×

Featured Stories

Utajiri wa Jack Pemba Watikisa Uganda

Jack Pemba akimwaga shampeni kwenye gari lake jipya. Stori:  Mwandishi Wetu, Risasi Kampala, Uganda: Kufuru ya matumizi makubwa ya fedha...

READ MORE

Beki Simba apigiwa simu za vitisho

Beki wa pembeni wa Simba, Hassan Kessy. Wilbert Molandi,  Dar es Salaam BEKI wa pembeni wa Simba, Hassan Kessy, wikiendi...

READ MORE

Samia Mgeni Rasmi Tamasha la Changia Damu

Makamu wa Rais, Samia Saluhu Hassan. Na Mwandishi Wetu Makamu wa Rais, Samia Saluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi katika Tamasha...

READ MORE

Gardner: Ndoa Yangu na Jide Ilivunjwa kwa Simu

Mtangazaji nyota wa redio nchini, Gardner G. Habash na aliyekuwa mkewe, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’. Stori: Mwandishi DAR ES...

READ MORE

Milionea Mtoto Akamatwa Dar

Lwitiko Adamson Mwakasala ‘Tiko’ Stori: Makongoro Oging’  na Issa Mnally, UWAZI DAR ES SALAAM: Tumbuatumbua majipu ya Rais John Pombe...

READ MORE

Hospital iliyomnasa usalama wa taifa Feki Yaanikwa

Stori: Mwandishi Wetu, UWAZI DAR ES SALAAM: Ile Hospitali ya Head 2 Toe Super Specialized ya Ununio Kunduchi, Dar ambayo...

READ MORE

Kanyau azidi kusota kortini

Daudi Yakubu Adam ‘Kanyau’  (aliyevaa miwani) akiwa wakili wake, John Mallya. Stori: Mwandishi Wetu, UWAZI Mfanyabiashara mkubwa jijini Dar aliyepandishwa...

READ MORE

Blac Chyna amdandia Rob kimahaba hadharani

LOS ANGELES, Marekani MAHABA yanapokuzidia huweza kukufanya chizi na hivi ndivyo ilivyomtokea mwanamitindo Blac Chyna ambaye akiwa mtaani hadharani ghafla...

READ MORE

Kairuki amsimamisha kazi mkuu wa chuo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki. Na Lilian Lundo...

READ MORE

Linah alala na Wizkid hotelini

Mwanamuziki wa Bongo, Estelina Sanga ‘Linah’. Stori: Musa Mateja, Wikienda Dar es Salaam: Imefichuka! Hatimaye ishu ya wanamuziki wa Bongo,...

READ MORE

Vidonge vya nguvu za kiume vyaua watu 86

Chupa za Vidonge vya kuongeza nguvu za kiume vya Viagra. Stori: Mwandishi, Wetu Wikienda Dar es Salaam: Wamekwisha! Imebainika kuwa...

READ MORE

Ray C afungiwa hospitalini

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’. Stori: Waandishi Wetu, Wetu Wikienda Dar es Salaam: Mwanamuziki wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Wajeruhiwa kwa kuvamia Kituo cha Polisi Moro

Watu wanne wamejeruhiwa kwa risasi na Polisi mkoani Morogoro wakati wakijaribu kuvamia kituo cha Polisi cha Dutumi kilichopo Wilaya ya...

READ MORE

Talaka ya Jide Mazito Yaibuka!

Mkongwe wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ na mumewe Gardner G. Habash ‘Captain’. Na Musa Mateja Risasi Jumamosi DAR...

READ MORE

Mbinu mpya ya Mastaa kujiuza

Masogange Na Mwandishi wetu, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Imevuja! Siri ya maisha mazuri ya baadhi ya mastaa wa kike Bongo...

READ MORE

Hivi Ndivyo Wasanii Walivyotelekezwa Gesti

Wasanii hao wakihojiwa. Stori: Gladness Mallya, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Kama hukuipata kwa kina habari ya wasanii 22 wa...

READ MORE

Mastaa waukacha msiba wa John Woka

Mama mzazi wa ‘John Woka’ akiaga mwili wa mwanaye kanisani, katika hospitali ya Muhimbili. NA Mayasa Mariwata, Risasi Jumamosi DAR ES...

READ MORE

Yanga Jeuri, Simba Kiburi

Wachezaji wa Yanga, Ngoma (kushoto) na Kamusoko (kulia). Waandishi Wetu, Dar es Salaam DAWA ya Jeuri ni Kiburi, Yanga na...

READ MORE

Barua ya Jack Cliff yazua simanzi upya

Video Queen, Jack Cliff. NA Imelda Mtema, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Ikiwa imekatika miaka miwili tangu alipokamatwa na madawa...

READ MORE

Mama amcharanga viwembe mwanaye!

Majeraha aliyoyapata baada ya kujeruhiwa na viwembe.   Stori: Joseph Ngilisho, Ijumaa Arusha: Ukatili wa watoto haukubaliki! Mama mzazi aliyetajwa...

