×

Global TV Online

Video: Wabunge 324 Wamthibitisha Ndejembi kuwa Makamu wa Rais

Wabunge 324 wamepiga kura za “Ndiyo” kumthibitisha Makamu wa Rais Mteule, Deogratius John Ndejembi, kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri...

READ MORE

Msukuma Asimulia Ndejembi Alivyopokea Taarifa za Uteuzi wa Makamu wa Rais – Video

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku ‘Msukuma’, amesimulia namna Deogratius Ndejembi alivyopokea taarifa za kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa...

READ MORE

Hatua ya Mwisho kwa Ndejembi Bungeni, Waziri Ammwagia Sifa (Picha +Video)

Makamu wa Rais Mteule na Waziri wa Nishati, Deogratius John Ndejembi, leo Agosti 28, 2026, amehudhuria Kikao cha Tatu cha...

READ MORE

Bunge la Tanzania leo: Deogratius Ndejembi Kuthibitishwa Kuwa Makamu wa Rais – Video

 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, Ijumaa, Agosti 28, 2026, linatarajiwa kupokea na kuthibitisha uteuzi wa Deogratius...

READ MORE

Inashangaza! Simba Yashinda, Lakini Mashabiki Watoa Lawama Kwa Doumbia – Video

Baadhi ya mashabiki wa Simba wameonekana kutoridhishwa na kiwango cha mshambuliaji wa klabu hiyo, Ibrahim Doumbia, licha ya timu hiyo...

READ MORE

Maganya: Jumuiya ya Wazazi Yaunga Mkono Nchimbi Kuvuliwa Uanachama – Video

Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Maganya, amesema jumuiya hiyo inaunga mkono uamuzi...

READ MORE

Watu Wawili Wafariki Baada ya Kujinyonga Dagailoi, Babati – Video

Watu wawili, wakazi wa Kijiji cha Dagailoi, Kata ya Sigino, Wilaya ya Babati, mkoani Manyara, wamefariki dunia katika matukio mawili...

READ MORE

Mambo 12 Usiyoyajua Kuhusu Ndejembi Hadi Kuteuliwa Kugombea Umakamu wa Rais – Video

Deogratius John Ndejembi ni mwanasiasa wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye kwa sasa anahudumu kama Waziri wa Nishati....

READ MORE

Mavunde Ampongeza Ndejembi “Ni Kiongozi Kijana, Mwadilifu na Mzalendo” – Video

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amempongeza Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, kufuatia kuteuliwa kwake kushika nafasi ya Makamu wa Rais...

READ MORE

Shigongo Ahoji Serikali Kuhusu Barabara za Mitaa Nyehunge – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amehoji Bungeni jijini Dodoma kuhusu hatua za Serikali katika kuboresha barabara za mitaa katika eneo...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Ampongeza Ndejembi, Aeleza Mikakati ya Serikali Kuhusu Mawasiliano na Usafiri – Video

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amempongeza Mheshimiwa Deogratius Ndejembi kwa kuteuliwa kuwa Makamu wa...

READ MORE

Video: CCM Yamvua Uanachama Nchimbi Siku Moja Baada ya Kujiuzulu

CCM Yamvua Uanachama Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kumvua uanachama Makamu wa Rais...

READ MORE

Video: Simanzi Kihesa, Mrembo wa Miaka 23 Afariki Ndani ya Chumba Chake

Mkazi wa Mtaa wa Kihesa, Halmashauri ya Mji wa Njombe, Edina Chaula, mwenye umri wa miaka 23, amefariki dunia baada...

READ MORE

Mbunge Shigongo Aipongeza Kanisa Katoliki Kwa Kuhubiri Amani – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amelipongeza Kanisa Katoliki kwa mchango wake katika kuhubiri amani na utulivu nchini Tanzania. Shigongo ametoa...

READ MORE

Utata Wa Neema Na Mwajiri Wake Wafikia Mwisho, Zali Mapito Afika Oman Kufuatilia – Video

Mtangazaji wa Global TV Online na 255 Global Radio, Zali Mapito, yupo nchini Oman kufuatilia hali ya binti mdogo wa...

READ MORE

Tume ya Jaji Lila Yaanza Kazi, Wahusika wa Ghasia za Uchaguzi Kuchunguzwa

Dar es Salaam, Agosti 24, 2026 — Tume ya Kuchunguza Wahusika, Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria Wakati na Baada ya...

READ MORE

Mfanyabiashara Afichua Siri ya Mafanikio ya Wakinga na Safari Yake ya Utajiri – Video

Mfanyabiashara maarufu nchini, Hosiana Sanga, amefichua baadhi ya misingi anayoiamini kuwa imechangia mafanikio ya Wakinga katika biashara, huku akisimulia safari...

READ MORE

Rais Samia Azindua Bwawa la Julius Nyerere, Atoa Tahadhari ya El Niño (Picha +Video)

PWANI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kukamilika kwa Mradi wa Kufua Umeme wa...

READ MORE

Video: Linah Aahidi Burudani ya Kipekee Kwenye Miaka 30 ya Bongo Fleva

DODOMA: Nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Linah Sanga, amefunguka kuhusu maandalizi yake kuelekea shoo ya kusherehekea Miaka 30 ya...

READ MORE

Dogo Janja Afunguka Kuhusu Ndoa yake na Irene Uwoya – Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chende maarufu Dogo Janja, amefunguka kuhusu historia ya uhusiano wake na staa wa...

