×

Global TV Online

Wazee wa Kimila SUMBAWANGA Wamfanyia Tambiko Diamond – Video

  STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul maarufu kama ‘Diamond Platnumz’ amefanyiwa tambiko la ulinzi na wazee wa kimila wa...

READ MORE

GIGY MONEY; Mimi ni Mzuri Wanaume Wanapagawa – Video

 MSANII wa Bongo Fleva, Model, video vixen na mtangazaji wa radio, Gift Stanford ‘Gigy Money’ akifanya mahojiano na wanahabari...

READ MORE

GOOD NEWS: NBC Kufadhili Wanafunzi 60 Kusomea Digrii – VIDEO

Benki ya NBC imetoa ofa ya kuwafadhili wanafunzi wa Kitanzania kusomea Shahada ya kwanza katika vyuo vya CBE, IFM, DUCE,...

READ MORE

JPM Kufuta Sherehe za Uhuru, BAVICHA Wataka Wanachi Kwenda Magerezani – Video

Baraza Vijana la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) – BAVICHA limetoa masikitiko yake juu ya Jeshi la Polisi nchini kufuatia kukamatwa...

READ MORE

Harmonize Amkana Wolper Siku ya Birthday, Alilia Penzi la Sarah – Video

 Staa wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper, usiku wa kuamkia leo amesherehekea siku yake ya kuzaliwa katika ukumbi wa Life...

READ MORE

CHADEMA Walia na JPM, Kesi ya MBOWE – Video

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Kibamba, John Mnyika, amewaomba wanachama wa Chadema na Watanzania wote kwa ujumla...

READ MORE

CHID BENZ: AFANDE SELE Kaniita ‘SHOGA’, Nampa Masaa 19, La Sivyo….! – VIDEO

KUFUATIA kauli iliyotolewa na Msanii Mkongwe wa Hip Hop kutoka Morogoro, Afande Sele, ya kusema kuwa Wasanii wote wanaojihusisha na...

READ MORE

MPAKA HOME: Maisha Halisi ya BECKA TITLE wa B.O.B Micharazo – Video

 Mpaka Home wiki hii tumemuibukia Mkali wa RNB Bongo, Becka Title, ambaye amenga’ra zaidi kupitia kundi lao la BOB...

READ MORE

IGP SIRRO AFANYA MABADILIKO JESHI LA POLISI – VIDEO

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amembadilisha aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza kabla ya kuhamishiwa...

READ MORE

Lava Lava Asepa na Kijiji Morogoro WASAFI FESTIVAL -Video

 Usiku wa kuakia leo Tamasha la Wasafi Festival limefanyika katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.

READ MORE

Rais Magufuli: Baadhi Ya kodi za TRA Zinakera

Rais John Magufuli amesema Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatakiwa kujitathmini kwanini watu wanakwepa kulipa kodi na kuamua kutumia wamachinga...

READ MORE

VIDEO: Ukweli wa Harmonize kukutana na T.I Marekani

 Kishindo cha tamasha la Wasafi Festival kinaendelea mkoa kwa mkoa ambapo Jumapili ya leo Disemba 02, itaangushwa bonge moja...

READ MORE

Wabunge ‘WAMLIPUA’ Lema, Nassari Mbele ya Rais Magufuli – Video

 Rais Dkt John Magufuli, leo Disemba 02, ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa maji wilayani Arumeru...

READ MORE

MKE WA AZORY AFANYIWA KITU MBAYA! – VIDEO

PWANI: Wakati akitimiza mwaka mmoja tangu mumewe adaiwe kutekwa na watu wasiojulikana, mke wa aliyekuwa mwandishi wa habari wa kujitegemea...

READ MORE

Mahakama Kuu Yatoa Maamuzi RUFAA YA MBOWE – Video

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imesitisha kusikiliza rufaa ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge...

READ MORE

Msafara wa DIAMOND, WCB Wakiwasili IRINGA – Video

TIMU ya wasanii watakaopafomu kwenye Tamasha la Wasafi Festival mkoani Iringa wakiongozwa na Rais wa Wasafi, Diamond Platnumz, wametua mkoani...

READ MORE

ITAKULIZA! Ombi Kubwa la Mke wa Azory kwa JPM – Video

IKIWA ni mwaka mmoja sasa umepita tangu kupotea kwa Mwandishi wa Habari za Uchunguzi wa Gazeti la Mwananchi, Azory Gwanda,...

READ MORE

MCHUNGAJI: Nilitumwa Nikamtoe Amber Rutty, Bado Watu 5 – Video

JANA Novemba 28, 2018 msanii Amber Rutty na mpenzi wake Said Mtopari wanaokabiliwa na kesi ya kusambaza video za ngono...

READ MORE

Video: VODACOM Foundation Kuwanufaisha Wanaolitumia Ziwa Victoria

 Kampuni ya Vodacom kupitia taasisi yake ya Vodacom Foundation imeanzisha zoezi endelevu la kutoa elimu ya kujikinga na ajali...

READ MORE

BREAKING: Mchungaji Aliyemdhamini Amber Rutty “Naombea Makahaba” – VIDEO

Leo Jumanne, Novemba 27, 2018 Msani anayejulikana kama Amber Rutty na mpenzi wake, Said Mtopari wamepata dhamana baada ya kusota...

READ MORE

Rais Magufuli Afungua Rasmi Maktaba Mpya UDSM (Picha +Video)

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dr. John Pombe Magufuli, leo Novemba 27, 2018, anatarajiwa kuzindua Maktaba...

READ MORE

Video: BASATA watinga Wasafi Festival “Diamond ni Hatari”

 Tamasha kubwa La Wasafi Festival limefanyika mkoani Mtwara na kuhudhuriwa na wasanii kibao lakini pia serikali kupitia Baraza LA...

READ MORE

ALLIANCE INSURANCE TALKS ON INSURANCE KNOWLEDGE – VIDEO

 ALLIANCE INSURANCE TALKS ON INSURANCE KNOWLEDGE Know where insurance is heading, what Insurance can do for your Business. Insurance...

READ MORE

VIDEO: FUMANIZI LAKUUA MTU, ANGALIA KILICHOTOKEA

Lugha ni kitu cha ajabu sana! Neno moja linaweza kuwa na maana zaidi ya moja na maana ya maneno inatofautiana....

READ MORE