×

Global TV Online

Mama Fatma Karume Afariki Dunia Nyumbani Kwake Zanzibar – Video

Mama Fatma Karume, aliyekuwa mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, amefariki dunia akiwa nyumbani...

READ MORE

Video: Dereva wa Basi Satco Adaiwa Kutishiwa kwa Bastola Dodoma

Tukio la aina yake limetokea katika eneo la Makole jijini Dodoma, baada ya dereva wa basi la kampuni ya Satco,...

READ MORE

Chalamila Aagiza Familia ya Mushi Itafutwe, Ikamatwe – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemuagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Mtatiro Kitwinkwi, kuhakikisha wanafamilia...

READ MORE

JKT Yaweka Mkazo Uzalendo wa Kidijitali, Mabele Atoa Maagizo kwa Vijana – Video

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, amesema somo la Uzalendo na Uzalendo wa Kidijitali katika...

READ MORE

Ndejembi Aagiza Dampo la Pugu Liboreshwe, Kero za Wananchi Zitatuliwe – (Video +Picha)

DAR ES SALAAM — Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ameuagiza uongozi wa Mkoa wa...

READ MORE

Lissu Afunga Ushahidi, Hoja za Mwisho Kesi ya Uhaini Kusikilizwa Septemba 23 – Video

Dar es Salaam, Septemba 18, 2026: Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, imeingia katika hatua nyingine...

READ MORE

Dkt. Mwinyi Amteua Othman Masoud Kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais -Video

Zanzibar, Septemba 18, 2026: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Othman Masoud...

READ MORE

Jinsi ya Kusikia Sauti Halisi ya Video za YouTube Badala ya Tafsiri ya AI

YouTube imeanza kutumia teknolojia ya kutafsiri sauti kwa kutumia Akili Bandia (AI Dubbing) kwenye baadhi ya video, hali inayowafanya baadhi...

READ MORE

Chanuo Nchakali Afunguka Kiki ya Ndoa na YJ Kiboko – Video

Msanii wa filamu Bongo, Chanuo Nchakali, amefunguka kuhusu sakata la kiki ya ndoa kati yake na msanii wa Bongofleva, YJ...

READ MORE

Video: Diamond na Zuchu Watikisa Kawe! Shughuli ya Mtoto Wao Yawa Gumzo

Shughuli ya mtoto wa Diamond Platnumz na Zuchu imefanyika usiku wa kuamkia leo Jumapili Septemba 13, 2026 katika Ukumbi wa...

READ MORE

Mali Zenye Utata Zakamatwa Oysterbay! TRA na Polisi Wachunguza – Video

Mwenyekiti wa Mtaa wa Oysterbay, Mololo Abel Mwaisumo, amesema upekuzi uliofanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na...

READ MORE

Makamu wa Rais Aagiza Mifereji na Barabara Kuandaliwa Kabla ya El Niño – Video

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amezitaka Mamlaka na Taasisi zinazohusika kuchukua hatua za haraka...

READ MORE

Kisa cha Kushangaza! Siku ya Harusi, Ukweli wa Wazazi Wake Wafichuka – Video

Siku ya harusi yake, aliamini wazazi wake ni maskini na walikuwa wakimwaibisha mbele ya watu. Lakini hakujua kuwa ukweli ulikuwa...

READ MORE

Maisha Ya Ujasiri! Bahati Rashidi Afichua Sababu ya Kubeba Matunda na Mtoto Kwa Baiskeli -Video

Hivi karibuni, video iliyosambaa katika mitandao ya kijamii imemuonyesha mwanamke mmoja akiendesha baiskeli huku amembeba mtoto mgongoni, na nyuma akiwa...

READ MORE

Aishi na Uvimbe Miaka 20 Aomba Msaada wa Matibabu, Afunguka Mazito -Video

Usemi wa Kiswahili “Kabla hujafa hujaumbika” unaakisi kwa kiasi kikubwa maisha ya Ester Juma, mwenye umri wa miaka 32, mkazi...

READ MORE

Mtanzania Neema Kengere Arejeshwa Tanzania Leo Kutoka Oman – Video

Mtanzania Neema Anthony Kengere, aliyekuwa amelazwa katika Wodi ya Wagonjwa Mahututi (ICU) katika Hospitali ya Sohar nchini Oman, anatarajiwa kurejeshwa...

READ MORE

Video: Bodi Ya Filamu Yatoa Tamko Baada Ya Kukutana na Wasanii wa A-List, Uwoya Afunguka

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania, Dkt. Gervas Kasiga ‘Chuma’, amefunguka kuhusu sababu ya Bodi hiyo kuwaita wasanii maarufu...

READ MORE

Makamu wa Rais Ndejembi Aungana na Waombolezaji Maziko ya Hafidh Ameir Hassan (Video +Picha)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ameshiriki maziko ya Marehemu Hafidh Ameir Hassan, mwenza wa...

READ MORE

Shigongo Aanza Safari Ya Soko La Kisasa La Bilioni 4 Buchosa – Video

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ameambatana na Madiwani pamoja na watumishi wa Halmashauri ya Buchosa, akiwemo Mkurugenzi Mtendaji...