READ MORE

Video: Ray Kigosi Atoa Siri ya Familia, Chuchu Hansy Atarajia Mtoto wa Pili

Mwigizaji mkongwe wa filamu Bongo, Vincent Kigosi, maarufu kama Ray, amefichua kuwa mzazi mwenzake, Chuchu Hansy, anatarajia kupata mtoto wao...

READ MORE

Serikali Yamjibu Lissu: Sheria Haipo kwa Ajili ya Kumfurahisha Mtu

Dar es Salaam — Mvutano wa hoja umeendelea katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, huku upande wa mashtaka...

READ MORE

Siri Nzito! Ndege Ya Malaysia Iliyopotea Angani, Haijulikani Ilipoelekea-Video

Tarehe 8 Machi 2014, ndege ya Malaysia Airlines aina ya Boeing 777 iliondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...

READ MORE

Mahakama Yasema Tundu Lissu Ana Kesi ya Kujibu – Video

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, leo Agosti 21, 2026 imemkuta na kesi ya kujibu Mwenyekiti...

READ MORE

Siku ya Uamuzi wa Tundu Lissu: Mahakama Kusema ana Kesi ya Kujibu au Hana Leo -Video

 Dar es Salaam — Jopo la majaji watatu, likiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru, linatarajiwa kutoa uamuzi leo, Ijumaa Agosti...

READ MORE

Trump Aanzisha “D-Day ya Kiuchumi” Dhidi ya Iran, Vita vyaanza Upya – Video

WASHINGTON — Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza hatua mpya na kali zaidi za kiuchumi dhidi ya Iran, akisema Washington...

READ MORE

Video: Mbunge Shigongo Apongeza Serikali kwa Kuboresha Shule ya Kasaji

BUCHOSA: Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameipongeza Serikali kwa hatua ya ujenzi wa miundombinu katika Shule ya Msingi Kasaji, iliyopo...

READ MORE

Baraza la Michezo Laibua Jingine Simba! “Serikali Imekamilisha Wajibu Wake” – Video

Dar es Salaam: Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limetoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa Katiba ya Klabu ya Simba iliyofanyiwa...

READ MORE

Ufaransa Yajibu Iran Yawafukuza Wanadiplomasia Wawili – Video

Ufaransa imetangaza kuwa itawafukuza wanadiplomasia wawili wa Iran kutoka nchini humo katika siku zijazo, hatua inayoongeza mvutano wa kidiplomasia kati...

READ MORE

Video: Shigongo Aishukuru Serikali kwa Ujenzi wa Shule Mpya Mizororo

BUCHOSA: Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameishukuru Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa...

READ MORE

Tetesi za Penzi! Pinela Afunguka Uhusiano Wake na Vunjabei – Video

Mwanadada maarufu mitandaoni, Pinela Justine, amefunguka kuhusu tetesi zinazomhusisha na mfanyabiashara maarufu Bongo, Fred Vunjabei, akikanusha kuwa wawili hao wana...

READ MORE

Sefu Musa Afariki, Vijana wa Arusha Watoa Ya Moyoni Kuhusu Madai ya Kuteswa – Video

Vijana kutoka Arusha wameeleza masikitiko na hasira kufuatia kifo cha mwenzao, Sefu Musa, ambaye amefariki dunia katika mazingira yanayodaiwa kuhusisha...

READ MORE

Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Yaahirishwa Baada ya Shahidi wa 18 Kupata Dharura ya Kiafya – Video

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeshindwa kuendelea leo Ijumaa, Agosti 14,...

READ MORE

TEC Yafunguka Kuhusu Kikao na Rais Samia, Yatoa Ushauri wa Kuponya Nchi – Video

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limesema lengo kuu la kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt....

READ MORE

Mamilioni Wajitokeza Kushuhudia Maajabu ya Kupatwa kwa Jua – Picha

MADRID, Hispania — Mamilioni ya watu katika maeneo mbalimbali ya Dunia walielekeza macho yao angani Jumatano, Agosti 12, 2026, kushuhudia...

READ MORE

Video: Jamhuri Yaomba Ahirisho, Kesi ya Lissu Yahairishwa Hadi Kesho

Kesi inayomkabili Tundu Lissu imeahirishwa hadi kesho, Alhamisi Agosti 13, 2026 baada ya upande wa Jamhuri kuomba muda zaidi kwa...

READ MORE

Lissu Aibua Maswali Kuhusu Ushahidi wa Video Katika Kesi ya Uhaini- Video

IKIWA ni mwendelezo wa maswali ya dodoso kwa ACP Amini Mahamba, shahidi wa 16 katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti...

READ MORE

Makamu Wa Rais Nchimbi Amtembelea Rais Mstaafu Kikwete (Picha +Video)

DAR ES SALAAM: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Agosti 10, 2026,...

READ MORE

Viongozi Wa Chadema, TLS Na ACT Wafika Mahakamani Kufuatilia Kesi Ya Lissu – Video

DAR ES SALAAM: Viongozi na baadhi ya wadau wa siasa na sheria leo Agosti 10, 2026 wamefika katika Mahakama Kuu,...

READ MORE

Mama Wema Awaonya Wazushi wa Mtoto wa Mwanaye “Acheni Kumwandama Mwanangu” – Video

Mama mzazi wa staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu, amefunguka kuhusu tuhuma zinazoenezwa mitandaoni zinazodai kuwa mtoto wa mwanaye si...

READ MORE