×

Global TV Online

Video: Shigongo Aomba Barabara na Umeme Buchosa kwa Rais Samia

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, amemuomba Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwakumbuka wananchi wa Wilaya ya Sengerema,...

READ MORE

Saleh Jembe: Kwa Takwimu, Kocha wa Yanga Hafai Kufukuzwa – Video

Mchambuzi mkongwe wa michezo nchini, Saleh Jembe, ameibua mjadala baada ya kueleza kuwa kwa mujibu wa takwimu alizonazo kuhusu mwenendo...

READ MORE

Shule ya Lilian Kibo High School Yakabidhiwa kwa Mungu Baada ya Kifo cha Mwasisi Wake – Video

Aliyekuwa mmiliki wa Shule ya Sekondari Lilian Kibo High School, marehemu Kibo, aliwahi kutoa wosia wa kipekee kabla ya kifo...

READ MORE

Mzee Butiku Amlipua Captain Tesha “Hatuna Mavazi Kama Hayo, Hilo Si Jeshi Letu”- Video

Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Warioba Butiku amewahimiza Watanzania kuungana na Kauli rasmi iliyotolewa na Jeshi la...

READ MORE

Jaji Mkuu Masaju Atoa Wito Wa Ushirikiano Kati Ya Mahakama, Polisi Na Mawakili – Video

JAJI MKUU wa Mahakama ya Tanzania,  George Masaju, ametoa wito kwa askari wa Jeshi la Polisi, mawakili na wadau wote...

READ MORE

Kihongosi: Zaidi ya Milioni 14 Wahudhuria Mikutano ya Dkt. Samia Nchini – Video

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Kenani Kihongosi amesema kuwa tangu...

READ MORE

Dkt. Samia: Tunaendelea Kuijenga Tanzania Yenye Usawa na Fursa Kwa Wote – Video

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan,...

READ MORE

JWTZ Latoa Ufafanuzi Rasmi Kuhusu Upotoshaji Mitandaoni – Video

Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa tamko kali kufuatia kuenea kwa taarifa na mijadala mitandaoni inayolihusisha jeshi hilo na...

READ MORE

Kocha Mpya Simba Atua Dar, Atoa Neno la Kwanza – Video

Msikilize Meneja Mkuu mpya wa Klabu ya Simba Dimitar Pantev baada ya kutuaUwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...

READ MORE

Dkt. Samia: Tunaboresha Usafiri wa Anga Kuongeza Fursa za Utalii Arusha – Video

Wakazi wa Wilaya ya Karatu, mkoani Arusha, leo Ijumaa Oktoba 3, 2025 wamejitokeza kwa wingi kumpokea na kumsikiliza Mgombea wa...

READ MORE

Makonda: Dkt. Samia Amebarikiwa na Mungu, Atapata Miaka Mitano Tena

Arusha, Oktoba 2, 2025 – Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Paul Makonda, amemwagia sifa Mgombea Urais wa...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Akagua Huduma za Mabasi ya Mwendokasi Kivukoni – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mabasi mapya 60 ya Mwendokasi kutoka kampuni ya Mofat yataongezwa katika barabara ya Kivukoni-Kimara na...

READ MORE

Kanisa Katoliki Lavunja Ukimya – Askofu Ruwa’ichi Asema “Hatuna Ugomvi Na Serikali” – Video

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, amesema Kanisa Katoliki halilumbani wala kushindana...

READ MORE

Video: Aliyekuwa Rais wa DRC Joseph Kabila Ahukumiwa Kifo kwa Uasi

Mahakama ya Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Septemba 30, 2025, imemhukumu aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Joseph...

READ MORE

Mwanadada Grace Tarimo Aeleza changamoto Kubwa katika Kazi yake ya Masaji -Video

Kupitia Kipindi cha The Hard Talk kinachoongozwa na mtangazaji, mwandishi wa vitabu na mtumishi wa Mungu, @lillianmwasha_ , mwanadada Grace...

READ MORE

Dkt. Samia Acheza Taarab na Mama Karume Katika Mkutano wa Kampeni Tanga – Video

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa CCM...

READ MORE

Video: Watuhumiwa wa Mauaji ya Shyrose Mabula Wauawa na Polisi Mbeya

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, limetoa taarifa kuwa watuhumiwa watatu waliokuwa wakituhumiwa kumteka kisha kumuua Shyrose Mabula, mwanafunzi wa...

READ MORE

Samia Aahidi Kujenga Barabara ya Kibaha–Morogoro kwa Ubia na Sekta Binafsi – Video

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema iwapo atapewa...

READ MORE

Shekhe Kandauma: Wenye Kula Riba Watadhoofika Maishani – Video

Kupitia kipindi cha Mawaidha ya Ijumaa, mhadhiri wa kiislamu, Shekhe Kandauma, ameeleza kwa msisitizo kuwa yeyote mwenye kula riba hatapata...

READ MORE

Dkt. Samia Aahidi Ujenzi wa Bandari Mpya ya Bagamoyo – Video

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi miradi mikubwa...

