
Browsing Category
Global TV Online
Polisi Wakana Taarifa za Gari la Polisi Kusababisha Kifo cha Mwananchi Kongowe – Video
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limekanusha vikali taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook na Instagram, zinazodai kuwa gari la Polisi lilimgonga mwananchi na kusababisha kifo chake katika eneo la Kongowe…
Dkt. Mwigulu Akagua Maendeleo Ya Mradi Wa Bandari Ya Uvuvi, Kilwa – Video
▪️Asema Rais Dkt. Samia ni kiongozi anayetekeleza miradi inayotoa majawabu ya kero za Watanzania.
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba Desemba 19, 2025 amekagua maendeleo ya ujenzi wa Bandari ya Uvuvi iliyopo Kilwa…
Mahakama Kuu Yakataa Pingamizi, Kesi ya Uchaguzi Kigoma Mjini Kuendelea
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Kigoma, imeamua kuendelea na Shauri la Uchaguzi Namba 28949 la Mwaka 2025, baada ya kutupilia mbali pingamizi la awali lililowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Clayton Revocatus…
TRA Yakamata Madumu 23,755 Ya Mafuta Ya Kupikia Ya Magendo Dar – Video
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), leo imekamata Shehena kubwa ya Mafuta ya kupikia ya Magendo, jumla ya Madumu 23,755, yaliyokuwa yakiingizwa nchini kinyume na taratibu kupitia Bandari ya Kunduchi, jijini Dar es Salaam.
Kamishna Mkuu…
Makamu wa Rais Nchimbi Aongoza Mazishi ya Jenista Mhagama Ruanda – Mbinga (Picha +Video)
Makamu wa Rais wa Jam huri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaongoza waombolezaji kwenye Mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Mhagama, yaliyofanyika katika Kijiji cha Ruanda Wilaya ya…
Dkt. Mwigulu Ashiriki Mazishi Ya Jenista Mhagama, Atoa Maagizo Kwa Mkandarasi Wa Barabara Ya…
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Desemba 16, 2025 ameshiriki katika Mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Mhagama, yaliyofanyika katika Kijiji cha Ruanda Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma…
Rais Samia: JWTZ Jiepusheni na Mashinikizo ya Kisiasa, Bakini Jeshi la Wananchi – Video
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kujiepusha na mashinikizo ya kisiasa, akisisitiza kuwa pamoja na umuhimu wa mshikamano kati ya uongozi…
Mchambuzi Farhan Afunguka Mazito Kuhusu Posti Zake kwa Yanga – Video
Mwanahabari na mchambuzi wa soka nchini, Farhan Kihamu (@jr_farhanjr), ameibua mjadala mpya mitandaoni baada ya kueleza kuwa kila anapoandika jambo la upande hasi (negative) kuhusu klabu ya Yanga, basi taarifa hiyo huwa ni ya kweli na…
Katibu wa Bunge Aeleza Chanzo cha Kifo cha Jenista Mhagama – Video
Chanzo cha kifo cha aliyekuwa Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Peramiho, marehemu Jenista Joakim Mhagama, kimetajwa kuwa ni maradhi ya moyo.
Taarifa hiyo imetolewa leo Desemba 13, 2025 na Katibu wa Bunge, Baraka Leonard, wakati…
Waziri Mchengerwa: Jenista Mhagama Alianza Kuanguka Wakati Wa Uchaguzi – Video
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, ameungana na waombolezaji wengine katika kutoa pole nyumbani kwa Jenista Mhagama, kufuatia msiba uliotokea hivi karibuni.
Video: Polisi Watoa Ufafanuzi Kuhusu Kukamatwa Kwa Geofrey Mwambe
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewahakikishia wakazi wa jiji hilo kuwa hali ya usalama inaendelea kuwa nzuri na kwamba wananchi wanaendelea na shughuli zao za kila siku bila wasiwasi.
Kupitia taarifa iliyotolewa leo…
Tasnia ya Filamu Yapoteza Mwigizaji Laisa, Msiba Wathibitishwa – Video
Tasnia ya filamu nchini imepokea taarifa za msiba wa Laisa, ambaye alikuwa mfanyabiashara na muigizaji katika BongoMuvi. Taarifa hizo sasa zimethibitishwa rasmi baada ya mazungumzo na mfanyabiashara na mtu wa karibu wa marehemu,…
Mazishi ya Jenista Mhagama Kufanyika Desemba 16, Mbinga
Aliyewahi kuwa Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Peramiho, Jenista Joakim Mhagama, aliyefariki dunia tarehe 11 Desemba 2025 jijini Dodoma, anatarajiwa kuzikwa tarehe 16 Desemba 2025, Ruanda – Mbinga.