READ MORE

Mashauzi adaiwa kuwafanyia mbaya nduguze

Dada yake Isha Mashauzi. Stori: MAYASA MARIWATA, Ijumaa: Dar es Salaam: MKALI wa Mipasho Bongo, Isha Ramadhani ‘Isha Mashauzi’ hivi...

READ MORE

Kwa mziki huu! Mkitoka mkatambike

Wachezaji wa Yanga Niyonzima na Tambwe wakishangilia. Waandishi Wetu, Dar es Salaam RAPA wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego katika...

READ MORE

Shamsa amwaga lazi ukumbini

Msanii wa filamu Shamsa Ford akifanya yake. Na Musa Mateja Msanii wa filamu Shamsa Ford juzikati alitoa kali ya mwaka...

READ MORE

Shilole amlewesha dogo, ‘ambemenda’!

Msanii Zuwena Mohammed ‘Shilole’ akipozi kimahaba na Medy Music. Stori: Musa mateja, Ijumaa: Dar es Salaam: Baada ya msanii Zuwena Mohammed...

READ MORE

Idris Ajipoza kwa Lulu

Musa Mateja, AMANI Dar es Salaam: Siku chache baada ya taarifa za kutoka kwa mimba ya mwandani wake, Wema Isaac...

READ MORE

Hekalu la Dogo TRA ni Jipu

Na Waandishi Wetu, AMANI DAR ES SALAAM: Baadhi ya wananchi waliozungumza na gazeti hili wameonesha kushtushwa kwao kufuatia mfanyakazi mmoja...

READ MORE

Dallas wa Wolper afunga ndoa

ALIYEKUWA mchumba wa staa wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper, Ramadhan Mtoro ‘Dallas’ inadaiwa kuwa hivi karibuni amefunga ndoa na mwanamke...

READ MORE

Mlipuko waua 28 na kujeruhi 61 Uturuki

Vikosi vya zimamoto vikipambana na moto uliosababishwa na mlipuko. Moshi mkubwa ukitoka katika eneo ulipotokea mlipuko jana mjini Ankara, Uturuki...

READ MORE

OFM Kazini Yamnasa Mke wa Mtu Akichepuka

DAR ES SALAAM! Kumbe kuchepuka hakuna umri bwana! Mwanamke ambaye jina linapigwa ‘tinted’ kwa sasa, Ijumaa     iliyopita alinaswa akiingia kwenye...

READ MORE

Jenesia apewa Yanga vs Simba

Mwamuzi Jonesia Rukyaa (28)  kuwa ndiye atakayezihukumu Yanga na Simba  Mwandishi Wetu, Dar es Salaam SIMBA na Yanga, Jumamosi hii...

READ MORE

Mrembo Abakwa na bodaboda

Mrembo anayedaiwa kubakwa na bodaboda. Hamida Hassan na Gladness Mallya, Risasi DAR ES SALAAM: Mrembo mmoja (jina linahifadhiwa), mkazi wa...

READ MORE

Nani Analipwa mshahara sh. mil 35?

Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’. Na Mwandishi Wetu, RISASI...

READ MORE

Mimba ya Wema yayeyuka ghafla

Staa wa filamu  Bongo, Wema Sepetu. Stori: WAANDISHI WETU DAR ES SALAAM: Mimba ya staa wa filamu  Bongo, Wema Sepetu...

READ MORE

Msanii Bongo Muvi Anaswa Kwa Sangoma

Msanii huyo akiingia kwa sangoma. Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan, Risasi DAR ES SALAAM: Katika kile kinachodhaniwa kuwa ni...

READ MORE

Top ten: Mastaa waliowaua wapenzi wao!

Earl Hayes alifanya tukio lililoacha watu midomo wazi, alipomuua kwa kumpiga risasi mkewe, Stephanie Mosley pichani. Makala: SIFAEL PAUL na...

READ MORE

Mume amfunga mkewe mtini kisa kutopata mimba

Jeni Marwa akiwa amefungwa kamba mtini na mumewe. Stori: Gregory Nyankaira, UWAZI MARA: Nyango Hakimu mwenye umri wa miaka 37,...

READ MORE

Tanzia: John Woka afariki dunia leo

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Michael Dennis Mhina ‘John Woka’. Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye alijipatia umaarufu mkubwa...

READ MORE

‘Msukule’ wa tajiri aendelea vizuri

Mariam Juma aliyepatikana akiwa mtupu katika shimo lenye urefu wa futi kumi, nyumbani kwa tajiri. Stori: Makongoro Oging’, Uwazi DAR...

READ MORE

Waafrika waishio India, Roho Mkononi!

Ndugu wakiwa kwenye kabuli la mpendwa wao  Christian Benjamin Mlyansi. Stori: Amran Kaima na Mtandao. DAR ES SALAAM: Waafrika wanaosoma...

READ MORE

Aliyejipachika cheo cha usalama wa taifa akiona!

Wakimfunga kamba. Stori: Makongoro Oging’ na Issa Mnally, UWAZI DAR ES SALAAM: Ujanja wa mjini! Jamaa aliyejipachika cheo kuwa yeye...

READ MORE