Browsing Category
Entertainment
Wild Corrida Kasino Mtandaoni Bora Kuliko Zote
Wild Corrida ni mchezo wa kasino unaonesha onyesho utamaduni wa mapigano ya ng'ombe na ni maarufu sana nchini Hispania na Ureno. Jisajili Meridianbet upate bonasi ya ukaribisho ya 300%
Mchezo huu wa kasino ya Mtandaoni ulioandaliwa…
Mobeto Ashinda Tuzo Ya ‘Brand Ambassador Bora’
Hamisa Mobeto; ni mwamamama staa nchini Tanzania anayetajwa kuwa mwenye mvuto kuliko wote kwa sasa ameshinda tuzo ya ‘Brand Ambassador Bora’.
“Nina furaha na shukrani zisizo na kipimo! 🏆 Kushinda tuzo ya ‘Brand Ambassador…
Irene Uwoya Asimulia Mapya Kifo Cha Kanumba Hadi Kufungua Kanisa – Video
Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini Irene Uwoya amefunguka kupitia Global TV na kuelezea kuwa Marehemu Steven Kanumba alikuwa ni mtu wa utani sana na ndiye aliyemshawishi kuingia katika tasnia ya uigizaji
Uwoya ameongezea zaidi kuwa…
Sloti ya Juicy Fruits Bonasi Kibao, Cheza Sasa Kasino Hii Ufurahie Ushindi Mkubwa
Juicy Fruits Multihold ni mchezo wa kasino ya mtandaoni kutoka kwa wataalamu ‘Pragmatic Play‘. Mchezo huu wa sloti, utakutana na alama za ushindi kama vile wilds, ambayo pia huonekana kama alama kubwa. Vilevile kuna mizunguko ya bure…
Wiki Ya Maokoto Meridianbet, Atalanta Na Liverpool Wanahela Zako
Kombe la UEFA Europa League ni zito kuliko makombe yote ya UEFA yenye madini fedha licha ya kutokuwa na thamani kubwa sana, tofauti na vikombe vingine vinavyotolewa katika mashindano ya klabu barani Ulaya. Wiki hii kuna odds kubwa za…
Ligi Ya Mabingwa Imerejea Kibabe Na Meridianbet
Najua unajua kuwa leo na kesho Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya itachzewa lakini je unaju kuwa ni wapi utapiga mkwanja kama ukitaka kufanya ubashiri? Sehemu ni moja tuu nayo ni Meridianbet ambayo inakupa kile ambacho unakitaka kwa muda…
Aunty Ezekiel- “Mimi Ndiye Msanii Mwenye Ngozi Nzuri Zaidi, Ndoa Kwangu Hapana”- Video
Msanii wa Bongo Movie Aunt Ezikiel maarufu kama Mama Nono ameiambia Global Tv kuwa hakumsanii yeyote hapa Bongo anayemfikia kwa ngozi nzuri kwani ngozi yake inavutia na kuteleza vizuri.
Aunt ameweka wazi kuwa hakuna uchawi katika hilo…
#Exclusive: Nakaaya Sumari Afunguka Kichapo Cha Ndoa Kilivyomtesa Mpaka Kutuma Ujumbe Mitandaoni…
Mwanadada Nakaaya Sumari kupitia Exclusive Interview aliyofanya na Global TV, amefunguka kuwa wanawake wengi wanateseka sana katika ndoa na hata wanapopeleka kesi zao katika madawati husika hazifanyiwi kazi kama inavyotakiwa.
Nakaaya…
Harmonize – Tena (Official Music Video)
MSANII wa Bongo, Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize au Harmo Ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Tena.
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata…
Niffer Afunguka Kumpigia Simu Mke Wa Kiba, Ugomvi Uliozuka Kisa Mtoto – Video
Mfanyabiashara maarufu wa vitu mbalimbali hapa Bongo Jenifer Jovin 'Niffer' ameweka wazi kuwa Ali Kiba ndiye mtu pekee ambaye humueleza matatizo yake kwani anamuelekeza namna ya kuyatatua.
Niffer ameongeza kuwa kwa sasa hajali maneno…
Ongeza Maokoto na Sloti ya Wild Icy Fruits Kutoka Meridianbet
Matikiti na machungwa yanaongeza utamu wa sloti hii ya kasino ya mtandaoni, kengele za dhahabu na mgando wa lucky 7 unatoa malipo makubwa yanayowezekana kwa alama 5 zilizopo kwenye mstari mmoja.