READ MORE

Kikwete Awaasa Watanzania Kudumisha Umoja Na Amani – Video

KIBAHA, PWANI – Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akihutubia wananchi wa Kibaha katika kampeni, amesisitiza kuwa Tanzania inabaki kuwa...

READ MORE

Mgombea Ubunge Buchosa Asisitiza Kuthamini Rasilimali Za Nchi – Video

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya CCM, Eric Shigongo, amesema anajivunia kuwa Mtanzania na kuwataka wananchi wa...

READ MORE

Tanzania Yalaani Matumizi Ya Nguvu Katika Migogoro – Video

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema Tanzania inalaani kuibuka upya kwa ukiukwaji wa...

READ MORE

Polisi Waanza Uchunguzi wa Video ya Askari Kulala Chini – Video

Jeshi la Polisi nchini limeanza uchunguzi mara moja juu ya video iliyoenea mitandaoni ikimuonyesha askari mmoja amelala chini. Taarifa iliyotolewa...

READ MORE

Mwakilishi Wa Mfanyabiashara Amlipua Mjane Alice “Nyumba Iliuzwa 2011 Aliridhia Kwa Dole Gumba”- Video

Hajra Mungula, mwakilishi wa mfanyabiashara aliyeingia kwenye mgogoro na Alice Haule, mke wa Justice Rugaibula kuhusu nyumba iliyopo Mikocheni, iliyosababisha...

READ MORE

Mgombea Mwenza wa CCM Aendeleza Kampeni kwa Kishindo Njombe Mjini

Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi,...

READ MORE

Taharuki Mikocheni: Mjane Avamiwa – Atimuliwa Na Wachina Kisa Deni La Milioni 150 La Marehemu Mumewe – Video

Taharuki kubwa imeibuka Mikocheni jijini Dar es Salaam, baada ya mjane Alice Haule kuvamiwa na watu kwenye nyumba yake aliyoachiwa...

READ MORE

Video: Moto Mkubwa Wateketeza Jengo Kariakoo, Chanzo Bado Hakijulikani

Dar es Salaam: Moto mkubwa umezuka leo katika jengo lililopo pembe ya mtaa wa Nyamwezi na Narung’ombe, eneo la Kariakoo...

READ MORE

Serikali Yalaani Mauaji ya Mwanafunzi Mzumbe Mbeya – Video

Serikali mkoani Mbeya imeelekeza Jeshi la Polisi kufanya kazi usiku na mchana ili wahusika wa mauaji ya Shyrose Mahande, mwanafunzi...

READ MORE

Wasifu wa Shyrose Mahande: Ndoto za Mwanasheria Chipukizi Zilizokatishwa – Video

Wasifu wa Mwanafunzi wa shahada ya sheria Chuo Kikuu cha Mzumbe Tawi la Mbeya, Shyrose Mahande (21), aliyeuawa kikatili baada...

READ MORE

Miili ya Masista waliofariki ajali ya gari yawasili Dar – Video

Miili ya Masista wa Kanisa Katoliki waliopoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea wilayani Misungwi, mkoani Mwanza, imewasili jijini Dar...

READ MORE

Dkt. Samia: Uchaguzi si Vita, Ni Tendo la Demokrasia Tukapige kura, Turudi Nyumbani – Video

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan,...

READ MORE

Dkt. Samia Aendelea na Kampeni za CCM Kusini Unguja (Picha +Video)

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt....

READ MORE

Watuhumiwa 15 Wakamatwa kwa Mauaji ya kijana Iringa – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limetoa taarifa kuhusu video iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha kijana akipigwa na wananchi waliokuwa wakijichukulia sheria...

READ MORE

Samia Aahidi Kuendeleza Maendeleo Tabora kwa Miaka Mitano Ijayo -(Picha + Video)

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Manispaa ya...

READ MORE

Dkt. Samia Awaomba Wananchi Kujitokeza kwa Wingi Oktoba 29 – Video

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi na...

READ MORE

Jeshi La Nepal Lafanya Majadiliano na Waandamanaji Wadai Jaji Mkuu wa Zamani Aongoze Nchi

Jeshi la Nepal litaanza tena mazungumzo na waandamanaji wa “Gen Z” siku ya leo Alhamisi ili kuamua kiongozi mpya wa...

READ MORE

Hatma ya Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Kujulikana Jumatatu – Video

Hatima ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu, inatarajiwa kujulikana Jumatatu,...

READ MORE

Mwabukusi: Wananchi Wana Haki ya Kuhudhuria Kesi ya Lissu – Video

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema ni haki ya kikatiba kwa wananchi kuhudhuria na kusikiliza...

READ MORE

Samia Azungumza na Wananchi wa Ikungi, Atoa Ahadi Kuu za Maendeleo (Picha +Video)

Wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Ikungi Mashariki, wilayani Manyoni mkoani Singida, wamejitokeza kwa wingi leo Jumanne,...

READ MORE