Ratiba…
Waziri Mkuu Mwigulu Aomboleza Kifo cha Mbunge Jenista Mhagama
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 11, 2025, ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama, kilichotokea Itega jijini Dodoma.
Dkt. Mwigulu amesema…
Video: Mwigulu Ataja Maeneo Yenye Mianya ya Rushwa, Atoa Maagizo Mazito
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ni lazima yafanyike mapitio ya haraka kwenye tamko la mali na madeni na yawe na madaraja kwa sababu kuna maeneo ambayo bado rushwa imekithiri lakini watumishi wake hawajajumuishwa kwenye mfumo…
Polisi Watoa Taarifa Kuhusu Hali ya Usalama Asubuhi ya Leo – Video
Jeshi la Polisi limetoa taarifa rasmi kwa umma leo Jumatano, Desemba 10, 2025, likielezea hali ya ulinzi na usalama nchini katika saa za asubuhi.
Katika taarifa hiyo, Jeshi la Polisi limeeleza kuwa hali ya usalama imeendelea kuwa…
Waziri Simbachawene Awapongeza Askari kwa Kulinda Amani Kufuatia Fununu za Maandamano – Video
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ametoa pongezi kwa askari wa vikosi vya ulinzi na usalama kwa kuhakikisha amani na utulivu vinaendelea kutawala nchini, kufuatia fununu zilizokuwepo za maandamano yasiyo na kikomo.…
Chalamila: Msipotoshwe, Hali ya Usalama Iko Vizuri Jijini Dar – Video
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amezungumza na Global TV akitoa tathmini ya hali ya ulinzi na usalama jijini Dar es Salaam, ambapo amesema jiji lipo katika utulivu na shughuli za wananchi zinaendelea kama kawaida.…
Simbachawene: Hakuna Tishio la Kuzimwa Internet Tanzania, Hali ya Usalama Ni Shwari – Video
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema kuwa hatua ya kuzima mtandao wa intaneti nchini ni chaguo la mwisho kabisa, na kwa sasa hakuna sababu yoyote inayoashiria uwezekano wa TCRA kuchukua hatua hiyo kuelekea…
Simbachawene Awapa Polisi Maagizo Mapya ya Kukamata Watuhumiwa – Video
George Simbachawene Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi, ameagiza jeshi la polisi kuhakikisha kuwa taratibu za ukamataji watuhumiwa zinafanyika kwa kufuata sheria,weledi na staha.
Akizungumza leo tarehe 8 Decemba 2025 wakati wa mkutano…
Video: PM Mwigulu Awasilisha Ujumbe wa Rais Samia Kuhusu Sikukuu ya Uhuru
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasilisha rasmi ujumbe wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuelekea maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru yatakayofanyika kesho, Jumapili Desemba 09, 2025.
Amesema kuwa kwa mujibu wa…
Sheikh Mkuu wa Tanzania Awataka Watanzania Kuendeleza Uchumi Bila Kuvuruga Amani – Video
Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakar Bin Zubeir, amewataka Watanzania wanaoishi nje ya nchi kutumia fursa zilizopo kwa ajili ya kujenga uchumi wa taifa, bila kutumia nafasi hizo kuvuruga amani iliyopo nchini.
Kauli hii imetolewa leo,…
CCM Yaonya Watumishi wa Umma Kuhusu Uwajibikaji na Utoaji Huduma kwa Wananchi – Video
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Kenani Kihongosi, ametoa wito kwa watumishi wa umma kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia utu, nidhamu na matumizi sahihi ya muda katika kuwahudumia wananchi.…
Video: Chalamila Aitaka TANESCO Kuchunguza Kauli ya Padri Kitima
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameielekeza TANESCO kuchukua hatua na kuchunguza kwa kina kauli iliyotolewa na Padri Dk. Charles Kitima akidai kuwa shirika hilo lilizima umeme ili kurahisisha shambulio dhidi yake katika…
Video: Polisi Yapiga Marufuku Maandamano ya Desemba 9, Yasifanyike Nchi Nzima
Jeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku “maandamano ya amani yasiyo na kikomo,” yaliyotangazwa kufanyika Desemba 9, 2025, likisema yamekosa sifa za kisheria na yanaashiria mipango ya uhalifu unaoweza kuhatarisha usalama wa taifa.…
Saleh Jembe Avunja Ukimya Kuhusu Tetesi za DP World na Simba – Video
Mchambuzi mahiri wa soka nchini, Saleh Jembe (@salehjembefacts), ametolea ufafanuzi tetesi zinazozagaa mitandaoni kuhusu kampuni ya DP World kudaiwa kuwa katika mazungumzo ya kuidhamini Klabu ya Simba SC.