Kwa mara nyingi, upekee wa michezo ya…
Mpira Ulianzia Wapi? Pesa Zinatoka Wapi? Majibu yapo Hapa
Historia ya mpira wa miguu ilikuwepo tangu karne ya 15C, lakini ilisambaa Zaidi karne ya 19C huko Uingereza ambapo mpira wa miguu ulikuwa unachezwa mjini na baadae ukahamishiwa kuchezwa kwenye shule za umma. Mwaka 1865 Uingereza…
Exclusive Video: Rahisa Afichua Ujauzito Wa Patrick, Aanika Sms Za Niffer, Amtumia Salamu Hidaya…
KUFUATIA EXCLUSIVE aliyowahi kuifanya Imelda Mtema na Hidaya Njaidi Mama mzazi wa Patrick kuhusiana na mahusiano ya mwanaye na kumtaja Niffer kuwa ndiyo mkwe wake anayemfahamu na kumkana Rahisa, Imelda amemtafuta Laisa na kupiga naye…
Video: Niva Ana Watoto 7 Wanawake 7, Afichua Mapenzi Yanavyomtesa – ”Mimba Nabeba…
EXCLUSIVE ya GLOBAL TV tumepiga stori nyingi na mwigizaji anayekimbiza Bongo kutokana na namna yake ya uigizaji Zuberi Mohammed maarufu kama Niva ambaye amefunguka mengi....
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE:…
Patakuwa Hapatoshi! Huku Fahyma Kule Paula, Rayvanny Apagawa
Patakuwa hapatoshi! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema ambapo kwa mara ya kwanza,Rayvanny atakutana uso kwa uso na baby mama wake, Fahyma katika event ambayo Paula Kajala naye atakuwepo!
Inafahamika kwamba Paula ndiye…
Aggy Baby Afunguka Ukweli Kutoka Na Meneja Wake – ”Kajala Na Mitumba, Aniombe…
KAMA ni mfuatiliaji wa mambo yanayoendelea mitandaoni, basi jina la Agnes Suleiman 'Aggy Baby' siyo geni kwako. Akifanya mahojiano na Global TV Online kupitia kipindi cha Mapito amedai kuwa anaimba kuliko mwanadada malkia wa muziki wa…
Exclusive Video: Inspector Haroun Afunguka Bifu Lake Na Juma Nature, Maisha Yake Hali, Muziki
Msanii mkongwe, Haruna Kahema ‘Inspector Haroun’, mkali wa michano ambaye aliwahi kutamba na ngoma nyingi zikiwemo Pamba Nyepesi, Bye Bye na Hapa Kazi Tu! amefunguka bifu lake na mkongwe wa Muziki wa Bongo Fleva, Juma Nature.
Rais Cyril Ramaphosa Akataa Ombi la Mazishi ya Kitaifa kwa Rapa AKA
Ombi la utawala wa mkoa kwa ajili ya mazishi ya kiserikali kwa mwanamuziki maarufu wa Afrika Kusini aliyeuawa wiki iliyopita limekataliwa na rais, vinaripoti vyombo vya habari vya ndani .
Waziri Mkuu wa Gauteng Panyaza Lesufi alikuwa…
Unapenda Hadithi za Kale, Cheza Sloti ya God of Coins na Ushinde!
Meridianbet wakishirikiana na Expanse Studio wanafanya wepesi katika mwezi huu wenye mambo mengi wakikuletea Sloti mpya ya God of Coins unaokufanya upate zaidi ya mara 1000 ya dau lako kirahisi kabisa, chaguo lako ndio ushindi wako leo.…
Aviator Summer Flight Ya Meridianbet: Promosheni Bomba Ya Kasino Msimu Huu Wa Sikukuu!
Huhitaji kuwa ‘serious’ sana unapojivinjari viunga vya kasino bomba ya mtandaoni ya Meridianbet. Ushindi unaenda sambamba na burudani. Mchezo wa Aviator Summer Flight.
