021, Kampuni ya simu za mkononi Infinix yazindua rasmi Infinix NOTE 11 na NOTE 11 pro kwa...

READ MORE

Pre-Order Infinix Note 11 kwa Punguzo la Sh.50,000, Ofa ya GB96 Papo Hapo

Habari njema kwa wapenzi wa simu za mkononi Infinix. Kampuni ya simu Infinix kupitia ukurasa wake wa @infinixmobiletz yatangaza rasmi...

READ MORE

Facebook Yabadili Jina Sasa ni ‘Meta’

KAMPUNI Facebook imebadilisha jina lake la kampuni na kujiita Meta ikiwa ni mpango wake wa kujiimarisha sokoni. Kampuni hiyo imesema...

READ MORE

Fahamu Maajabu ya Infinix NOTE 11, Kioo cha Amoled

Siku hadi siku tumekuwa tukishuhudia namna makampuni ya simu yanavyochuana kuleta simu zenye sifa za hali ya juu na moja...

READ MORE

Majaliwa Asisitiza Mifumo ya Usalama Kupitia TEHAMA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga shilingi bilioni 170 kwa ajili ya ujenzi wa Mkongo wa Taifa katika mwaka...

READ MORE

Instagram Yafanya Maboresho Mapya

MTANDAO maarufu wa Instagram umefanya maboresho mapya ambapo watumiaji wa mtandao huo ambapo kwa sawa watakuwa na uwezo wa ku-post,...

READ MORE

Jua la Bandia Kuanza Kufanya Kazi 2035

NCHI ya China ni miongoni mwa mataifa yaliyopiga hatua kwenye upande wa Teknolojia na hivi karibuni wameweka rekodi mpya baada...

READ MORE

Huawei Yawapiga Msasa Watalaam Tehama

Kampuni ya Huawei Tanzania  kwa kushirikiana na Tume ya Tehama imetoa mafunzo kwa wataalamu 19 wa Tehama kutoka katika sekta...

READ MORE

Serikali, Huawei Kuwaendeleza Wanawake Sekta ya TEHAMA

Serikali imeahidi kushirikiana na kuunga mkono jitihada za kampuni ya Mawasiliano ya Huawei katika kuweka mkazo zaidi na kuwaendeleza wanawake...

READ MORE

Tume ya Tehama Nchini yazindua tuzo

TUME ya Tehama Tanzania, imezindua tuzo za Tehama nchini, ambapo washiriki wanapendekezwa na Wananchi wanaotumia Teknolojia zinazoendeshwa na wahusika ambao...

READ MORE

Huawei Kumwaga Mamilioni Wenye Vipaji vya Dijitali

Huawei imepanga kuwekeza dola za kimarekani milioni 150 katika kukuza vipaji vya dijitali katika kipindi cha miaka mitano ijayo, mpango...

READ MORE

Tanzania Mbioni Kuanza Kutumia Mtandao wa 5G

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Jabir Kuwe amesema kuwa Tanzania inaelekea kutumia huduma ya 5G.  ...

READ MORE

Wanafunzi Vyuo Vikuu Walihimizwa Kujiunga na Academy ya TEHAMA ya Huawei

  Wito umetolewa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kuchukua nafasi za kujiandikisha bure kwenye Akademi za TEHAMA za Huawei...

READ MORE

Mamilioni Kuikosa WhatsApp Ifikapo Januari Mosi, 2021

  WATUMIAJI wa  mawasiliano ya Whatsapp katika simu za  iPhone 4 au simu za zamani za Android hawataweza kutumia vyema huduma...

READ MORE

Waziri Aipa TCRA Miezi 3 Kushughulikia Vifurushi kwa Wananchi

WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile ameipa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) miezi mitatu kumaliza changamoto...

READ MORE

Wanafunzi Vyuo Vikuu Wahimizwa Kuongeza ujuzi wa TEHAMA

Wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Ndaki ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (COICT), wametakiwa kutumia fursa...

READ MORE

Wanafunzi wa Tanzania Wang’ara Mashindano ya Dunia TEHAMA ya Huawei

Wanafunzi wa Kitanzania kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wamefanikiwa kuwa miongoni mwa vinara wa Fainali za Shindano la...

READ MORE

From Survive to Thrive, Working Together For a Better Africa

  Technology is getting us through the pandemic, and technology can also drive our continent’s recovery in the post-pandemic era,...

READ MORE

Wanavyuo 200 Kushiriki Mafunzo ya Kidigitali Kukabiliana Tatizo la Ajira

  KAMPUNI ya TMS Consultants Ltd, inayojishughulisha na ushauri wa biashara na uwekezaji nchini inatarajia kukutana na Vijana zaidi ya...

READ MORE

Shakuntala Devi: Mwanamke ‘Kompyuta’ Aliyeushangaza Ulimwengu

Shakuntala Devi: Mwanamke aliyeushangaza ulimwengu kwa kipaji chaKE adhimu cha kukokotoa hesabu kwa kasi zaidi duniani. Alianza kukokotoa hesabu akiwa...

READ MORE

SMART CODES Kuwapiga Msasa Wanafunzi Wabunifu Vyuo Vikuu

Kampuni ya Smart Codes kupitia Jukwaa la Smart Lab pamoja na  Taasisi ya Human Development Innovation Fund (HDIF), imeandaa programu...

READ MORE

Unasumbuka na Data, Meseji, Dakika? Dawa Hii Hapa – Video

Je, umekuwa ukipata tabu kuhusu mawasiliano, SMS hazitoshi, Dakika hazitoshi na MB’s (bundles) hazitoshi? Unashindwa kuperusi… Basi  hii ni taarifa...

READ MORE

Apps 20 Hatari, Unazoshauriwa Kuziondoa Haraka Kwenye Simu Yako

Watumiaji wa Android wamepewa orodha ya apps za kuziondoa kwenye simu zao kwa sababu za kiusalama wa data na kuondoa...

READ MORE

Rwanda Yaanza Kuunda Smartphone Zake

KAMPUNI ya Mara nchini Rwanda imezindua simu mbili za kisasa, (smartphones) ikiwa ni nchi ya kwanza ‘kutengeza aina hiyo ya...

READ MORE

Mtandao wa Intaneti Wazidi Kukua kwa Kasi Tanzania

KWA sasa, zaidi ya asilimia 60 ya Watanzania wanaishi vijijini. Hata hivyo, jamii nyingi za wanaoshi vijiji bado zinaonekana kukosa...

READ MORE