Amesema kuwa taarifa hizo hazina…
Niffer Awashukuru Watanzania Baada ya Kuachiwa Huru – Video
Mfanyabiashara maarufu Jennifer Jovin, anayejulikana mtandaoni kama Niffer ameishukuru serikali na wananchi kwa mshikamano waliomuonyesha kipindi chote alichokuwa akishikiliwa hadi kuachiwa kwake leo, Desemba 3, 2025.
Akizungumza na…
Video Vixen Genno Acharuka “Nilikopwa Kwenye Video ya Diamond na Baba Levo” – Video
Video vixen maarufu Genno ameibua gumzo baada ya kufichua kuwa aliwahi kukopwa malipo katika moja ya video aliyocheza akiwashirikisha wasanii wakubwa, akiwemo Diamond Platnumz na Baba Levo.
Genno amesema alipata nafasi hiyo kupitia…
Rais Samia: Matukio ya Oktoba 29, Yalipangwa kwa Lengo la Kuangusha Dola – Video
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema matukio yaliyotokea kuanzia Oktoba 29, 2025 na kuendelea yalikuwa matukio ya kutengenezwa ambayo yalikuwa na lengo la kuangusha dola ya nchi yetu.
Ameyasema hayo leo Disemba 02, 2025 akizungumza…
Video: Rais Samia Atoa Onyo Kali Dhidi ya Wachochezi wa Amani ya Taifa
Akizungumza katika Mkutano na Wazee wa Dar es Salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amelaani vikali vurugu zilizotokea Oktoba 29 na 30, akisisitiza kuwa matukio hayo hayalingani na misingi, utu, wala…
Tume Ya Uchunguzi Yaanza Kazi: Jaji Chande Aeleza Mambo 6 Makuu Yatakayochunguzwa – Video
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mkuu Mstaafu Mohammed Chande Othman, leo Disemba 1, 2025, ametaja rasmi maeneo sita ambayo yatakuwa kiini cha kazi…
Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Kesi dhidi ya Viongozi wa CHADEMA – Video
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kesi ya kudharau amri ya Mahakama iliyokuwa imefunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake dhidi ya viongozi waandamizi wa…
Maswali 7 magumu kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuhusu vurugu za Oktoba 29 Tanzania
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Novemba 25, 2025 alikutana na wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam, na maswali mazito yakielekezwa moja kwa moja kwake kuhusu kile kilichotokea Oktoba 29, 2025.
Siku hiyo ya uchaguzi na siku…
PM Mwigulu Atoa Takwimu Zilizotikisa Taifa Baada ya Vurugu Oktoba 29 – Video
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 25, 2025 amesema kiwango cha uharibifu kilichotokea katika maeneo mbalimbali nchini haikubaliki na hakioneshi taswira ya taifa linalotaka kusonga mbele. Akizungumza kuhusu tukio hilo,…
Msando: Serikali Haina Ajenda ya Siri Dhidi ya Askofu Gwajima – Video
Serikali imesisitiza kuwa hakuna mtego wala mpango wowote wa kumkamata Askofu Dkt. Josephat Gwajima kufuatia hatua ya kufunguliwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima analoliongoza.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Wakili…
Mwanamke Aliyedhaniwa Amefariki Azinduka Ndani ya Jeneza Thailand
Mwanamke mmoja nchini Thailand aliwashangaza na kuwaogopesha wafanyakazi wa hekalu baada ya kuanza kusogea akiwa ndani ya jeneza lake akiwa tayari amefikishwa kwa ajili ya kuchomwa moto.
Tukio hilo limetokea katika Hekalu la Wat Rat…
Polisi Wakamata Wahamiaji Haramu 14 Kwenye Gari la Abiria – Video
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi waliokamatwa wakiwa wameingia nchini kinyume cha sheria kwa kutumia magari mawili ya abiria.
Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza,…
Video: Mume Aliyekatwa Nyeti Afunguka Mazito ‘Nimemsamehe Mke Wangu’
Baraka Melami (40) mkazi wa Kitongoji cha Juhudi katika Kijiji cha Olevolosi, Arumeru, Arusha aliyedai kukatwa nyeti na mkewe usiku wa kuamkia Novemba 19, 2025, ameelezea zaidi kuwa hana shida na mke wake na amemsamehe.
Video full ipo…
Polisi Dar Waimarisha Usalama Kabla ya Mchezo wa Simba na Petro Atletico – Video
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linaendelea kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama pamoja na wananchi katika kuimarisha ulinzi kwenye maeneo mbalimbali ya jiji.
Kwa mujibu wa taarifa ya siku ya…
Rais SamiAwatunuku Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya Kijeshi Wahitimu 106 wa TMA Monduli –…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza mahafali ya Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (Tanzania Military Academy – TMA) Monduli, Arusha, na kuwatunuku Shahada ya Kwanza ya Sayansi…