Ni Promosheni kabambe kabisa msimu huu wa Sikukuu za Krismas na…
Daktari Bingwa Afunguka Mwisho Wema Kukosa Mtoto Apewa Mbinu Mpya
DAKTARI bingwa wa magonjwa ya wanawake nchini, Godfrey Chale amesema msanii Wema Sepetu hana sababu ya kuendelea kulilia mtoto.
“Nimesoma na kusikia kilio cha Wema kutamani kupata mtoto kwa muda mrefu; najiuliza sijui kwa nini hataki…
Burna Boy Si Wa Mchezo, Diamond Akasome, Sasa Kushusha Kitu na Dj Khaled
MSHINDI wa Tuzo ya Grammy kutoka pande za Nigeria, Damini Ebunoluwa Ogulu maarufu kama Burna Boy tayari amezama Studio na Producer maarufu ulimwenguni na mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Khaled Mohamed Khaled ‘DJ Khaled’.
…
Shamsa Ford: Sasa Nipo Tayari Kuolewa Tena, Namtaka Mume Bora
STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amesema kwa sasa yupo tayari kuolewa kwa mara nyingine baada ya ndoa yake ya awali kuvunjika.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Shamsa aliweka picha yake na kusindikiza na ujumbe huo…
Zuchu: Niliogopa Bosi Akanilazimisha Mpaka Nikahara, Kina Mbosso Walinibembeleza
MSANII wa Bongo Fleva, Zuchu ametoa experience yake ya shoo ambayo aliwahi kuogopa zaidi katika maisha yake ya muziki ambayo ameitaja kuwa ni shoo ya #IamZuchu launching aliyofanya katika Ukumbi wa Mlimani City wakati akitambulishwa…
Baba Levo Amsifia Chege, Ataja Mchango Wake kwa Wasanii wa Mkoa wa Kigoma
MSANII wa Bongo Fleva Babalevo, leo asubuhi kupitia ukurasa wake wa Instagram amemsifia msanii mwenzake Chege Chigunda kwa kufungua milango ya mziki mkoani Kigoma.
Siku ya leo mapema asubuhi Baba Levo kupitia ukurasa wake…
Exclusive… Uwoya: Msiniige Mtaumia, Hamjui Nimepitia Msoto Gani Mpaka Kufikia Hapa
Irene Pancras Uwoya; ni mwanamama kinara wa Bongo Movies mwenye mvuto wa kipekee nchini Tanzania ambaye anasema kuwa, huu ni wakati wake wa kufurahia mafanikio huku akiwataadharisha wanamuiga akisema; “Msiniige Mtaumia…”
…
Wolper Adai Amependa Alichofanya Kizz Daniel, Awaelezea Wanawake Wenzake
MSANII maarufu wa Bogo Movies, Jacqueline Wolper ‘Mama K’ ameshindwa kuzuia hisia zake na kuibuka kuzungumzia sakata la supastaa wa muziki kutoka nchini Nigeria, Oluwatobiloba Daniel Anidugbe maarufu kama Kizz Daniel kukacha shoo ya…
Kizz Daniel Akamatwa na Polisi Dar, Ni Baada ya Kukacha Tukio la Kutumbuiza
MSANII maarufu kutoka nchini Nigeria, Kizz Daniel amekatwa na Polisi kutokana na kutotumbuiza katika tamasha la ‘Summer Amplified’ lililofanyika Jumapili 7, 2022 katika ukumbi wa NextDoor Arena, jijini Dar es Salaam.
Polisi…
Nandy Afunguka Kuhusu Rayvanny Kulipishwa Milioni 50 WCB
MSANII wa Bongo Fleva, Faustina Charles Mfinanga ‘nandy’ ameeleza kusikitishwa kwake baada ya kupata taarifa kuwa msanii mwenzake Rayvanny ametakiwa kulipa pesa kiasi cha Tsh milioni 50 kwa sababu alikwenda kufanya shoo kwenye Nandy…
Rose Ndauka: Mume Wangu Anapenda Sana, Mambo Mengine ni Ziada
ROSE Ndauka; ni malkia wa Bongo Movies ambaye anasema kuwa, mume wake, Hafidh anapenda sana kula chakula chake (Rose).