READ MORE

Breaking: Mume Wa Rais Samia, Hafidh Ameir Afariki Dunia – Video

Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki dunia. Taarifa za kifo...

READ MORE

Dereva wa Basi Akamatwa Mwanza kwa Tuhuma za Kuchati Akiwa Anaendesha – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Sabatho Malima Emmanuel, mwenye umri wa miaka 32, mkazi wa Buswelu, Wilaya ya...

READ MORE

Watuhumiwa wa Mauaji Wapigwa Risasi na Polisi, Wote Wawili Wafariki Hospitali – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limewakamata watu wawili wanaodaiwa kuhusika katika tukio la ujambazi wa kutumia silaha lililotokea Agosti...

READ MORE

Hii Ndiyo “Kazi Iendelee” Ya Rais Samia, Mwenye Macho Haambiwi Tazama – Video

Jiji la Dar es Salaam la leo limebadilika kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na miaka 10 iliyopita, hususan katika sekta ya...

READ MORE

#TheHardTalk: Rose Ndauka Afunguka Alivyonusurika Kifo Kwenye Ajali – Video

Staa wa filamu na ujasiriamali nchini, Rosenda Ndauka, amefunguka kuhusu ajali mbaya ya barabarani iliyowahi kutokea katika maisha yake, akieleza...

READ MORE

Madeleka Atoa Msaada wa Milioni 1 Kwa Watoto wa Mjane – Video

Wakili Peter Madeleka ameguswa na changamoto ya mama mjane, Bi. Asha Baraka Saidi, anayeuguza watoto wake wawili wanaosumbuliwa na ugonjwa...

READ MORE

Spika Zungu Awakalia Kooni Watendaji wa TAMISEMI Uchafu katika Jiji la Dar – Video

Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, amewataka watendaji wa Serikali, hususan wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za...

READ MORE

Kikao cha Katambi: Wasanii Wasamehewa, Anko T, Niffer Wakosa Msamaha – Video

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema wasanii na watu maarufu walioitikia wito wa kufika kwenye kikao...

READ MORE

Shahidi wa Tatu wa Utetezi Aanza Kutoa Ushahidi Katika Kesi ya Lissu

Shahidi wa Tatu wa utetezi katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, Amani Sam Golugwa leo Septemba 2, 2026...

READ MORE

Video: Rais Samia Atoa Agizo Zito kwa Mnyeti Kuhusu Madini ya Katoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Geita, Alexander Mnyeti, kusimamia...

READ MORE

Mwanamke Akamatwa kwa Tuhuma za Kumuua Mumewe – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata Jovita Bateguye Budyo, mwenye umri wa miaka 30, kwa tuhuma za kumuua mumewe,...

READ MORE

Video: Kesi ya Lissu Yaahirishwa, Mnyika Kuendelea Kudodoswa Kesho

 Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imeahirishwa hadi kesho Septemba 2, 2026, huku Katibu Mkuu wa chama hicho,...

READ MORE

Marekani Yashambulia Iran, Drone Yaangushwa Mlango wa Hormuz – Video

WASHINGTON — Marekani imetekeleza mashambulizi dhidi ya Iran baada ya vikosi vyake kushambulia vizindua viwili vya roketi katika Kisiwa cha...

READ MORE

Mawakili wa Mtoto wa Rwakatare Watoa Tahadhari Kuhusu Mali za Mirathi – Video

Mawakili Nicholas Mugarura, Mwesigwa Muhingo na David Saire Manoti, wanaomwakilisha mmoja kati ya watoto wa marehemu Mchungaji Getrude Rwakatare wametoa...

READ MORE

Khamenei Azitaka Nchi Za Kiislamu Kuungana Dhidi Ya Marekani Na Israel – Video

Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, amezitaka nchi za Kiislamu kuungana dhidi ya Marekani na Israel, akizitaja nchi hizo mbili...

READ MORE

Dkt Mwigulu: Serikali Kuendelea Kushirikiana Na Taasisi Za Dini Katika Maendeleo Ya Taifa – Video

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu taasisi za dini likiwemo kanisa Katoliki katika kuimarisha huduma...

READ MORE

Baraza la Wazazi CCM Launga Mkono Nchimbi Kuvuliwa Uanachama – Video

Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Wazazi la CCM Taifa, Ally Salum Hapi, amesoma azimio la Jumuiya hiyo la kuunga...

READ MORE

Ndejembi Azungumza na Wanachamwino, Amshukuru Rais Samia, Aahidi Kufanya Kazi – Video

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumpa dhamana...

READ MORE

Rais Samia Atoa Ujumbe Mzito Kwa Ndejembi, Baada ya Kiapo – (Video +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempa pole Deogratius John Ndejembi baada ya kuapishwa rasmi...

READ MORE

Ndejembi Aapishwa Kuwa Makamu wa Rais, Rais Samia Ashuhudia (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshuhudia kuapishwa kwa Deogratius John Ndejembi kuwa Makamu wa...

READ MORE

Exclusive: Saleh Ally Afichua Siri ya Safari Yake Katika Uandishi wa Habari za Michezo – Video

Mwandishi mahiri wa habari za michezo nchini Tanzania, Saleh Ally (@salehjembefacts), amefanya mahojiano maalum (exclusive interview) na Global TV, ambapo...

READ MORE