Akizungumza na Gazeti la IJUMAA, Rose anasema kuwa, hakuna kitu ambacho anatamani kila siku zaidi ya…
Kidunda, Katompa Kitaumana Kesho Uwanja wa Majimaji Mjini Songea
MABONDIA Seleman Kidunda na Tshimanga Katompa wamepima uzito tayari kwa kesho Jumamosi kupanda ulingoni kuwania ubingwa WBF Intercontinental Afrika katika pambano litakalopigwa leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Majimaji mijini hapa.…
Hatimaye Lulu Diva Arejea Akiwa Fiti, Awatega Mashabiki Wake
MSANII wa Bongo Fleva, Lulu Abbas maarufu kama Lulu Diva kupitia insta story yake amedokeza ujio wa ngoma yake mpya hivi karibuni.
Lulu ameandika ujumbe ambao unaashiria kuwa ngoma hiyo itakuwa ni kolabo na kuna msanii…
Dkt. Cheni: Harusi ya Nandy na Billnass Mimi Nilimshinda kwa Kura MC Gara B
MSHEREHESHAJI maarufu nchini na Staa wa filamu Dkt Cheni amesema dili la kusherehesha harusi ya mastaa wa Bongo Fleva Billnass na Nandy alipewa yeye baada ya kufanyika mchakato wa kupigiwa kura ambapo yeye ndiye aliyeibuka mshindi namba…
Diamond Ajibu Mapigo Tuhuma za P Funk Kwa WCB, Atoa Tamko Zito
SUPASTAA wa Bongo Fleva ambaye pia ni Mkurugenzi wa lebo ya Wasafi amekanusha tuhuma za kwamba lebo yake inawanyonya wasanii kama inavyodaiwa na baadhi ya watu huku akisisitiza kuwa lebo yake ndiyo inawanyanyua wasanii wadogo kuwainua…
P Funk Majani: Paula Atabadilika Tabia, Sasa Naongea Naye Vizuri
PRODYUZA mkongwe wa muziki Bongo, P Funk ‘Majani’ amesema kuwa, mwanaye Paula anayo nafasi kubwa ya kubadilika tabia kwani sasa ameanza kujitambua na kuwa mtu mzima.
Majani amesema hayo hivi karibuni wakati akifanyiwa mahojaiano na…
Uwoya Aibua Mshtuko Mgeni Rasmi Kanisani, Mchungaji Amchambua Kipekee
IRENE UWOYA; ni mwanamama wa Bongo Movies ambaye ameibua mshtuko miongoni mwa wanajamii ya mitandaoni baada ya mhubiri mmoja nchini Tanzania kumualika kama mgeni rasmi katika sherehe za miaka 8 tangu kuanzishwa kwa kanisa lake.…
Imefichuka! Kumbe Bilionea Elon Musk Amezaa Mapacha na Mfanyakazi Wake
IMEFICHUKA kuwa Bilionea namba moja duniani, Elon Musk ambaye ni mmiliki wa Kampuni ya Tesla na SpaceX alipata watoto mapacha mwaka jana na Ofisa Mkuu katika moja ya kampuni zake, mtandao wa Insider umeripoti.
Mama wa watoto hao,…
Steve Nyerere Achimba Mkwara Harusi ya Nandy na Billnass, Aahidi Kufanya Kufuru
IKIWA ni siku mojaa baada ya kuchaguliwa kwa msanii maarufu nchini, Steve Nyerere ibu ya kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Harusi ya wasanii wenzake, Billnas na Nandy, hatimaye Steve asiyeishiwa vituko amekuja na jipya.
Kupitia…
Mjadala Mzito… Harmonize Anamuoa Kajala Mke Wa Mtu! Soma Hapa Muda Huu
Mwijaku; ni mtangazaji na msemaji wa mastaa mbalimbali Bongo akiwemo Harmonize ambapo naye ameingilia mjadala mzito unaosambaa mitandaoni kuwa, jamaa huyo yupo mbioni kumuoa mwanamama Kajala Masanja ambaye ni mke wa mtu kwa…
Anerlisa: Ex Aligoma Kufunguliwa Biashara, Alitaka Pin Yangu ya ATM
ANERLISA Muigai; ni mrembo mwenye pesa zake wa nchini Kenya na ex wa staa wa muziki wa RnB nchini Tanzania, Ben Pol ambaye anasema kuwa, kuna ex-wake mmoja (hajasema kama ni Ben Pol) alitaka amfungulie biashara, jambo ambalo alilikataa…